Ankal akila pozi na mdau Adelaide Kiliba (aliyeketi) na wapambe wake kabla hajaelekea ukumbi wa Diamond jubilee hall kwenye mnuso wa kabla ya kumeremeta Jumapili hii. Bahati mbaya, ama nzuri, ankal alikuwa anaelekea kwenye mnuso mwingine hivyo akaishia hapo hapo kwenye pub mitaa ya kati ya Upanga. Libeneke Oye!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 13, 2010

    ohoo, anamuoa nani ade kiliba jamani? mungu akujalie kaka yangu ndoa hii idumu milele, huhuuhuhuhu.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 14, 2010

    Ankali naona unakula maraha na wadau tuu.
    Ila nina swali la kizushi huyo jamaa aliyeweka vidole viwili kwenye hiyo picha naomba umuulize swali kama hiyo staili bado ipo siku hizi. Nakumbuka mwanzoni mwa miaka ya 90 (hasa 1992-1998) tuliitumia sana enzi za kina ""kris kros"" na DJ Freduawaaa ni shahidi yangu. Sasa kama bado ipo basi itakuwa ni "old style"...imenikumbisha mbali

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 14, 2010

    ade,

    ndoa si mchezo, ni ngumu ndugu yangu, ujue hayo mambo ya kinywaji ndio yawe kikomo. Bila ya hivyo hautadumu fanya unavyojua ila mheshim mkeo na hao mashangingi wote marufuku. Ingewezekana ufundwe na wewe ingekuwa vizuri ila najua kina kamichu watakuwa washakupa fundisho.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 14, 2010

    Anamuoa yule mtoto wa Mchungaji Rwakatare sijui jinalake ni nani !

    ReplyDelete
  5. hongera sana Ade na MUngu awadumishe na maisha yenu ya ndoa yadumu milele na zaidini Mungu aliyewaunganisha hakika mkadumu katika yeye kwan navomjua Rose ana hofu ya MUngu nina imani hata wewe uko hivyo hivyo na zaid Bwana Akajitukuze katika familia yenu,
    hope kwenye send off will shake hands together MLIMAN CITY
    god bless u
    Mbawalla

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 15, 2010

    ya huyo tol nadhan ni yeye jamaa bt sina digit zake pia ps mwenye nazo help......

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 15, 2010

    huyo tol nadhan ni ansel wa DC mwenye contact zake ps naomba ...kama ni yeye nway!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...