mdau richard kasesela akisaidiwa na wananchi
wakati gari lake alipotembelea kijini kwao Ukukwe, wilaya ya Rungwe, mkoa wa Mbeya

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. ndio muda wao huu michuzi,,utawaona ma mijigari yao wanakuja tu,,si wanakuja kuziombaaaßna sie kwa uzoba wetu tunawapa tu..wao wanaishi masakiiiii sie huku tunafia njiani hata hospitali/aah samahani...zahanati hatufiki...sa cheki namna hiyo..me wananiudhiiii.

    ReplyDelete
  2. Msemakweli-UKJune 29, 2010

    Alafu mnatuambia CCM imefanya maisha yamekua bora kwa kila mtanzania,ilihali ukiwaunapanda safari kwenda kijijini kwenu kichwa kinauma huku ukifikiria mara mbilimbili uende au uache mana hakupitiki.Tena wewe tunakukuta umevyaa jezi za njano au kijani unawakiwa jua kwenye mikutanao ya CCM alafu ikifika october unaamka saa kumi alfajiri kupanga foleni za kuipigia CCM kura wakati wao wamelaa na wakezao.Tehe tehe si upumbavu huo .Jamani mwaka huu tusikubali Tujifunze kwa wenzetu Kenya.Kaka Michuzi pls niwakilishie haya maoni yangu.Thnx.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 29, 2010

    JAMANI MSIWE WAJINGA TENA,KUWAPA KURA WATU HATA BARABARA ZAO HAWAZIJUI!!MIS NILIDHANI GARI LIMEPATA AJALI KUMBE LIMEKWAMA!!HII NI AIBU SANAAA...JAMANI AMKENI..

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 29, 2010

    Ndio matatizo ya viongozi kuishi mijini. Haya yote hawayajui ...Ikifikia muda wa uchaguzi ndio wanarudi huko...Hao watu hata msingesaidia ajue uchungu wenu munaoupata kila siku...

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 30, 2010

    kweli bongo tambarare, maana jamaa wanajua jamaa ameingia mitini muda mrefu sasa mida mida anatia timu, na jamaa wataishia kushangaa shangingi tu. kiasi kidogo cha mboga watampa kura na jamaa atasepa mpaka October anakuja kuchukua kiti chake akalale bunge huku akila kuku kwa pipe.
    Bado sana kwa kweli.
    Yeye ana shangingi hali ndiyo tete kiasi hicho je hao jamaa pembeni inakuwaje???? wanaomsaidia

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 30, 2010

    Kweni huyu Richard ameenda kijijini kwao kwenye kampeni za uchaguzi au ameenda kutembea?

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 30, 2010

    Jamani hii ni uchungu mtupu kwa tz kuona picha kama . yani kuna sehemu niliwai kwenda morogoro uranga kunaitwa ngoiranga marinyi adi mrimba yani uwezi kufikilia ni tz hii iliopata uhuru miaka 45 ilio pita yani watu ni bado wako nyuma kuliko sehemu yoyote ile tz watu mbaka leo hii watu wanatembea kwa miguu umbali wa masaa 5/7 kupata uduma muhimu na kira uchaguzi wanapiga kura kuchagua kiongozi sasa sijuwi makosa yao yako wapi alafu wenyeji wa maeneo hayo ni wakulima wazuli na ni watu wakalimu kweli . mungu wasaidie mungu tusaidie tz

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 30, 2010

    Hii ndio bongo, barabara tambarare kila sehemu ni mswano, huyo jamaa kataka akapaki gari mlangoni kwa babu yake wakati hakuna njia wewe hata huoni hicho ni kichochoro tena kijijini? Hivi mtu kama huna mawazo ya kuchangia si ukae kimya!! inashangaza eti msiwachaguwe hao tumchague nani kwa fikra zako? Huku mambo poa wacha sisi tuwapigie kura wakati wao wamelala wewe kaa na kujikomba eti uko UK unasafisha mifereji ya vyoo!! au sijui unawasafisha wazee wa wenzako wakati wako huku wanasaga meno, tuachieni na Bongo yetu na CCM twapeta kwa raha zetu maneno mengi siku ya kupiga kura huonekani unategemea nini?Mpaka sasa hakuna mpinzani wa CCM kwa bara labda kidogo ZNZ!!!

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 30, 2010

    kiongozi huyu hatakwao hakupendi.... nguvu zake za maendeleo anaweka wapi?

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 30, 2010

    Toytaa Unaiabisha
    Mzee kwa kweli hiyo ndio aibu kybwa sana kwa Toyota tunaijiuwa sisi kukwama kwa vijitope kama hiyo hivi wewe unajua kuendesha FOURwheel car au ni dereva wa corola? kwa kweli unaonekana ni mshamba sana wa 4 wheel hapo ni sipahala pa kukaa gari hilo na watu kama hao kuwapatisha tabu. Wewe nilazima ukajifundishe vipi kuendesha magari kama hayo.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 30, 2010

    DUH ....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...