Home
Unlabelled
nyuzzzz za enzi hizo...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hivi ndivyo uchumi wa Tanzania ulivyovurugwa sasa tunaanza ALIFU KWA UJITI.
ReplyDeleteukiona vimezama ujue vilitobolewa !!!!
Aliyeanzisha ile cold war ni traders ama Government?
ReplyDelete(US Blogger)
sentence za uhakika, paragraph zimeshiba. i wish ningejua byline ilikuwa ya nani.
ReplyDeletesiku hizi jamaa wanaandika kiingereza cha kukariri, soma magazeti yetu utaona kimombo kigumu - pasipo kufikisha ujumbe kwa urahisi kama hapo juu.
great flashback!!
Makala inasema Serikali imetaifisha vitega uchumi vya watu sasa aliyeanzisha hii vita itakuwaje wafanya biashara waliolambwa mali zao badala za Srrikali iliyodhulumu mali za watu.
ReplyDeleteAnkal hakuna kubania, ninasema Serikali ilidhulumu mali za watu na ndio maana zimewatokea puani.
Mali ya haramu haina baraka.
Ankal usibanie, tuwache na sisi tulio anti Ujamaa tuseme, katiba inatulinda.
Tena ninaandika makala inayoonesha jinsi ujamaa ulivyozaa rushwa na umasikini nchini nikiituma tafadhali uibandike.
(US Blogger)
We have never recovered since back when....mmmm...kumbe tulikuwa na ma-corporations na ma-banks. Wale wasoshalisti sasa watambue kuwa kuendesha biashara sio kupiga domo kuchukua mali za watu.
ReplyDeleteUchumi haukuvurugika. Uliimarishwa. Unadhani Mwalimu angekuwa mtembeza bakuli? Mwaka 1967 aliona mbali akajenga nchi hawa wa sasa wanabomoa. Ijue historia ya dunia na mataifa ya kibeberu na vyombo vyao ya IMF na IBDR ndipo umuhukumu vizuri Mwalimu.
ReplyDeleteThis is exactly what I have been shouting for number of YEARS on this blog and others just like this, but to dispointment you will be refuted right on your feets, just like Kambona and others during katika utawala wa Nyerere during those period.
ReplyDeleteUtter non sense, EXPERIMENTATION which gone HORRIBLY WRONG PERIOD!
Nyerere and his SOLE ideology for this country, never recovered until he retired to run away from shame and humiliation. He was simply COWARD. Yes I said that loud and clear.
Kuna mdau kasema kuhusu lugha nakadhalika, najua kiingereza si lugha yetu, pia alianza kuingilia masomo nakadhalika kwa nationalized lugha, kutuforce kusoma physics na biology kwa lugha ya KISWAHILI wapi na wapi, hatuinvent none of those subjects how can we read in foreign language on subject purely taught in other language, we should have appreciate what was good of the COLONIES, and reject EVIL, but what we did WE REJECT EACH AND EVERY FIBRE what was brought here thats non sense.
ni sawa sawa na kumwambia uncle Michuzi, asivae the fulanaz kwa sababu ni ya mkoloni, au asitumie mobile nk, atakuona kichaa, and this is exactly what happened to this beloved country.
ndio maana hata mimi huku ughaibuni nastruggle na Kiingilishi, this is in FACT WAS THE EFFECTS YA NYERERE, on nationalizing our EDUCATION SYSTEM, which we should have cherished, we shouldn't have been WHERE WE ARE NOW!
tumerithi SOGA TU, SIASA kila sehemu bila VITENDO, We learnt all from the MASTERS. siasa makazini, shuleni, kwenda chooni, mabalozi na makatibu kata, alimradi siasa everywhere, usifungue duka bila ya barua ya balozi, usitoke nchini bila ya barua ya mkuu wa mkoa, TOTAL CRAP, now we are heading back where we started, it make me really really sad.
ni hayo tu.
Nimefurahi sana kuona hiki kipande cha gazeti, kwa kweli nadhani wazazi wetu walipata hamu hata raha ya kuyasoma. Kiingereza kimeandikwa vizuri, kinatiririka kama uje au mlenda yaani unakuwa tu na hamu ya kusoma. Ebu kanunua The Guardian uone uozo ulivyoandikwa, yaani ni Wizi Mtupu!!
ReplyDeleteThis was the beginning of the troubles that dog us to this day. Some may not wish to admit it, but the fact remains that our woes began when Nyerere and his cohorts blindly embraced a particularly destructive form of socialism, which swiftly brought the economy to its knees in less than a decade. Sitasahau jinsi watu tulivokuwa tukipigwa jua katika foleni za unga wa ‘Yanga’ na sukari miaka hiyo. Hizo zilikuwa zikiitwa ‘bidhaa adimu’. Tulikuwa tukivaa ‘kata mbuga’ (zile kandambili zinazotengenezwa kwa kutumia matairi makuukuu) na kutinga nazo katikati ya jiji. Tulikuwa hatuchekani kwa kuwa karibu wote tulikuwa tukivaa viatu hivyo. Ni enzi ambapo ukiletewa raba na nduguyo aliye nje, basi mtaa mzima utajua. Tanzania ilikuwa ni miongoni mwa nchi chache sana duniani ambazo hazikuwa na kituo cha televisheni. Kwa ujumla, maisha yalikuwa ni ya dhiki tupu na kukatisha tamaa. This is what I remember ‘Baba wa Taifa’ for. This is his legacy as far as I am concerned.
ReplyDeletemichuzi asante sana kwa kuweka hicho kipande kwenye blog yak. his ndio issue nzuri hapa badala ya endless pictures. huyo hapo juu anayesema uchumi uliboreshwa hakumbuki maisha ya majority ya watanzania yalikuaje wakati huo. hii nchi ilikuwa vumbi tu. kila kitu kilikuwa hakipatikani. hata elimu iligeuka kicheko. just imagine tulikuwa tunanyimwa kuendesha magari siku za jumapili. maduka yalikuwa empty. hospitali zilikuwa hazina madawa. watanzania kwenye mipaka ya kenya walikuwa wanapigwa kama wanyama na wakenya kwa kutafuta sabuni na mahitaji mengine ya nyumbani. acheni tu.
ReplyDeleteAnoni wa Tue May 25, 12:49:00 PM, nikurekebishe kidogo;
ReplyDeleteBaba wa Taifa ni KARL PETERS