Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 25, 2010

    THESE PEOPLE NEED TO BE HELP, THEIR AGES PERFECT, THEY CAN DO SOMETHING FROM IT AND MAKE A LIVING OUT OF IT. WE NEED TO HELP THEM INTERMS OF A TINY BITS OF MUSICAL TRAINING AND MODERN MUSIC INSTRUMENTS.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 25, 2010

    wewe mdau wa kwanza unaesema we need to help them, sasa wewe umeshaanza? au ndio maneno matupu? numba ya simu wamewacha jee angalau umewapigia simu kuwapa hongera? au ndio kama wengine domo jumba la maneno? wewe utawasaidia vipi hawa? sema basi na weka jina lako tuone kama kweli uko serious.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 25, 2010

    Ankal I like these guys, kwa ujumla wana talent na kama kuna watu wenye fedha hapo ndo pa kufanya investment. Ningekuwa karibu ningewatafuta na kuwa menager wao kwani ukiwapatia vyombo vya kisasa hawa jamaa ni waimbaji wazuri! wanahitaji wafadhili na kuunda bend nzuri sana itakayotumbuiza wabongo. NItashuka siku moja na kutafuta vijana wenye talents kama hawa they can do big things.
    Asante ankal kwa kuwaibua hawa vijana for real wanahitaji msaada kama mdau hapo juu alivyo suggest.
    Mdau USA

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 25, 2010

    Mbona Anko Hujarusha kiru? au uliwapia pembeni?

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 25, 2010

    Kazi nzuri sheikh michudhi! nimewakubali hawa jamaa...gitaa la nyuzi tatu, na lina ungurumishwa kisawa sawa!!! mpiga drumz amenikosha na kamba yake gumbani!Nasikitika walishau kumrusha Predeshee,,,papaa Michuzi! maana ndio kwapa promo. Mdau wa USA(Anonymous) wa Tue May 25, 05:20:00 PM,,,hauko mbali ndugu, siku hizi dunia kama kijiji, wametaja namba yao ya simu 0654817139! na kama uko USA waweke ulimwenguni vijana hao.
    Mdau, De

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 25, 2010

    impressive.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 25, 2010

    Mimi nimeanza kuchanga immediately. Kwa sasa sitatoa tena tip kwenye restaurants na bars hapa Canada (kwanza wafanyakazi wa hizo sehemu wana mihela mingi kulinganisha na wenzao wa bongo), badala yake ninazichanga kwenye "piggiehole" kisha nitawapa masela nikitua bongo baadae mwaka huu. Ila ningependa kusikia nyimbo zaidi ya hii (hasa waliyotunga wenyewe) ili nipate picha halisi ya vipaji vyao.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 26, 2010

    Big up ankal kwa kutuletea vitu adimu , ni furaha tosha kwa wana blog kuona ankal ukihangaika bila kuchoka kutuletea na kuona vipaji kama hivi. siku hizi naona ankal umebadilika kidogo imekuwa vizuri maana tumechoka na habari za mafisadi mara diaspora mara huyu kala ndonozz,mara sijui tamasha la TBL,mara kufunguliwa matawi ya CCM mji wa kusoma . kama inavyosomeka blog yako kuwa ni blog ya jamii, na jamaa kama hao ni sehemu ya jamii please usiache kutuwekea vitu kama hivyo tumechoka na picha za wauza nyago na mafisadi . mungu akujaalie uchaguliwe kuwa mjumbe wa nyumba kumi mtaani kwenu ameen.
    mdau Pakacha UK.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 26, 2010

    YAH! HAWA NI SEHEMU YA WAJASIRIAMALI HAPA TANZANIA, NASHUKURU MH. MICHUZI KWA KUONYESHA KUJALI. LAKINI KAMA TULIVYO CHANGIA HIVI MAJUZI KUHUSU DUDUBAYA NA MAUZO YA MUZIKI, COSOTA NA HATI MILIKI. HAWA VIJANA SIYO RAHISI KUFIKA POPOTE. MAZINGIRA HAYARUHUSU KABISA. NINAO UHAKIKA WAPO VIJANA WENGI WALIOINGIA STUDIO! WANAVIPAJI KWELI KWELI NA KAZI ZAO HAZIKUWA KUSIKIKA HATA MARA MOJA HEWANI. HAWA TULIOWAONA NI WA KAWAIDA KABISA, KILICHOMVUTIA MICHUZI NI KWA KUWA WANAIMBA GORGINA WIMBO MAARUFU AMBAO MICHUZI ANAUPENDA NA PIA ALA WANAZOTUMIA. HIYO NI STRATEGY. UKIWAPATIA VYOMBO BORA NA WAKAPIGA NYIMBO ZAO HAKUNA ATAKAYE WASIKILIZA NA WALA MICHUZI ASINGEWARUSHA.
    LAKINI KIKUBWA NIMEZUNGUMZIA MAZINGIRA HAYARUHUSU KWA SABABU, KAZI NYINGI, HUISHIA HEWANI KUTOKANA NA SERIKALI BADO HAIJAONA ENTERTAINMENT INDUSTRY KAMA INAWEZA KUCHANGIA MKAKATI WA AJIRA, IKIONA HILO, ITASIMAMIA KWA NGUVU ZAKE ZOTE, KWA MAANA, KUANZIA PRODUCTION, PROMOTION NA DISTRIBUTION-(HAPA NDIPO MGOGORO ULIPO. KWA KUWA YOTE HII NI KAMA SYNDICATE, WATU WAMEHODHI. WAPI KAZI YA MSANII ITAPIGWA KWENYE RADIO NA TV KAMA WAO HAWAPATI MASLAHI?) NA KISHA HATI MILIKI, HILI NI TATIZO KUBWA PIA.
    LA MSINGI NI KUIAMBIA SERIKALI IWEKEZE KWENYE ENEO HII, IDARA ZAKE ZIJIHUSISHE (TBC) WAKAMATWE WANAOIBA KAZI ZA WASANII, IANZISHE GOVERNMENT SPONSORED PROMOTION NA DISTRIBUTION COMPANIES.
    LA SIVYO NI NGONJERA, KATIKA MAMILION ATAIBUKA MMOJA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...