Mshindi wa Vodacom Miss Kanda ya Kati Beatrice Premsingh(katikati) mshindi wa pili Willem Etam (kushoto) na Mshindi wa tatu Pili Issa (kulia) na mshindi wa tano Leilah Salvaory wakiwa katika picha pamoja baada shindano lililofanyika kwenye ukumbi wa Kilimani mjini Dodoma mwishoni mwa wiki.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Masemakweli-UKJune 29, 2010

    Kweli wahindi wanataka kumiliki kila kitu hapa Tanzania. Simmewaona kina Patel. Sasa kina Premsingh,Kwanza washajua watanzania ni vizibo ndo maana wanataka watuzidi kila pande.Juzi tu nimemwona JK akiwafungulia viwanja vya kuanzisha biashara Bagamoyo, hivyo viwanja vilikuwepo toka kuumbwa kwa dunia lakini tumesubiri vije vifunguliwe wahindi waanzishe biashara si ndomana wanatuona sisi Watanzania VIZIBO!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 30, 2010

    naungana na wewe hapo juu, ndo maana watz hatusikiki popote!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 30, 2010

    Nyini makaburu wa kwanza na wa pili wa hapo juu wacheni ubaguzi wenu. Ndiyo Beatrice ni mchanganyiko wa Mhindi na Mwafrika, lakini ni Mtanzania. Apartheid south afrika imekufa na kuzikwa, Hitler yuko motoni, sasa mbona mnataka kutupeleka kwenye siasa iliyoshindwa? Be real, hata USA wana Rais half-caste, itakujakuwa mambo ya u-miss? Chuki zenu zitawamaliza nyini losers!!!!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 30, 2010

    mbona mzee...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...