Home
Unlabelled
ankal agongana na Bw. harusi mtarajiwa na wapambe usiku huu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
ohoo, anamuoa nani ade kiliba jamani? mungu akujalie kaka yangu ndoa hii idumu milele, huhuuhuhuhu.
ReplyDeleteAnkali naona unakula maraha na wadau tuu.
ReplyDeleteIla nina swali la kizushi huyo jamaa aliyeweka vidole viwili kwenye hiyo picha naomba umuulize swali kama hiyo staili bado ipo siku hizi. Nakumbuka mwanzoni mwa miaka ya 90 (hasa 1992-1998) tuliitumia sana enzi za kina ""kris kros"" na DJ Freduawaaa ni shahidi yangu. Sasa kama bado ipo basi itakuwa ni "old style"...imenikumbisha mbali
ade,
ReplyDeletendoa si mchezo, ni ngumu ndugu yangu, ujue hayo mambo ya kinywaji ndio yawe kikomo. Bila ya hivyo hautadumu fanya unavyojua ila mheshim mkeo na hao mashangingi wote marufuku. Ingewezekana ufundwe na wewe ingekuwa vizuri ila najua kina kamichu watakuwa washakupa fundisho.
Anamuoa yule mtoto wa Mchungaji Rwakatare sijui jinalake ni nani !
ReplyDeletehongera sana Ade na MUngu awadumishe na maisha yenu ya ndoa yadumu milele na zaidini Mungu aliyewaunganisha hakika mkadumu katika yeye kwan navomjua Rose ana hofu ya MUngu nina imani hata wewe uko hivyo hivyo na zaid Bwana Akajitukuze katika familia yenu,
ReplyDeletehope kwenye send off will shake hands together MLIMAN CITY
god bless u
Mbawalla
ya huyo tol nadhan ni yeye jamaa bt sina digit zake pia ps mwenye nazo help......
ReplyDeletehuyo tol nadhan ni ansel wa DC mwenye contact zake ps naomba ...kama ni yeye nway!
ReplyDelete