Home
Unlabelled
NDUGU YETU CAROL BADO HAJAPATIKANA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Caroline Mmary alikuwa ameolewa na Mmarekani mweusi na ana mtoto mmoja wa miaka 3, alikuwa akiishi Los Angels pamoja na mumewe na mtoto. Hajaonekana tangu mwezi March, 2010. Tunaomba atakayekuwa na taarifa zake azitume katika anwani ya Polisi ambayo inaonekana katika tangazo hili au azitume kwa blog hii. Tunatanguliza shukrani zetu za dhati.....
ReplyDeleteMISS TANZANI USA.
ReplyDeleteKaka michuzi pole na kazi zako za kila siku na asante sana kwa kutupa news za nyumbani kila siku sisi tulio mbali. Kaka naomba uweke hili tangazo, mimi nitaka kuandaa Miss Tanzania USA natafuta mabinti ambao wanasifa za kuweza kushiriki hili shindano ambalo litafanyika mwisho wa mwezi july.
1. UMRI 18-25
2. Awe hajaolewa
3. Anaweza kusafiri nje ya USA na kurudi (awe na makaratasi)
4. Awe anaweza kuongea kingereza vizuru
5. Awe na shape ya kimiss
6. Kama akishinda aweze kukaa Tanzania mwaka mmoja.
samahani sikuweza kupata email yako ila naomba uniwekee hili tangazo kaka natafuta watu haraka
hivi huyu dada anaundugu na immanuel mmari? kwa nini wasimwulize kaka yake siuyupo DC siku nyingi huyu imma mmari
ReplyDeletempaka kuweka tangazo hili juwa ndugu wote wakaribu wanajuwa kupotea kwake
ReplyDeleteamka usingizini
KAKA NAOMBA UWEKE HILI JAMBO KAMA TANGAZO ILI WATU WENGI WAWEZE KUONA NAKUOMBA SANA KAKA YANGU.
ReplyDeleteMISS TANZANIA USA
Kaka michuzi pole na kazi zako za kila siku na asante sana kwa kutupa news za nyumbani kila siku sisi tulio mbali. Kaka naomba uweke hili tangazo, mimi nitaka kuandaa Miss Tanzania USA natafuta mabinti ambao wanasifa za kuweza kushiriki hili shindano ambalo litafanyika mwisho wa mwezi july.
1. UMRI 18-25
2. Awe hajaolewa
3. Anaweza kusafiri nje ya USA na kurudi (awe na makaratasi)
4. Awe anaweza kuongea kingereza vizuru
5. Awe na shape ya kimiss
6. Kama akishinda aweze kukaa Tanzania mwaka mmoja.
samahani sikuweza kupata email yako ila naomba uniwekee hili tangazo kaka natafuta watu haraka
hivi watu wengine hawana hata haya, mtu unaona kuna tatizo hapa na wewe ndio unaleta mambo yako ya miss USA huoni kuwa mwenzetu kapotea? na hatujui kama yu hai au la? hivi unalalaje usiku? roho kama hiyo nategemea hata hiyo fashion show yako ikose watu mungu akulaani manake huna utu. ungeweza kwenda kwenye tofauti ukaomba lakini sio kwa da caroline mmari, ungekuwa jirani ningekuchapa kibao. Na hata hao watakao jiandikisha kwenye hiyo shoo yako lazima wajiulize huyu mtu hana utu, mkishikwa na matatizo atafanya hivi hivi atawaacha salenda, kaeni macho.
ReplyDeletewe hivi hujui imma mmari kahamia toronto canada miaka mingi, marekani si unajua karatasi shida, so tunabeba nae boksi tu huku. Lakini tutamuuliza labda dadake lakini wachaga ni wengi wenye majina hayo.
ReplyDeleteKuna mmoja wetu hapo awali amesema kuwa Dada Caroline alikuwa anaishi na mumewe Black American,Nani anayemfahamu kwa dhati,Mmarekani huyo?kuna baadhi ya vitu vingeweza kuwa vigezo vya kumtafuta Dada Mmari hata hivyo Tangazo limetolewa May na inaonekana huyu Dada hajaonekana toka March kuna nini kinachoendelea hapa?ijulikane kuwa masaa 24 ya mwanzo toka mtu amepotea ni muhimu sana kusaidia uchunguzi,Katika Tangazo kule JF kuna email ya Dada Maduhu ambaye anadai kuwa ni Ndugu wa karibu wa Carol,naomba Vitu vifuatavyo viwe wazi ili kutusaidia Watanzania na hata Polisi ktk kumtafuta Dada yetu;
ReplyDelete1);Sehemu aliyokuwa anaishi LA,alipokuwa anafanya kazi,anasuka nywele na hata mahali alipokuwa anamuacha mtoto (Babysitter).
2);Mahali alipokuwa anafanyakazi iwe temporary au part time.Nikampuni binafsi au idara ya serikali,wamiliki wa sehemu hiyo ni nani kwa majina.
3);Jina na sehemu anayofanyakazi huyo anayeitwa mumewe,hata kama wameachana.
4);Rafiki au ndugu yake yeyote wa Kitanzania au hata nationality nyingine.Ukimuacha Dada Maduhu ambaye yupo NY (Mtoa habari)
5);Kanisani,msikitini au synagogue alipokuwa anakwenda kwa Ibada.
Natanguliza shukrani.
Kwanza naomba michuzi uondoe hilo tangazo hapo la sijui Miss Tanzania USA kwavile hapa si mahali pake. Huyo aliyeweka hizo comments hapo sijui anawaza nini.
ReplyDeletePili Mimi ningependa tu-focus kumtafuta huyo mmarekani mweusi aliyekuwa amemuoa huyo dada ndo kitakuwa chanzo kizuri. Je ndugu za Caroline mna habari na huyo jamaa? jina lake na kadhalika? Labda tukipata taarifa zake tutakuwa na mwanzo mzuri..!! Mdau-USA
Michuzi siamini umeweza kuruhusu comment ya mdau wa pili Tue May 25, 05:24:00 PM. hivi jamani watu wengine wakoje? watu wanamtafuta ndugu yao hapa wewe unaleta mambo ya kijinga!
ReplyDeleteI hope hayo unayotaka kufanya yasiwe, watanzania mliopo USA msimsaidie ng'o.
hivi wewe mtowa maoni wa Tue May 25, 05:53:00 PM umekwenda shule kweli? hivi una akili timamu?
ReplyDeleteUnadhani mtu alopotea tangu march iwe ndugu zake hawajui? unadhani familia yake haijui kama amepotea?
Sasa wewe unasema aulizwe kaka yake, ilhali unaona ni taarifa ya polisi ya missing person, unadhani polisi hawajawafuata familia yake na kuwahoji? hivi kweli una umri gani hasa wewe?
anon Tue May 25, 05:24:00 PM, GET A LIFE!!!!! Hivi unaona post yako ni appropriate kuileta kwenye thread hii?
ReplyDeleteTena hayo masharti uliyoyatowa si bora kwanza wewe mwenyewe ungelijifunza kiswahili fasaha? umesikia wapi neno vizuru?
Mdau anoymous Tue May 25,5:53:00PM umeuliza swali.Kabla hujapata jibu la swali lako,umejibu mwenyewe,na tayari umetoa hukumu kwa kuuliza swali lingine.Kama ungekuwa ni mchele,yani hufai hata kwa vitumbua.
ReplyDeleteWe Ridada unaeweka tangazo ktk m2 aliepotea hv unayo akili timamu? Kama ulikuwa unataka kuwacliana na Bro Michu si ana e-mail yake hapo juu mpaka uweke ktk 2kio hili? Wewe mwenyewe auna makaratasi afu unataka wa2 wenye makatarasi wajiunge na umisi. Haya mambo mengine sio attention bali ni maudhi. N,way huzuni na poleni sana kwa waliopotelewa na ndugu yao, kipenzi chao, rafiki yao. 2kio kama hili likitokeaga m2 wa kwanza kubanwa ni mumewe. Je kuna taarifa yoyote kutoka kwa mumewe? Naonaga wa2 wanapotea sana Hapa U.S.A. ckudhani kama inaweza kutokea kwa Mbongo mwenze2. Wakina dada na nyinyi mmezidi kuwangada wanugu, hawa wa2 hawana desturi wala imani, hii ndio mwisho wake. Nahisi kutakuwa na matatizo ktk uhusiano wao wakimapenzi maana vifo vingi utokea hapa USA kama hivi na sababu zake uwa ktk uhusiano wa mapenzi. N,way inasikitisha sana, najua ndugu na familia yake awalali vizuri na awakai kwa amani, ila 2ombe MUNGU wampate akiwa mzima, amin
ReplyDeletesamahani michuzi na wadau wote kwa ujumla. Nataka kujuwa tu yule sherry imekwishaje? amewasiliana na mama yake au ndio basi tumepigwa changa la macho na mumewe na tumeamini? Nadhani ni vizuri ikajulikana hasa kwa wale ambao walifanya kila jitihada mpaka akapatikana mumewe, wajue kama amewasiliana na mama yake au la. Hakuna haja ya kutaka kujuwa yupo wapi, anafanya nini, na kwa nini alikuwa kimya, la muhimu ni kuwa mama na mwana wamewasiliana na mama amepowa na wasi wasi alio nao.
ReplyDeleteKesi bado sio closed.
wewe unayeandaa shindano la Mamiss unaona kweli ni mahali pake kuweka hilo tangazo lako kama comment kwenye hili Tangazo?
ReplyDeletena wewe unayesema wamuulize Imma, nani kakuambia aliyeweka tangazo sio Imma? watu wengine bwana?
huyu bwana kaweka kapicha kadogo alete picha nzuri kama 2 au 4.
ReplyDeleteHivi anony wa pili hapo juu... akili mukichwa imo kweli?? Tangazo muhimu la kumtafuta ndugu yetu mtanzania ambae kapotea umeliona si zito kuliko kutafuta Miss Tz USA???
ReplyDeleteUmeshindwa kuweka kama tangazo tofauti na kupachika kwenye "missing person's article?"
JAMANI WATANZANIA CKU HIZI TUMEKUWA NA ROHO ZA AJABU MNO!!!!
ReplyDeleteYAANI WATU WAKO SERIOUS NA ISSUE YA NDUGU YAO WE MPUUZI USIO KUWA NA ROHO UNATULETEA MATANGAZO YAKO MAVI? USHINDWE NA ULEGEE KAMA MLENDA. NA ANKAL HEBU IFUTE HILO TANGAZO LAKE. SHETWANI MKUBWA.
FAMILIA YA MMARI MWENYEZI MUNGU ATAENDELEA KUMLINDA DADAETU POPOTE ALIPO, INSHALLAH ATAPATIKANA.
Kaka si ajabu KESHAJILIPUA huyo.
ReplyDeleteLabda siku hizi anaitwa Getrude Ntahanamirwa.
Mamabo ya makaratasi hayo!
Kafanana na Mmari mwingine nilimwona LA pia.
ReplyDeleteKaolewa na black American mmmmmhhh alikua wapi siku zote hizo hakutoa habari?
Wameshaangalia kama hajarudi bongo?
Na hili jina lake ndio analotumia ama baada ya kuolewa akaongezea au kubadili?
Waangalie huko LA sehemu zote jela , hospitals etc..
Kuna mtu aliwekwa jela ndugu zake walimtafuta kweli na yeye aliondoka tu kwenda kufanya mazoezi hakuchukua simu wala ID...na haya mambo ya Iphone alikua hajui simu ya mtu yeyote kwa kichwa. Na yeye alikua hajawahi kufanya kosa lolote kwa hiyo finger print zake zilikua hazipo kwenye database yeyote...Talking about bad luck...Ila walisema ni uzembe wa police pia ulifanyika...kwa vile ilichukua muda kuthibitisha yeye ni nani na wakati mkewe alikua analia lutafuta mumewe
I smell some nigga shit. First suspect ni huyo mumewe.
ReplyDeleteHuyu ndugu yetu aliyeweka tangazo la kutafuta vijimbwende kwenye sehemu ya mtu aliyepotea ana maana gani jamani, this is so serious, you can't put your tangazo kwa kujijengea jina wakati watu wanamachungu ya kumtafuta miss mmari ambae hadi sasa no body knows where she at, are you really serious, or do you know where this poor woman is?? don't make jokes in a missing person, sorry bro.
ReplyDeletewatu wengine viherehere tu kujifanya wanajua sanaaaaa. kama huna la kuchangia si ukae kimya tu. Sasa kwa kuwa na jina moja ndio lazima awe ndugu yake? Na kama wana undugu na wamemuuliza na hajui alipo sasa ndio isiwekwe huku. Au unataka kuambiwa yote yaliyofanyika behind the seen mpaka ikafikia kupostiwa humu
ReplyDeleteWatu wengie sijui hawatumii common sense. Mwanamke wa watu amepotea na bado anatafutwa wenye habari zozite waaziweka hapa. Mkianza kuweka point za kijinga itaishia hivi hivi
HIVI HUYO ALIYEANDIKA MISS TANZANIA USA ANA UBINADAMU KWELI???JE MPAKA SASA UMESAIDIAJE MWNZIO UNAYEISHI NAYE HUKO KAMA MWANAJUMUIA KUMTAFUTA HUYO ALIYEPOTEA MPAKA.....? MTU ANATANGAZA HABARI YA KUPOTELEWA NA MKE/NDUGU WEWE UNAWEKA TANGAZO LAKO LA KUJITAFUTIA VIJISENTI KWA UNAOWAONA WAJINGA WASIO NA UTU KAMA WEWE,NILITEGEMEA KWAMBA MNAOISHI DEVELOPED COUNTRIES MNA BUSARA KUMBE NI STUPIDITY!SHAME ON U? POST YR COMMENT KWENYE MATANGAZO YA SIASA NA UCHAGUZI NA SIO KAMA ULIVYOFANYA,PIA ASK UR FRIENDS ADDR.YA MICHU INAPATIKANA WAPI ACHA KUKURUPUKA.NATEGEMEA UTAOMBA SAMAHANI..BATA WE!
ReplyDeleteMDAU TZ
Bado inanishangaza kuona kwamb andugu yetu bado hajapatikana,ila mimi binafsi niliwaisliana nae wiki moja iliyopit akupitia kweney face book,,i hope atakuw ani mzima
ReplyDeleteMungu amrehemu popote alipo
Poleni Cathy&Family, my prayers are with Carol n u, may the Almighty protects n keep her safe wherever she is till we approach light at the end of this tunnel.
ReplyDeletewhenever a somebody go missing the husband/wife are concidered to be the first suspect, huyu mmewe ni vipi anaisaidia police, as a person who likes watching crime stories, i think the husband should know something,kuna vitu kama life insurance etc
ReplyDeletemdau wa Wed May 26, 09:17:00 AM i hope you are serious. Inabidi uwasiliane na polis pamoja na jamaa zake mara moja. no matter where you are, thats is a big clue, polisi wataweza ku-trace kutoka kwenye face book ni sehemu gani alipokuwepo na kuweza kuwasiliana nawe. Kwa sasa inaonyesha wewe ndio mtu wa mwisho kuwa na mawasiliano naye.
ReplyDeleteWASILIANA NA POLISI HARAKA SANA!!!!
By the way kwa nini umesema mola amrehemu? do you know something that others don't?
Kurehemu ni kupata rehma za mwenyezi mungu, hata ukiwa hai unapata rehma, ni mazoea tu kusikia rehema anaombea mtu asiye hai, kwahiyo mdau wa hapo juu usiwe na shaka,
ReplyDeleteOk wadau
ReplyDeleteni matumizi ya lugha tu,,i dont mean any thing bad to her
asanteni
You people u need to quit talking negative, yes i am somewhat relate to this girl.
ReplyDeleteI know Caroline Mmari by the way her parents named her after my little sister. Caroline's parents passedaway and she is the oldest in the family. Yes she was married to African American fellow. Last time i spoke to her was sometimes last summer she then worked 3rd shift as a nurse at one of the LA Hospitals. She has two kids one lives in Tanzania with the father.
I dont think if Caroline knew any Tanzanian person in LA. she lived in an Isolated environment and i know last stime she told me she lives at her mother inlaw's house.
I just heard people talking about her today otherwise i would have not known of her missing the fact that i have not spoken to her for almost a year.
Caroline has a sister Cathe who was also named after me who goes to University of Dar es Salaam. and a little brother who was just finishing high school. they go to Azania Front church. I have no contact with them.
All i need is your prayers, she is such asweet heart and I can not belive that she is missing.
Jamani hizi taarifa sasa zimedhibitishwa kuwa mpendwa wetu huyu mwili wake umepatikana nyuma ya nyumba aliyokuwa anaishi? Sad!
ReplyDeleteKuna Taarifa kuwa Mwili wa Dada Caroline Mmari (26) umepatikana umezikwa nyuma ya nyumba aliyokuwa anaishi.Tangazo la kupotea kwa Caroline lilitolewa ktk Blogu hii tarehe 12/may na kurudiwa tarehe 25/may.....Mtoa habari Dada Ellen Maduhu atakuwa na Taarifa kamili kuhusiana na kupatikana kwa mwili wa Marehemu Caroline.Mume wa Marehemu ameshikiliwa na Polisi kwa uchunguzi.
ReplyDelete