Hii ni Video ya nyimbo ya pili kutoka kwa Babu Sikare aka Albino Fulani baada ya single ya Barua kwa mama. Ni moja ya nyimbo katika soundtrack ya movie inayoitwa Baby Powder ambayo pia ameshirikishwa kwenye uigizaji itakayotoka hivi karibuni. Video imetengenezwa na Karabani. Albino Fulani ambae pia ni CEO wa Afrobino hivi karibuni aliongea kwene TedExDar kuelezea historia ya maisha yake na pia jinsi anavyotumia muziki kuonyesha jamii kuwa maalbino ni binadamu wa kawaida na wasitengwe kwenye jamii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Baba UbayaJune 07, 2010

    Mambo makubwa mkuu.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 08, 2010

    Kazi nzuri sana,nime replay kama mara sita hivi.Wimbo umetulia,video imetulia.

    Kila kheri

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 08, 2010

    ....nina plan ndefu kama miguu ya Thabeet... hahahahaha

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 08, 2010

    Babu Sikare, upo juu kama dege la Osama!

    Unazikumbuka zile za ... My pips? i.e my people? Unatu-panick-isha watu mwenyewe, ukiwa jukwaani na mi-raggae yako (shule kule - chijijini), halafu ,mwenyewe aaaah, wasiwasi huna. Long time, kitambo.

    Nice seeing that you are doing well in life, Albino Fulani, as you call yourself.

    Wishing you all the best, and may you keep on excelling.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...