
Balozi wa Tanzania nchini Afrika ya Kusini ,Mh. Radhia Msuya akiwahutubia wa Tanzania waishio nchini humo katika mnuso wa kumkaribisha rasmi

Mh. Radhia Msuya akiwa na Mtangazaji wa BBC,Ankal Charles Hilaly katika mnuso huo wa kumkaribisha Balozi wetu huyo Nchini Afrika ya Kusini iliyofanyika mjini Pretoria.

Baadhi ya Watanzania waishio Mjini Pretotia nchini Afrika ya Kusini wakiwa na furaha kwa kujumuika katika mnuso wa kumlaki Balozi mpya wa Tanzania nchini Afrika ya Kusini,Mh, Radhia Msuya.
charles hilary anastahili kuwa balozi. kwani ubalozi hausomewi ni mtu kuwa na busara na charles ana exposure ya kutosha na ni mwenye busara hata ukimsikiliza unamuelewa kabisa.lakini nina uhakika ana furaha na hapo alipo. i am proud of you brother charles tangu enzi hizo za RTD
ReplyDeleteKumekucha huko si mchezo!!
ReplyDeletei hope umekuja na Vuvuzela lako karibu sana
ReplyDeleteankal CHARLES HILARY nashukuru sana kwa kunipa maiki yako na kufanya intavyuu ambayo ilikuwa inarushwa hewani laivu juzi tulipokutana pale J'burg kwa kweli wewe ni muwakilishi mzuri hata watoto wa kisauzi uliowapa maiki walikufurahia mno.Mungu akubariki ankal charles.
ReplyDeleteNi mimi mdau ERNEST(tolu)aka NOVA.
Mhe Radhia Msuya ana jukumu kubwa la kuhakikisha kukaa kwake huko kunanufaisha Taifa kwa kukuza biashara na kupata wawekezaji imara. Mawasiliano na taasisi za hapa nchini ni muhimu.
ReplyDeletemdau wa kwanza hapo umegusa swali langu kila siku nauliziaga huku kwa kaka michuzi ili atutangazie. Ni wapi hizo kazizinatangazwa na qualifications zake ni zipi. Mimi ningependa sana kufanya kazi hii...kama ni exposure mimi nimeishi nchi 12 kama utacounty my home county too....Nina elimu na work experiense katika public relationship kwa miaka mingi tu..
ReplyDeleteUncle hebu tuwekee post a kazi hizi zikitoka hata siye tugombee...