Mwanaharakati Dk. Wilbrad Shayo akisalimiana na Bi Kidude alipomtembelea nyumbani kwake Zenji leo. Dk. Shayo, ambaye amesharudi nyumbani kimoja na sasa anapiga boxi Chuo Kikuu Huria (Open University of Tanzania) kama mhadhiri anasema libeneke la nyumbani poa kabisa, kiasi anajuta kwa nini alichelewa kurejea mapema. Ameahidi kumwaga atiko kuzungumzia hilo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 18 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 24, 2010

    Dr. Shayo karibu sana , His holiness yohanna mashaka amekuwa cheche sana kwenye hii blog, amekuwa Hana upinzani yaani he is reigning at will

    karibuni sana,

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 24, 2010

    Chuo kikuu Huria, manake nini?
    Kulostishana tu!!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 24, 2010

    POA DR LIBENEKE HOME NI POA NA ANDIKA HIZO ATIKO KUHUSU HUO UPOA BUT YOU WILL NEVER CONVISE ME TO RETURN THERE,NOPE!SUBIRI HAYA YAFUATAYO YATAKAPUKUA HISTORY NDO UNIAMBIA KWAMBA HUKO TZ NI POA

    1.RUSHWA
    2.URASIMU
    3.POLISI MBUMBUMBU
    2.MADAKTARI NA MA-NURSE WALIO NA ROHO YA KUTU
    4.MALARIA
    4.MMBU
    5.UKIMWI
    6.FOLENI aka TRAFFIC
    7.VIONGOZI WA BINAFSI
    8.MAUAJI YA ALBINO


    OK Dr.YAKIISHA HAYO LET ME KNOW.
    MDAU-CALIFORNIA,yes

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 25, 2010

    Mr. Prime Minister, dr Shayo kalibu sana ,Rais John Mashaka abaumiza vichwa vya wadau. Anahitaji mpinzani Kama wewe
    wakuu anzeni kutayarisha baraza la mawaziri la 2015 pamoja ma sera zenu za uchumi. Mr. President wanajamvini wanamkubali sana isipokuwa Peter Nalitolela wa muzumbe

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 25, 2010

    shayo jamvi linakusubiri kupambana na nabii ambaye amekuwa maarufu hata kumliko rais wa nchi ya danganyika, jamaa yule kiboko, njoo tunakuaminia

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 25, 2010

    us-blogger naye alitapatapa na kuishia wapi wajameni?

    nilijua tu yule angetokomea, yeye ni mpinzani wa mashaka tu, mashaka asipokuwepo haonekani

    us blogger unanisoma, hacha kujifisha njoo basi uonyeshe umahiri wako

    mlipokuwa na mijadala mikali na mashaka, hii blog ilikuwa inatembelewa kichizi, siku hizi umepotea habari motomoto zikapungua, njoo mkuu

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 25, 2010

    Kwa nini unapoteza muda wako kujiuza uza wewe? Unaandika meseji zote hizi wewe peke yako na unaongelea kitu hicho hicho kuhusu wewe mwenyewe, una kaswende kichwani???? Bushmastakafalu!!!

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 25, 2010

    dr mi nahisi we huwezi kusaidia chochote ktk maendeleo ya mtanzania halisi coz hata we mwenyewe maendeleo huna...umekaaa kisiasa zaidi na kutuibia kuliko kuleta maendeleo nyumbani kwanza huna hata personality ya ki dr...km kweli unaweza fanya

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 25, 2010

    Dr. siwei nikatumia lugha mbaya huku lakini mimi najiuliza nini maana ya hii post?

    Wewe umesoma nchi za nje na umeona jinsi ulimwengu ulivyokua kuwa melting pot. Sasa wewe unavyosema nyumbani poa ina maana ulikua huna life huko uliko ndio maana unaona maisha ni poa kuliko yale uliyokua unaishi? Aui ulikua huna papers za kukufanya upate kazi ya maana kulingana na elimu yako. Who knows ulipelekwa na scholarship?

    Unavyoszungumzia kitu usigeneralize kabla hujafanya research. Na pia mimi nyumbani kwetu ni poa na huku nilipo ni poa vile vile. Sioni sababu ya wewe kujidai ulichelewa kurudi. Speak for yourself wengine tuna maendeleo mazuri tu huku na huko pia.

    Halafu mkianza mambo ya ukoloni watu turudi. Tukirudi wote halafu ndio iwe nini. Wawekezaji watatoka wapi? Mnataka turudi wote halafu tukija kuzaa watoto wetu waanze kuingia kwa kuhangaika kama siye tulivyohangaika. Baba zetu walikuja na kurudi nyumbani wahindi, wanigeria, wakenya wao walikuja wakakaa huku huku na watoto wao hawajahangaika kuanza maisha kabisa. Wengi wao ndio hao unawaona wanashikilia hizi nchi za watu. Na imagine baba yangu angezamia huku mimi ningeula kiurahisi kweli.

    Tupunguze mawazo ya kizamani. Kusoma ni kuelimika...Kwanza wewe umekaa kisiasa siasa tu...Sijui utanieleza nini ni kuamini kuwa huna hila nyingine unarudi nyumbani unaanzia kwa bibi kidude. Hayaaaa yangu masikio

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 25, 2010

    sielewi.... MHADHIRI ndio nini?

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 25, 2010

    hao wanaomuita dr. shayo heti hana personality ya uwaziri mkuu, ni ma haters tu, ili mradi mr. president mashaka anamkubali shayo kuwa makamu basi siye hatuna noma. wewe utakuwa na utindio wa ubongo shayo akiwa na kaswende kichwani, kumbaf wee,wizi mtupu wee una nini wakati ni anonymous fala sana kunguru. shayo juu, juu juu zaidi. mashaka juu, juu, juu kabisa. ccm hoyeeee
    ccm reading mpo???? TUPOOOOOOOOOOO

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 25, 2010

    Duh..kumbe Bi Kidude ni mfupi hivi?

    Sikuwa nimewahi kumuona full live au kwenye photo.

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 25, 2010

    Jamaa kamfunika Mashaka. Halafu hatumii witch doctor wala nini..

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 25, 2010

    Ankal Michuzi hebu tubandikie hizo kazi huku. Tunataka tuapply tukiwa huku huku na kujua moja. Hao waajiri si wanajua kufanya online na phone interviews. Tukiona kazi zinalipa kuliko huku tutarudi tu bila wasiwas la sivyo huoni mtu anakuja kihasara hasara.

    Wengine mambo ya kujipendekeza kwa CCM hatuwezi. Kazi za kueleweka zipooooo? Wekeni huku tuzione la zivyo hamtuoni hapo kabisa....Nyumbani kwetu wanasema kaa huko huko sasa sijui wao wanaishi nchi ipi? Nitaosha vizee na masters yangu lakini najua nyumbani waneemeka kwa kupitia mgongo wangu. Sidhani nikija huko nikafungua nyumba ya kutunza vizazi italipa kama huku

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 25, 2010

    Uncle michuzi huyu dr shayo ni nanai mbona watu wamewehuka sana naye? nitatafuta wasifu wake nijue kwa nini watu wamechangamkia hii mada.

    eee kwa kifupi bi kidude, ameweka pozi la kimiss, naona bado yuko bomba ile mbaya,
    lakini pia hoja ya msingi ya huyo dr, shayo, sijui kama ni wa mifugo au wa mbogamboga au wa mijivitabu, cha muhimu ni kwamba kasema amerudi nyumbani, jamani mkataa kwao mtumwa! dr. nataka ukasirike, eeee tangaza nia fasta!

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 25, 2010

    (1) Dr. Shayo, welcome back. Mchango wako unathaminiwa. Mimi niliishi ughaibuni (US na Ulaya) miaka 16. Mwenyazi Mungu alinisaidia kutimiza malengo yangu ya kimaisha yaliyonipeleka uhamishoni. Nimerudi nyumbani na kujua kuwa hapa ni kwetu. (2) Wewe unayejiita Mdau California - mchangiaji wa tatu - nakushauri usome historia ya Marekani ili utambue kuwa "ukiviona vyaelea ujue vimeundwa.". Wamarekani wametoka mbali: kulikuwa na kuwpora nchi na kuwamaliza wenyeji (native Americans au Red Indians), watumwa Waafrika mamilioni, vita vya uhuru (American war of independence), vita vya wenyewe kwa wenyewe (civil war), njaa, the great depression ya uchumi miaka ya 1930's, maradhi ya mlipuko, etc. Hata hivyo, pamoja na kupitia mitihani hiyo yote, USA wameweza kufikia hapa walipo kwa (1) Kufanya kazi, (2) Ujasiriamali shupavu (daring enterpreneurship) (3)Familia na communities kuchukua responsibillity yaani kuwajibika, (4) Hata siku moja Waamerika hawakukaa na kusema "tunaingoja serikali itufanyie hiki na kile"...never. Kwa kifupi Imechukua miaka mia nne USA kujengwa na miaka 200 baada ya uhuru wa kutoka UK kufikia hapa. Wewe "mcalifornia uchwara" kaa huko huko, huo ni uhuru wako, lakini kamwe usidhani kuwa Watanzania wote wana mawazo ya kijinga kama wewe. mjenga nchi mwananchi, mvunja nchi mwananchi. Waamerika wanlijua hilo ndiyo maana wameoiga hatua. Rais J. F. Kennedy alisema "Ask not what your country can do for you, ask what you can do for your country". Wewe ngoja tu uwe senior citizen uishie kwenye old people's home, mwenyewe utai-miss TZ na extended families zetu: utajuta. Tunathamini mchango wa kina Shayo, J Mashaka na wengineo ambao tunawaona wanafanya nini hapa nyumbani.

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 25, 2010

    Jamani kama mnaamua kurudi nyumbani rudini, hiyo ni personal decision. Kila mtu na maisha yake. Huku at least utafikia umri wa u-senior citizen; nyumbani ukizeeka namna hiyo utapigwa mawe kwa kuwa mchawi..life expectancy ndogo, healthcare sucks. Ukiamua kurudi nyumbani is good, lakini usiwe na supreme arrogance ya kuwa wewe unafanya jambo la maana na walioamua kubaki hawataki kujenga nchi. Rudini mkaibe hela za serikali, siye wengine tuna conscience!

    ReplyDelete
  18. AnonymousMay 26, 2010

    WEWE MTOA MAONI HAPO JUU NDO MBUMBUMBU HASA,IF I CAN WORK HERE AND LIVE A NON STRESSFUL LIFE,WHO GIVES A DAMN ABT COMING TO TZ WHERE THERE S LIST OF SHITY STUFFS.WE PIGWA VUMBI HUKO HUKO BONGO,WIVU TU

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...