Mratibu wa Tamasha la Kwanza la Old Skul Tanzania linalotarajiwa kufanyika Julai 7, 2010 katika viwanja vya Karimjee akiongelea asili na maandalizi ya tamasha hilo ambalo linaandaliwa na wakongwe wa muziki nchini wakishirikiana na wadau wa muziki. Tayari maandalizi yamepamba moto na Juni 1, 2010 wanamuziki wakongwe wastaafu na walio majukwaani bado wataanza mazoezi kuandaa vibao vya kutumbuiza siku hiyo.
Home
Unlabelled
waziri ally azungumzia ujio wa tamasha la old skul Dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
HONGERA SANA WAZIRI KWAKU ANDAA TAMASHA LA OLD SCHOOL...SISI WADAU WA ULAYA,MAREKANI TUNA KUUNGA MKONO
ReplyDeleteINABIDI WAZEE MFUFUE MUZIKI HALISI WA TANZANIA,AMBAO ULIWEZA KUTANGAZA TANZANIA KIMATAIFA
Ni wazo zuri ingawa naona limepinda kidogo. Maana linalenga wakongwe tu sasa sijui huu ukongwe utaishia wapi miaka 20,30, 40 au??!! Na kama litalenga wakongwe tu ina maana umri wake utakuwa mfupi maana hao wakongwe wakiisha na tamasha litakuwa limeisha. Ningeshauri kama tamasha lingelenga zaidi kwenye mziki na maana yake. Kama ambavyo Waziri alivyoanza kuelezea maana ya mziki na tofauti ya mziki ulivyokuwa zamani na sasa hivi. Hii itasaidia kuhamasisha watu kuuchokonoa zaidi mziki badala ya kukimbilia kuchoma tu CD.
ReplyDeleteHongera sana waziri kwa kuandaa tamasha hili,mimi naishi nje ya nchi lakini ningependa kuhudhuria tamasha hili na kuja kumpa hongera waziri kwa kuandaa tamasha hili maana nami ni mpenzi wa zilipendwa.
ReplyDeletena kama si vigumu ningependa kuwasiliana na Waziri kwa ajili ya ushauri zaidi(ni wazo langu kama inawezekana)
Thanks God nintakuwa bongo after a long time! Please msibadilishe tarehe tafadhali! I need to see my old skul nimemiss sana bongo.
ReplyDelete