Mkurugenzi wa Twanga Pepeta Da' Asha Baraka akiongea usiku wa kuamkia leo ukumbi wa Mzalendo Pub jijini Dar wakati wa mnuso maalumu ulioandaliwa na bendi hiyo kusherehekea ushindi wa tuzo za kili music awards ambapo African stars ilinyakua tuzo ya Bendi Bora, Albamu Bora na Rapa Bora. Shoto ni mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya sherehe hizo Papaa Muddy Bawaziri
Mjomba naye alikuwepo shereheni na tuzo yake. alipanda jukwaani kughani pia
Da' Asha akimkabidhi Charz Baba mshiko Albamu bora ya Mwaka ya laki 5 ya Kili awards ambao wanamuziki watashea
Da' Asha Baraka akiwa na kiongozi wa Twanga Pepeta Lwiza Mbuttu baada ya kumkabidhi mshiko wa Bendi bora wa laki 7 ambao pia wanamuziki watashea
Mtu mzima Abou Semhando 'Baba Diana' akikaanga chipsi







Gado mzee wa kula bata.
ReplyDeleteRay na Kanumba punguzeni mabia mnazeeka sasa hivi!!!!!! haya mi nawapenda ndio maana nawaambia ukweli
ReplyDeletewanawake watano!
ReplyDeletemmependeza