Mkurugenzi wa mtendaji wa benki ya CRDB,Dk.Charles Kimei akizungumza na wanahisa wa benki hiyo, katika semina iliyofanyika jana ukumbi wa mikutano wa Arusha(AICC).
Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa benki ya CRDB,Martin Mmari akizungumza na wanahisa wa benki ya CRDB katika semina ya wanahisa hao iliyofanyika jana katika ukumbi wa mikutano wa Arusha(AICC).
Viongozi wa benki ya CRDB,Mkurugenzi mtendaji Dk,Charles Kimei na Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi,Martin Mmari na mwenyekiti wa semina ya wanahisa wa benki hiyo, wakijibu hoja za wanahisa wa benki hiyo, katika semina iliyofanyika jana katika ukumbi wa mikutano Arusha(AICC).

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...