Kikundi cha Ngoma kutoka nchini Ethiopia,
wakitoa burudani kwenye sherehe za siku ya Afrika usiku wa kuamkia leo jijini London
Mheshimiwa Balozi Mwanaidi Maajar akiwa na Naibu Waziri Mambo ya Nje anayeshughulikia mambo ya Afrika na ambaye ni Mbunge kutoka Chama cha Conservative Mheshimiwa Henry Bellingham pamoja na wageni wengine.
Baadhi ya Viongozi, Maofisa wa Ubalozi na Wageni waalikwa kwenye Sherehe za Siku ya Afrika, hapa London.
wageni wakiburudishwa na ngoma toka Ethiopia











Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 26, 2010

    Waswaili husemaaa: MFA MAJI: HAISHI KUTAPATAPA

    Anayetaka FRONTING: Ruksaa
    Anayetaka ................... :Ruksaaa
    Anayetaka ................... :Ruksaaa

    Ruksaaaaa
    Ruksaaaaa
    Ruksaaaaa

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 26, 2010

    Te he te he te he

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 26, 2010

    usiku wa afrika ngoma ya kimatumbi ipo wapi mbona tunaona bendera tu inapepea na ngoma ya ki ethiopia tu imetawala

    mdau sweden

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 26, 2010

    katika hizi picha imenifurahisha ya Mr & Mrs Kiondo mmependeza, mama umetoka safi kwenye vazi la kiafrika

    jirani Aeroflot

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...