Home
Unlabelled
msaada tutani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
wewe mdau wacha kutuyeyusha bwana sisi tuna machungu ya kupoteza mechi nyumbani,yani wewe unauliza mk***u wa mbwa wakati mkia unauona bana
ReplyDeleteZEBRA is neither black nor white im afraid but has both white and black stripes i think
ReplyDeleteHili ni swali la kisayansi.
ReplyDeleteJibu sina, nasubiri hoja za uchumi na siasa.
(US Blogger)
Many (scientists, zoologists, researchers etc) have agreed that Zebra's skin color is black with white stripes, read the explanation at "HowStuffWorks.com" (click here)
ReplyDeleteKwa macho yangu (na ninaamini kuwa sipo 'colour blind'), huyo pundamilia uliyemuweka hapo (sijui wengine), ni mweupe mwenye mistari meusi; yaani, 'background' yake ni nyeupe, then stripes nyeusi.
ReplyDeleteKwa muonekano wangu na upeo wangu wa uchoraji(art) nadhani ngozi ya pundamilia ni nyeusi yenye mabaka meupe.Ukiangalia mdomo na visigino vya pundamilia vina rangi nyeusi hiyo inadhihirisha(kimtazamo wangu) kuwa Pundamilia original yake alitakiwa awe mweusi-mweusi (darkish).Pili ukiangalia wanyama wengine wanaoshabihiana na Pundamilia kama pafu,nyumbu(wildbeast) wana darkish color.
ReplyDeleteinategemea rangi gani ni dominant na ipi ni recessive. katika elimu ya genetics, rangi hizo huwezi kuzijua kwa kuangalia kwa macho. ni suala la kujua mpangilio wa genes katika chromosomes na kujua gene ipi inadominate he other. mfano inaweza kuwa gene nyeupe ndio dominant kwa pundamilia huyu lkn ikawa recessive kwa pundamilia mwengine.
ReplyDeletehivyo mdau tafuta pundamilia mmoja mpeleke kwa wataalamu wa vinasaba ie genetics watamchunguza na kuwambia kuwa huyo ni mweupe mwenye mabaka meusi au ni mweusi mwenye mabaka meupe.
nataraji kuwa utakuwa umenielewa.
haa,haa,ha,ha,ha.....anauliza....... wkt anaona mwenyewe.mdau mwenzangu hapo juu inaonesha unajazba kichiz,pole bwana ila ndo uzalendo.
ReplyDeletei luv this animal ana mahips ya kufa mtu!
ReplyDeletehere's a fact. ngozi ya pundamilia ni nyeusi yenye mistari myeupe.namaliza hoja
ReplyDeleteZEBRA ANA MISTARI MEUSI NA MEUPE,MISTARI MWEUSI UNAMSAIDIA KUVUTA JOTO KUINGIA MWILINI KWAKE TOKA KWENYE JUA NA MWEUPE UNAREGULATE JOTO LA MWILINI KWAKE KWA MAANA HIYO ZEBRA ANAWEZA KUISHI MAZINGIRA YEYOTE BILA TATIZO, NA MISTARI MEUSI ILE NI KAMA FINGER PRINT YANI HAIFANANI KABISA NA MWINGINE, NATUMAINI UMENIPATA KAMA UNA SWALI JINGINE KUHUSU MNYAMA YEYOTE, NDEGE MITI USISITE KUULIZA TUPO KWA AJILI YA WADAU WA ANKALI
ReplyDeleteBALTAZAR ATHANAS
www.kipepeotours.com
www.tanzaniasafarisafrica.com
kama sikosei ukimuangalia punda milia kwa karibu sana rangi nyeupe hiyo inayosemwa siyo nyeupe haswa. Sina jina zuri sana kwa ajili ya rangi hiyo ila kuna ukahawia ambao haujakolea (very light brown). Hiyo nyeusi nayo haiko nyeusi kama nyeusi tunayoijua.Wanasayansi wabuni mambo wanaweza kutueleza hasa rangi zake na ipi ndiyo kuu.
ReplyDeleteNilijua tu: a Black man will say a zebra is black with white stripes and a whiteman will say a zebra is white with black stripes. Hakuna cha sayansi wala nini. Naamini niko sahihi. nafunga mjadala.
ReplyDeletekivyovyote vile:
ReplyDeletenampenda sana sana uyu mnyama ni mzuri na mpole na anavutia sana anapamba mbuga kwa rangi zake maridadi,,,mola kakujaalia kuwa nao wengi sana hawa!!
pundamilia
Hapa mnazungumzia rangi ya manyoya au ngozi?
ReplyDeleteMwenyezi mungu ni muumbaji.
I love this blog.
Hehe
K.O.R.
Forget the raging debate above.
ReplyDeleteWhen I saw the picture, I was amazed at the beauty of this creation.Look at the perfect symmetry, the design and the majesty.It reminds me of...if you are looking for a miracle see how we created the camel...Quraan.
mjomba endelea kukaa kwenye mabaraza ya kahawa utaendeleza elimu yako.unaonyesha kutokana na swali lako elimu yako ni duni sana ni sawa na swali la mavazi ya unisex nani anapaswa kuvaa?
ReplyDeleteSWALI: hivi pundamilia na wale punda wa rangi ya kijivu hivi wakizaa mtoto atakuwa half cast wa mtindo upi?
ReplyDeleteMaswali mengine bwana hayanaga macho wala miguu!! We mtu unajua kabisa pundamilia wanapatikana wapi, mikumi wapo wamejaa tele si uende ukawaulize wenyewe?? So simple we nenda uawaulize eti nyie pundamilia rangi yenu hasa ni gani?? Watakujibu tu no problem!!
ReplyDeleteAngalia rangi iliopita kwenye uti wa mgongo moja kwa moja ni ipi? Kwa hapo ni nyeusi hivyo huyo pundamilia ni mweusi na mistari myeupe!
ReplyDeleteWhite and Black,
ReplyDeleteAccording to WikiAnswers
Zebras are black or dark skinned animals with large white stripes and blotches to give camouflage from its predators. Some Zebras have shadow stripes between the white and black colouring.
It is believed that zebras are black animals with white detail for three main reasons. The first is that white equids would not be able to survive well in the plains or forests of Africa. Secondly, the extinct species of plain zebra, known as the Quagga, had the white stripes of zebras today on the front of their bodies, but a dark coloured rump. The third reason is based on the Shadow stripes. When the pigmented white band becomes to wide, a secondary stripe starts to emerge. The idea that some zebras have white under bellies and legs is not thought to be evidence of an overall light colour, since many animals of different colours have white or lighter coloured bellies and legs.
Naanza kwa kuipongeza timu yetu ta taifa kwa kazi nzuri walioifanya jana kumenyana wale jamaa, sio kazi ndogo hata hizi timu za ulaya pia wanaogopeka. hongera saaaaana taifa ijapowa magoli matatu ni ya mlinda mlango!!!!!!! na vilevile naipongeza tena ninafikiri ndiyo timu ya kwanza kwa afrika kuwafunga brazil kama sijakosea.kwa mchezo wenu mnhitaji malekebisho kidogo tu,( uwezo wa kufikiri kwa haraka wakati uko uwanjani. mfano jamaa mlipowabana kabisa wakhamua kubadilisha mchezo wakifika karibu ya penliti box wanatoa pasi kwa kuchota mpira kwa juu sio tena kupitia chini.
ReplyDeleteWatu wengine bwana, sasa ukishajua rangi ya huyo mnyama wewe inakusaidia nini?? Haya ndio matatizo ya watu kukosa kazi, unadhani kama mtu uko busy na maisha unakuwa na muda wa kuwaza maswali yasiyo na mkia wala miguu??
ReplyDeletekama ujisikii kumjibu mtu y the hell waste ur tymmm
ReplyDeleteila kwa kweli mnyama huyu ana mvuto sana bado kina miss twiga Mungu wabariki hawa wanyama wazidi kuwa wengi
ReplyDeleteOOOPS! Easy! angalia rangi za mdomo na tundu yake ya nyuma then jibu utalipata.
ReplyDeleteteh,heheeeee!
Aisee, haya maswali mengine bwana ya kizushi tu. Any way hii ndo shida ya wanaoona black and white.
Mkuu mimi nina swali linanisumbua sana, " HIVI UNAPOOTA NDOTO IMA NI USIKU AMA ZILE ZA MCHANA,HUWA TUNAVYOOTA NA KUVIONA NDOTONI NI COLOURED AU BLACK AND WHITE"?????
Pundamilia Jike ni mweupe mwenye mistari myeusi.
ReplyDeletePundamilia Dume ni mweusi mwenye mistari myeupe. Utaona tofauti yao ukiwaona pamoja. Nina uhakika na hilo.
Anwar Nyangasa
Swali zuri. Sina jibu isipokuwa kusema kuwa wale ambao wanatukana katika forum hii, waache matusi yao, wasitutie kichefuchefu. Wenye kutukana wote hapa nawashauri waende kwa madaktari wa akili.
ReplyDelete