Hii ni Video ya nyimbo ya pili kutoka kwa Babu Sikare aka Albino Fulani baada ya single ya Barua kwa mama. Ni moja ya nyimbo katika soundtrack ya movie inayoitwa Baby Powder ambayo pia ameshirikishwa kwenye uigizaji itakayotoka hivi karibuni. Video imetengenezwa na Karabani. Albino Fulani ambae pia ni CEO wa Afrobino hivi karibuni aliongea kwene TedExDar kuelezea historia ya maisha yake na pia jinsi anavyotumia muziki kuonyesha jamii kuwa maalbino ni binadamu wa kawaida na wasitengwe kwenye jamii.
Home
Unlabelled
Albino Fulani Ft Sugu, Mwana FA and Belle 9 - Nafasi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Mambo makubwa mkuu.
ReplyDeleteKazi nzuri sana,nime replay kama mara sita hivi.Wimbo umetulia,video imetulia.
ReplyDeleteKila kheri
....nina plan ndefu kama miguu ya Thabeet... hahahahaha
ReplyDeleteBabu Sikare, upo juu kama dege la Osama!
ReplyDeleteUnazikumbuka zile za ... My pips? i.e my people? Unatu-panick-isha watu mwenyewe, ukiwa jukwaani na mi-raggae yako (shule kule - chijijini), halafu ,mwenyewe aaaah, wasiwasi huna. Long time, kitambo.
Nice seeing that you are doing well in life, Albino Fulani, as you call yourself.
Wishing you all the best, and may you keep on excelling.