Ankal akiwa na Mzee wa Nondozzz Ernest Makulilo jr na mai waifu wake a.ka. shemeji yetu Marie jijini Dar ambako wamekuja katika vekesheni ya utambulisho toka California, Marekani.
Cheki kumeremeta kwao hivi majuzi kulivyonoga:
Mambo mengine ya Makulilo jr.
bofya katika linki hizo chini:
http://www.facebook.com/album.php?aid=431040&id=623205200&l=2688b56a6b

www.makulilo.blogspot.com
www.scholarshipnetwork.ning.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 08, 2010

    mhh huyo wife :)

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 08, 2010

    Du!kaaazi kweli kweli! kaka zetu nanyi!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 08, 2010

    Wow! huyo ni bonge la fashionista! Anajua kuvunja kabati!

    ReplyDelete
  4. Pongezi kwako Kaka Makuliko kwa hatua upigazo.
    Baraka kwako Kaka

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 08, 2010

    mradi karatasi likae sawa! mengine baadae.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 08, 2010

    mi sidhani kama huyu dada kaolewa sababu ya karatasi, anaonyesha anaupendo kabisa. Kaka makulilo sasa hizo nywele si ukate? ona obama alivyo hata jk ananywele fupi wewe bado afro jamani, unatuangusha uko fresh, msomi wa nguvu hebu fanya mambo mengine basi.

    NB: kamichu umerudi lini toka germany? gari ulileta lile? au ilikuwa mikogo tu?

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 08, 2010

    Karibu wifi yetu.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 08, 2010

    du mambo ya makaratasi hayo....

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 08, 2010

    mzee wa nondozz anaonekana kama yuko kwenye 40's wakati ndo kwanza 29 hizo nywele na masharubu zinamfanya aonekane oldiiiii kaka badili muonekano

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 08, 2010

    Wa kale waliimba "wifi karibu nyumbani, wifi yetu wa gharama ........" wao mama waoooooo

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 08, 2010

    heeee ana miaka 29?mweee

    karibu wifi letu bongo jisikie nyumbani kabisa

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 08, 2010

    Makulilo,

    Kijijini kwenu watakukoma!
    Watu hawanywi maji!
    Umeoa Mzungu?
    Wabongo kweli kazi tunayo.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 08, 2010

    Karibu mjomba makulilo,bado ndugu zako tunakusubili kambini mtabila hapa,bora wewe umekuja na karatasi.

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 08, 2010

    Huyu Jamaa nina uhakika Makaratasi yake yamenyooka. Wenye matattizo na makaratasi hawaji nyumbani maana wazamizi. Hivi hamjiulizi kwa nini ndugu zetu walio huko US hawaji nyumbani hata mara moja bnaada ya miaka 4.?Wai? Kwanini?...simpo uzamizi. Huyu mzee wa Afro nina uhakika makaratasi yake yako OK 100%.

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 08, 2010

    WATU WENGINE BWANA, KWANI SHAPE YA MKE WA MTU INAKUHUSU NINI? PILI ILIYOSHAMBANI YAKUWASHA NINI?

    NYAMA YA NG'OMBE NI ILE ILE HATA UENDE BUCHA NGAPI UTAULIZA TU NATAKATA NYAMA YA NG'OMBE.

    UTAMU WA PIPI MATE YAKO.

    RAHA YA NGOMA ANAIJUA MCHEZAJI MWENYEWE.

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 08, 2010

    mi hata swali sina, ila tu naomba hii ndoa idumu, na ibilisi wa divorce na ashindweeeee, manake hapo kaka una hatari hata kama ukikorofisha wewe unapigwa kadi ya njano toka upande wa pili, umelikoroga mwenyewe na ulinyweee.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...