cheki sehemu ya hili gemu kupitia http://www.bongoline.com/ paparazzi wa kimataifa wanaoongozana na timu ya Brazil wakirekodi taswira ya jinsi kina ras makunja wakimnasa kijana aliyevamia uwanja wakati wa gemu na kwenda kumkubatia Kaka "...Unajifanya fara sio? basi sisi ni mafara zaidi yako. haya twendeeee..."
kina ras makunja wakiwa wamempa kijana huyo 'no-smoking' wakimtoa nje (kunradhi taswira si nzuri sana kwani mpiga picha wetu alikuwa upande wa pili wa uwanja)
Huko uwanjani Kaka na wenzie wakifurahia bao la nne huku
nahodha shadrack nsajigwa (shoto) na mwenzie wakirudi kati
wadau wakishuhudia pambano wadau wa Globu ya Jamii walikuwepo kibao
Wanja la neshno halikujaa kihiiiivyo...
hapa ni VIP B ambapo kwa laki unusu mambo yalikuwa hivi...
Kaka akihojiwa na TV ya Brazil wakati wa mapumziko
wanja lilivyokuwa wakati wa gemu
Mabeki wa Taifa Stars wakimsindikiza Ramos anapoingia ndani ya 18 Kipa anapimwa na kujikuta anapigwa bao kirahisi kabisa Kipa wa Taifa Stars na mabeki wake hawana hamu...
Tanzania yavunja mwiko waliouweka Brazil
Dakika 87 Taifa stars yapata goli tamu. Haijawa kutokea. Maana toka Oktoba 2009 Brazil haijawahi kuvujisha goli. Mshambuliaji Jabir Azizi wa Taifa Stars anaunganisha kwa kichwa kona na golikipa wa Brazil Gomez anadaka hewa na Tanzania kupata goli.
Dakika ya 91 Raminez afunga bao la tano kwa Brazil. Brazil 5 Tanzania 1. Mpira umekwisha Brazil 5 Tanzania 1.
BAADA YA RAMIREZ KUIPATIA BRAZIL BAO LA 3 KIASI CHA DAKIKA 8 BAADA YA MAPUMZIKO. ALIITOKA NGOME YA TAIFA STARS KABLA YA KUMPELEKA KIPA MWARAMI UPANDE WA PILI WA UWANJA.
GOLI INGEKUWA 4-1 KAMA NGASSA ASINGEPATA KIGUGUMIZI AKIWA YEYE NA NYAVU NDANI YA SITA.
DAH! KATIKATI YA GEMU ANATOKEA MSHABIKI ANAYEINGIA UWANJANI MKUKU NA KWENDA KUMKUMBATIA KAKA. ANADAKWA NA KINA RAS MAKUNJA MARA MOJA NA KUPELEKWA WANAKOKUJUA
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Du Midhupu hapo ni sawa na Duma anacheza na kitoto cha swala japo hata kila. Nategemea bao ntingi zaidi kwa kuwa ni sherehe ya kumuaga kocha maximo na kumkaribisha mrithi wake raia wa Denmak. Hongerenisana wanetu kwa kupigwa walau bao hizo kabla na baada ya kipindi cha kwanza
UNCLE MICHUZI....KAMA TUNAANGALIA GLOB YAKO, VILE VILE INA MAANA KUWA TUNAWEZA KUANGALIA HII MECHI - INAONYESHWA ONLINE...KWA HIYO HAKUNA HAJA YA KUPOSTI HIVI VITU UNAVYOPOST - SUBURI MPAKA MWISHO THEN POST MATOKEO. AU UNASEMAJE UNCLE??
Dakika ya 75 Kaka anapokea krosi murua toka upande kwa kulia mwa uwanja na kufunga bao la 4 kwa Brazil.
Nsajigwa, Gigi, Hamoud, wanatolewa nafasi zao kuchukuliwa na Jabir Aziz, Salum Kanoni, Naftali. Mpira dakika ya 80 Brazil 4 Tanzania 0. Mdau jijini London.
Ha ha ha ha ha ha ha ha!!Mimi kama mzawa nina uchungu sana,lkn ndyo mchezo.Kinachonifurahisha ni huyo mzalendo alikwenda kum-hug kaka,cjui alikua anawaza nini,ha ha ha ha ha ha ha ha ha!!Kaaaaaaaazi kwl-kwl!
Tanzania yavunja mwiko waliouweka Brazil, dakika 87 Taifa stars yapata goli tamu.
Haijawa kutokea, maana toka Oktoba 2009 Brazil haijawahi kuvujisha goli, Jabir Aziz wa Tanzania anaunganisha kwa kichwa kona na golikipa wa Brazil Gomez anadaka hewa na Tanzania kupata goli.
Dakika ya 91 Raminez afunga bao la tano kwa Brazil. Brazil 5 Tanzania 1. Mpira umekwisha Brazil 5 Tanzania 1.
This is exactly what Uncle Kamau of Kenya said recently in his article has attracted a lot of critisism! I bet the money that was spent on the Brazillian team could have been used to feed the hungry for about a week or so!! Or may be to renovate those "round-abouts" of mithupu in daressalama! This was like asking a math teacher to compete with a girl or a boy of 2 years in algebra!! Tutafika lakini duuu!!
Naona Uwanja umeshindwa kujaa. Big game like this ina maana demand ilikuwa high. But hiyo high price ya ticket imefanya watu wengi wasiingie uwanjani. Wangeweka bei ya wastani na uwanja ungejaa na wangepata faida kubwa.
Mkuu wa wilaya ya nanihii, waonaje uongee na waziri wa michezo, muwashitaki Eurosport kwa kutangaza mpira wa Brazil na Taifa Stars kwa kuweka bendera ya Brazil pekee bila ya bendera ya Tanzania. Je huu sio ubaguzi?? Au ndio kusema hakuna bendera za tanzania huko waliko??? Balozi wa Tanzania UK fuatilia issue hii.
Sio mbaya afadhali tumepata bao moja la kufutia machozi,hata hivyo vijana wamechoka jana walipiga gemu tafu na RWANDA sio mchezo kucheza mechi mbili katika masaa 24.ZIMBABWE hawakupata hata goli moja go TZ go STARS you made it.
kaka nakupongeza kwa kazi nzuri ya kutupasha habari. naomba uniwekee swali langu maana nimeulizwa hili swali nikagundua kuwa ni zuri kuchemsha bongo. pundamilia ni mweusi anamistari myeupe? au ni Mweupe ana mistari myeusi? natakuliza shukurani kwa wadau wataonipatia jibu la swali langu.
I like this wamechangamshwa haswa...Ni kama wamefungwa ni 5-0 jana moja leo manne kesho mwende kwenye kambi mjue nini la kufanya. Mukae muangalie video mjue wapi mlitakiwa kuchacharika. Hata hivyo mmejitahidi 4-0 tu ...Mmmekazana sanaaaaaaana tu.....Nilikua naogopa ingekua 8-0
Maoni yangu kwa game liamke TZ walipeni vizuri hao wachezaji waweze kutunza familia yao na kufanya soccer kuwa profession yao bila hivyo hatutaenda popote..na kmama mmeshawalipa basi muengeze b'se it is not enough
kama watu wana hizi hela why don't own a team na kumake sure unawatunza na kuwafanyisha mazoezi kila siku? Bila mazoezi na kuwa na makocha wakila aina tutabakia kukimbia uwanjani tu.
sijui timu ya taifa inaundwaje TZ laini mimi ningetaka iwe ya msimu tu hao wachezaji wawe na vilabu vyao ila siku ikitokea mechi za kuwakilisha nchi ndio wakusanywe the best of the best... Na iwe kila mwaka ni kuchaguliwa upya, hufanyi vizuri unapisha wengine ...Hiyo itawasaidia wawe wanacompetition na kujitahidi zaidi. mambo ya kuwa na permanent timu ya taifa sio mazuri...
Halafu tujaribu kuwa na makocha wengi tu...kocha mkuu hawezi kujua kila kitu...Huku wenzetu wana specialized wanakocha wa viungo, kocha wa kushoot, kocha wakuofundisha jinsi ya kuokoa, therapist, psychologist, nutritionist, and dietitian ..utakuta hapo wengine wakwetu walilumanga sima kubwa mchana ya ugali halafu wameingia kucheza kandana hapo mweeee ngoma hiyo....polepole tutafika bila ubishi
nawapongeza walioandaa hii timu kuja kucheza najua kuna watu waliolalamika wee lakini ndio wa kwanza kustream live online kwa freee..Mnajijua wote...muone aibu...kama uliudhika sana msingebother hata kuangalia hiyo game tungewaelewa lakini kumbemaneno mengi kutaka kuona ikoje mmekua wakwanza...agalia link hii , angalia na link hii sigh.....
NYIE ACHENI NYIE!! SI MCHEZO SIE WANDENGEREKO KUCHEZA NA MABINGWA WA DUNIA, HAYO MAGOLI 5 MBONA MADOGO!
ILIBIDI KWANZA WACHEZAJI WETU WAPEWE SIKU NZIMA YA KUWASHANGAA WACHEZAJI WA BRAZIL NA KUONGEA NAO ILI KUONDOA WAHKA, KISHA NDIO MECHI INGECHEZWA. WALLAHI NAKWAMBIA HATA NINGEKUWA MIE NISINGECHEZA NINGEBAKI KUWASHANGAA WACHEZAJI WA BRAZIL KAMA KAKA AMBAYE MIE NI FAN WAKE! nahisi golikipa wetu yeye alikuwa anawashangaa tu hao wachezaji wa brazil wala msimlaumu!
PAMOJA NA KUFUNGWA LAKINI CHENGA TUMEWALA NA SISI SIKU MOJA TUTAWASIMULIA WAJUKUU ZETU KUWA TULICHEZA NA TIMU YA TAIFA YA BRAZIL ILIYOCHUKUA KOMBE LA DUNIA MWAKA 201O!
HAO KINA KAMAU NA WENZAO WAKAFIE MBELE MECHI IMECHEZWA, NA SIKU IMETOKA HIYOO IMEBAKI HISTORIA half london wameshindwa kuwaita hata ma Landlord wao (watasha) wakafanye hata mazoezi tu kwa kina lord delamere!!
Tumefungwa lakini cha moto walikiona, wameondoka na kanzu mbili, moja kapewa Felipe Melo, ingine kapewa Bastos...hahaha, Mgosi mbaya sana aisee...ila Maximo sub zake alifanya mbofu mbofu na pia Ngassa na Mgosi kwanini wananyimana pass? Ngassa kakosa magoli matatu ya ubwete...lah salalaaah!!!
Mechi hii ilikuwa sherehe ya mwisho ya kumuaga MAXIMO, kocha gani asiyeambilika, heri aende zake kwao. Kipa gani anamuweka angekuwa KASEJA hayo magoli 4 aliyofungwa kipa MWARAMI kwa KASEJA ingekuwa chakula tu. Karibu kocha mpya wa Denmark ulete maendeleao.
Big up Taifa stars. Hongereni sana. Taifa stars hoyeeeeeeeeee!! Mmeifunga Brazil!!!! Hilo goli moja tu linatosha kuwapeleka mbali sana. Goli hilo litaingia kwenye kitabu cha Guiness maana nchi changa kwenye mpira kama Tanzania kuifunga nchi kongwe kama Brazil??? unkle Mithupu, huyo kijana aliyepachika goli wavuni anione nimemtayarishia zawadi nono. Email yangu ni mnayani@yahoo.com, number yangu ya simu ni 0754267114. Napatika DSM mwananyamala. Kazi nafanyia Stanbic DSM branch. Hii ni kali ya mwaka. Mdau wa bongo
Namuunga mkono Kamau. Nasikia hata Rais alikuwepo. Anaacha watu wanakufa njaa na wengine hawana madawa hospitalini anaenda kuangalia mpira? MMh sijui. Baba Amina au baba mwanakombo kaacha watoto nyumbani wana njaa; yeye kaenda mpirani!! ya leo kali
Taifa Stars wangefuata ushauri waliopwewa; wangeomba 'special request' kuwa waruhusiwe kuwa na makipa wawili kwa wakati mmoja wakilinda lango, pengine ingesaidia kupunguza deficit ya magoli.
Brazil wamewaachia tu hao waTZ, maana sitaki kuamini kuwa Rwanda ni bora kuliko Brazil; si TZ ilishindwa kuifunga hata goli moja Rwanda hapo juzi? Sasa imewezaje kuifunga Brazil?
Tuseme tu kuwa huu mchezo ulikuwa ni wa kuwapasha misuli moto waBrazil kwa ajili ya kombe la Dunia, kwa gharama za Tanzania. Sasa Brazil ikaona ngoja iwafurahishe kidogo waTZ kwa kuwaachia hiko kigoli. Situmai kuwa kuna walioshangilia baada ya waTZ kufunga hilo goli.
oooh the lovely Taifa stars, you did well but you also looked like a sheep without a sherperd for mr maximo seemed to be sided with his own national team at the moment. But big up, the progress are coming.
Huyo kaka aliyeingia uwanjani sawa amekosea ila ni shauku ya kutaka kumshika kaka....Usifanye utani na shauku bwana...Huyo ndio mwenye mapenzi ya kweli na Kaka....
Kwa niaba ya wananchi wengine naomba huyu kaka asihukumiwe vibaya...Kwani sidhani kama alikuwa anania mbaya....Wamsamehe tuu jamani....
Ukiangalia takwimu za mechi kama ilivyoratibiwa na ESPN inaonekana hivi.Kwa mtizamo huo ni wazi Stars walijitahidi kufika langoni kwa brazil mara nyingi.Hii pia inaoneshwa na uwingi wa saves kwa brazil na pia kona.umiliki tu wa mpira ndo walituzidi.Tulijitahidi sana.takwimu zaonesha Scoring Summary Tanzania Brazil Jabir Aziz (86) Robinho (10) Robinho (33) Ramires (53) Kaká (76) Ramires (90)
Match Stats Tanzania Brazil Shots (on Goal) 18(9) 20(7) Fouls 13 15 Corner Kicks 7 6 Offsides 6 4 Time of Possession 39% 61% Yellow Cards 0 1 Red Cards 0 0 Saves 2 8
Match Information Stadium: National Main Stadium Attendance: 35,000 Match Time: 15:00 GMT
yani huyo kipa wa taifa stars ni ovyo kuliko makipa wote duniani ameachia magoli kirahisi sana hata wale makipa wa shule za msingi wanaweza kuokoa goli la 4 na la 5 wala haikuwa lazima wafunge huyo kipa hafaiiiiiiiiiiii full mdebwedoo
Kwa heri Maximo ila umetuchosha, kocha gani huna first eleven for four years, nani alidaka Misri akapigwa tano ukaambiwa mchukue kaseja ukakataa umeweka pazia lako limepigwa tano tena kauze matikiti cruzerio, CV yako ilikuwa picha uliyopigwa na Ronaldo.Anway we scored one.
jamani taifa stars siyo kaseja wala ngasa na ndio sababu kocha wa timu ya taifa ya brazil enzi hizo alikataa katakata kumchukua Romario na pamoja na rais wa brazil kushinikiza na bado Brazil ikachukua kombe la dunia;
Hivi huyu kaseja alifungwa goli ngapi hivi karibuni na Alhoodod ya Misri? Alifungwa ngapi na Enyimba?
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...
Asante Ankal. Vipi hali ya uwanja, nyomi kibao au? Unaweza kutupatia kavideo kidogo pia?
ReplyDeleteThanks,
Mdau wa Canada.
Du Midhupu hapo ni sawa na Duma anacheza na kitoto cha swala japo hata kila. Nategemea bao ntingi zaidi kwa kuwa ni sherehe ya kumuaga kocha maximo na kumkaribisha mrithi wake raia wa Denmak. Hongerenisana wanetu kwa kupigwa walau bao hizo kabla na baada ya kipindi cha kwanza
ReplyDeleteUNCLE MICHUZI....KAMA TUNAANGALIA GLOB YAKO, VILE VILE INA MAANA KUWA TUNAWEZA KUANGALIA HII MECHI - INAONYESHWA ONLINE...KWA HIYO HAKUNA HAJA YA KUPOSTI HIVI VITU UNAVYOPOST - SUBURI MPAKA MWISHO THEN POST MATOKEO. AU UNASEMAJE UNCLE??
ReplyDeletemarisha n gasa(comentator voice)
ReplyDeleteTAZAMA LIVE MECHI YA MPIRA KUPITIA
ReplyDeleteWWW.ATDHE.NET TZA VS BRZ
Dakika ya 75 Kaka anapokea krosi murua toka upande kwa kulia mwa uwanja na kufunga bao la 4 kwa Brazil.
ReplyDeleteNsajigwa, Gigi, Hamoud, wanatolewa nafasi zao kuchukuliwa na Jabir Aziz, Salum Kanoni, Naftali. Mpira dakika ya 80 Brazil 4 Tanzania 0.
Mdau
jijini London.
lol.. arent these brazilians ashamed to celebrate a goal against tazmania..
ReplyDeleteHa ha ha ha ha ha ha ha!!Mimi kama mzawa nina uchungu sana,lkn ndyo mchezo.Kinachonifurahisha ni huyo mzalendo alikwenda kum-hug kaka,cjui alikua anawaza nini,ha ha ha ha ha ha ha ha ha!!Kaaaaaaaazi kwl-kwl!
ReplyDeleteMkulima-Kijijini Gezaulole.
Angalau mumetuonesha mnamacho. Hongereni kwa kabao kamoja pia hongera kipa kwa kufungwa na wachezaji wenye majina
ReplyDeleteSIJAWAHI KUONA KIPYA HOVYO KAMA HUYU WA TAIFA STARS. KAFUNGISHA MAGOLI 4 KATI YA 5. HOVYO SANA. ARRRGGHH!
ReplyDeleteTanzania yavunja mwiko waliouweka Brazil, dakika 87 Taifa stars yapata goli tamu.
ReplyDeleteHaijawa kutokea, maana toka Oktoba 2009 Brazil haijawahi kuvujisha goli, Jabir Aziz wa Tanzania anaunganisha kwa kichwa kona na golikipa wa Brazil Gomez anadaka hewa na Tanzania kupata goli.
Dakika ya 91 Raminez afunga bao la tano kwa Brazil. Brazil 5 Tanzania 1.
Mpira umekwisha Brazil 5 Tanzania 1.
Mdau
Jijini London.
tunaomba picha ya mdau aliemkumbatia kaka
ReplyDeleteKamau oyeeeeeee
Mpira umeisha hongereni taifa stars kwa kufungwa 5 kwa 1 kwe2 mnabaki washindi tu.
ReplyDeletekipa kimeo, timu imecheza vizuri ila bado sijajua tulikuwa tunacheza formation gani
ReplyDeleteThis is exactly what Uncle Kamau of Kenya said recently in his article has attracted a lot of critisism! I bet the money that was spent on the Brazillian team could have been used to feed the hungry for about a week or so!! Or may be to renovate those "round-abouts" of mithupu in daressalama! This was like asking a math teacher to compete with a girl or a boy of 2 years in algebra!! Tutafika lakini duuu!!
ReplyDeleteNaona Uwanja umeshindwa kujaa. Big game like this ina maana demand ilikuwa high. But hiyo high price ya ticket imefanya watu wengi wasiingie uwanjani. Wangeweka bei ya wastani na uwanja ungejaa na wangepata faida kubwa.
ReplyDeleteAnkal, hayo matangazo hapo uwanjani inakuwaje? Mbona sijawahi kuyaona bongo?
ReplyDeleteWatu ni kama kiasi gani kwa makadirio ya haraka haraka?
Mdau wa Canada.
WEWE unaejiita KILO, acha kujifanya unafundisha watu kazi. Kama unaiona endelea kuangalia.
ReplyDeleteMkuu wa wilaya ya nanihii, waonaje uongee na waziri wa michezo, muwashitaki Eurosport kwa kutangaza mpira wa Brazil na Taifa Stars kwa kuweka bendera ya Brazil pekee bila ya bendera ya Tanzania. Je huu sio ubaguzi?? Au ndio kusema hakuna bendera za tanzania huko waliko??? Balozi wa Tanzania UK fuatilia issue hii.
ReplyDeleteKIPA WETU ALIKUWA KAMA PAMBO TU KUKAMILISHA IDADI YA WACHEZAJI 11.ZERO KABISAA.
ReplyDeleteSio mbaya afadhali tumepata bao moja la kufutia machozi,hata hivyo vijana wamechoka jana walipiga gemu tafu na RWANDA sio mchezo kucheza mechi mbili katika masaa 24.ZIMBABWE hawakupata hata goli moja go TZ go STARS you made it.
ReplyDeletekaka nakupongeza kwa kazi nzuri ya kutupasha habari. naomba uniwekee swali langu maana nimeulizwa hili swali nikagundua kuwa ni zuri kuchemsha bongo. pundamilia ni mweusi anamistari myeupe? au ni Mweupe ana mistari myeusi? natakuliza shukurani kwa wadau wataonipatia jibu la swali langu.
ReplyDeleteI like this wamechangamshwa haswa...Ni kama wamefungwa ni 5-0 jana moja leo manne kesho mwende kwenye kambi mjue nini la kufanya. Mukae muangalie video mjue wapi mlitakiwa kuchacharika. Hata hivyo mmejitahidi 4-0 tu ...Mmmekazana sanaaaaaaana tu.....Nilikua naogopa ingekua 8-0
ReplyDeleteMaoni yangu kwa game liamke TZ walipeni vizuri hao wachezaji waweze kutunza familia yao na kufanya soccer kuwa profession yao bila hivyo hatutaenda popote..na kmama mmeshawalipa basi muengeze b'se it is not enough
kama watu wana hizi hela why don't own a team na kumake sure unawatunza na kuwafanyisha mazoezi kila siku? Bila mazoezi na kuwa na makocha wakila aina tutabakia kukimbia uwanjani tu.
sijui timu ya taifa inaundwaje TZ laini mimi ningetaka iwe ya msimu tu hao wachezaji wawe na vilabu vyao ila siku ikitokea mechi za kuwakilisha nchi ndio wakusanywe the best of the best... Na iwe kila mwaka ni kuchaguliwa upya, hufanyi vizuri unapisha wengine ...Hiyo itawasaidia wawe wanacompetition na kujitahidi zaidi. mambo ya kuwa na permanent timu ya taifa sio mazuri...
Halafu tujaribu kuwa na makocha wengi tu...kocha mkuu hawezi kujua kila kitu...Huku wenzetu wana specialized wanakocha wa viungo, kocha wa kushoot, kocha wakuofundisha jinsi ya kuokoa, therapist, psychologist, nutritionist, and dietitian ..utakuta hapo wengine wakwetu walilumanga sima kubwa mchana ya ugali halafu wameingia kucheza kandana hapo mweeee ngoma hiyo....polepole tutafika bila ubishi
nawapongeza walioandaa hii timu kuja kucheza najua kuna watu waliolalamika wee lakini ndio wa kwanza kustream live online kwa freee..Mnajijua wote...muone aibu...kama uliudhika sana msingebother hata kuangalia hiyo game tungewaelewa lakini kumbemaneno mengi kutaka kuona ikoje mmekua wakwanza...agalia link hii , angalia na link hii sigh.....
NYIE ACHENI NYIE!! SI MCHEZO SIE WANDENGEREKO KUCHEZA NA MABINGWA WA DUNIA, HAYO MAGOLI 5 MBONA MADOGO!
ReplyDeleteILIBIDI KWANZA WACHEZAJI WETU WAPEWE SIKU NZIMA YA KUWASHANGAA WACHEZAJI WA BRAZIL NA KUONGEA NAO ILI KUONDOA WAHKA, KISHA NDIO MECHI INGECHEZWA. WALLAHI NAKWAMBIA HATA NINGEKUWA MIE NISINGECHEZA NINGEBAKI KUWASHANGAA WACHEZAJI WA BRAZIL KAMA KAKA AMBAYE MIE NI FAN WAKE! nahisi golikipa wetu yeye alikuwa anawashangaa tu hao wachezaji wa brazil wala msimlaumu!
PAMOJA NA KUFUNGWA LAKINI CHENGA TUMEWALA NA SISI SIKU MOJA TUTAWASIMULIA WAJUKUU ZETU KUWA TULICHEZA NA TIMU YA TAIFA YA BRAZIL ILIYOCHUKUA KOMBE LA DUNIA MWAKA 201O!
HAO KINA KAMAU NA WENZAO WAKAFIE MBELE MECHI IMECHEZWA, NA SIKU IMETOKA HIYOO IMEBAKI HISTORIA half london wameshindwa kuwaita hata ma Landlord wao (watasha) wakafanye hata mazoezi tu kwa kina lord delamere!!
Aliyedata
Tumefungwa lakini cha moto walikiona, wameondoka na kanzu mbili, moja kapewa Felipe Melo, ingine kapewa Bastos...hahaha, Mgosi mbaya sana aisee...ila Maximo sub zake alifanya mbofu mbofu na pia Ngassa na Mgosi kwanini wananyimana pass? Ngassa kakosa magoli matatu ya ubwete...lah salalaaah!!!
ReplyDeletemdau wa pundamilia mbavu zangu zinauma sana loo
ReplyDeletemtangazaji alisema ni ajabu kwani hawa jamaa hawajafungwa goli lolote tokea Novemba mwaka jana. poleni na hongera
ReplyDeleteMechi hii ilikuwa sherehe ya mwisho ya kumuaga MAXIMO, kocha gani asiyeambilika, heri aende zake kwao. Kipa gani anamuweka angekuwa KASEJA hayo magoli 4 aliyofungwa kipa MWARAMI kwa KASEJA ingekuwa chakula tu. Karibu kocha mpya wa Denmark ulete maendeleao.
ReplyDeleteAsante michuzi!!!
ReplyDeleteNamuunga Mkono Mdau anayemtaja Juma Kaseja. Sijui kwa nini Maximo alikataa kumtumia huyu Kipa namba Moja kwa sasa.
ReplyDeleteChuki binafsi siyo nzuri michezoni.
Karibu Kocha mpya -Denmark
Golikipa mzuri angeweza kubadili matokeo japo goli mbili
WADAU HEBU MUANGALIENI BEKI WETU MWENYE JEZI NAMBA 5 MGONGONI MAMBO ALIYOYAFANYA UWANJANI.
ReplyDeletenauliza kipa,kaokotwa wapi huyu?
ReplyDeleteBig up Taifa stars. Hongereni sana. Taifa stars hoyeeeeeeeeee!!
ReplyDeleteMmeifunga Brazil!!!! Hilo goli moja tu linatosha kuwapeleka mbali sana. Goli hilo litaingia kwenye kitabu cha Guiness maana nchi changa kwenye mpira kama Tanzania kuifunga nchi kongwe kama Brazil??? unkle Mithupu, huyo kijana aliyepachika goli wavuni anione nimemtayarishia zawadi nono. Email yangu ni mnayani@yahoo.com, number yangu ya simu ni 0754267114. Napatika DSM mwananyamala. Kazi nafanyia Stanbic DSM branch. Hii ni kali ya mwaka.
Mdau wa bongo
sasa tunataka wale wachawi watolewe adharani tuwaone mabao tumekula but tumejitahidi kipa katuangusha
ReplyDeleteMICHUZI BORA UNGEKAA WEWE KIPA
ReplyDeleteHili bao tamu sana, kwa kweli vijana wetu wanastahili pongezi manake hawa Brazil wamechanjiwa.
ReplyDelete(US Blogger)
Kipa wetu alikua pazia tu golini. Jamaa kila wakilenga goli badi nyavu.maximo makipa wako wamekuzingua. kipa gani lile
ReplyDeleteBora wangeweka shati golini ikajulikana moja. Maana huyo golikipa hamna chochote kazi kujishika kiuno tu.
ReplyDeleteAu alikuwa anaona ujiko kufungwa na akina Kaka ili kesho akawatambie makipa wenzake mtaani kuwa ni yeye tu anayeweza kufungwa na akina Kaka.
Aibu sana, ila vijana kati walicheza vizuri.Hongera zao
INGEKUWA MASHINDANO YA BIA TUNGEWASHINDA TUU;
ReplyDeleteNamuunga mkono Kamau. Nasikia hata Rais alikuwepo. Anaacha watu wanakufa njaa na wengine hawana madawa hospitalini anaenda kuangalia mpira? MMh sijui. Baba Amina au baba mwanakombo kaacha watoto nyumbani wana njaa; yeye kaenda mpirani!! ya leo kali
ReplyDeleteTaifa Stars wangefuata ushauri waliopwewa; wangeomba 'special request' kuwa waruhusiwe kuwa na makipa wawili kwa wakati mmoja wakilinda lango, pengine ingesaidia kupunguza deficit ya magoli.
ReplyDeleteBrazil wamewaachia tu hao waTZ, maana sitaki kuamini kuwa Rwanda ni bora kuliko Brazil; si TZ ilishindwa kuifunga hata goli moja Rwanda hapo juzi? Sasa imewezaje kuifunga Brazil?
Tuseme tu kuwa huu mchezo ulikuwa ni wa kuwapasha misuli moto waBrazil kwa ajili ya kombe la Dunia, kwa gharama za Tanzania. Sasa Brazil ikaona ngoja iwafurahishe kidogo waTZ kwa kuwaachia hiko kigoli. Situmai kuwa kuna walioshangilia baada ya waTZ kufunga hilo goli.
oooh the lovely Taifa stars, you did well but you also looked like a sheep without a sherperd for mr maximo seemed to be sided with his own national team at the moment. But big up, the progress are coming.
ReplyDeleteyeah nadhani kipa wetu alikuwa ovyo, otherwise ongereni taifa stars...ingekuwa mnakipa mzuri matokeo yangekuwa 2-1 au 3-1.
ReplyDeleteHII MECHI KIPA WETU NDO KAHARIBU. YAANI JAMAA WAKILENGA TU GOLINI LAZIMA IWE GOLI.KHRAAAAAA
ReplyDeleteHuyo kaka aliyeingia uwanjani sawa amekosea ila ni shauku ya kutaka kumshika kaka....Usifanye utani na shauku bwana...Huyo ndio mwenye mapenzi ya kweli na Kaka....
ReplyDeleteKwa niaba ya wananchi wengine naomba huyu kaka asihukumiwe vibaya...Kwani sidhani kama alikuwa anania mbaya....Wamsamehe tuu jamani....
Kipa kulikuwa hamna huyu hastahili kuwa Tanzania one
ReplyDeleteUkiangalia takwimu za mechi kama ilivyoratibiwa na ESPN inaonekana hivi.Kwa mtizamo huo ni wazi Stars walijitahidi kufika langoni kwa brazil mara nyingi.Hii pia inaoneshwa na uwingi wa saves kwa brazil na pia kona.umiliki tu wa mpira ndo walituzidi.Tulijitahidi sana.takwimu zaonesha
ReplyDeleteScoring Summary
Tanzania Brazil
Jabir Aziz (86) Robinho (10)
Robinho (33)
Ramires (53)
Kaká (76)
Ramires (90)
Match Stats
Tanzania Brazil
Shots (on Goal) 18(9) 20(7)
Fouls 13 15
Corner Kicks 7 6
Offsides 6 4
Time of Possession 39% 61%
Yellow Cards 0 1
Red Cards 0 0
Saves 2 8
Match Information
Stadium: National Main Stadium
Attendance: 35,000
Match Time: 15:00 GMT
yani huyo kipa wa taifa stars ni ovyo kuliko makipa wote duniani ameachia magoli kirahisi sana hata wale makipa wa shule za msingi wanaweza kuokoa goli la 4 na la 5 wala haikuwa lazima wafunge huyo kipa hafaiiiiiiiiiiii full mdebwedoo
ReplyDeletetatizo ilikua waliokuja uwanjani hawakuwa washangiliaji hata kidogo
ReplyDeleteni wenye pesa zao tu na mabosi,maana naona watu waliingia na suti na tai zao na mokasi lol
nimempenda uyo jamaa alomkumbatia KAKA,jina lake tafadhali!!
Kwa heri Maximo ila umetuchosha, kocha gani huna first eleven for four years, nani alidaka Misri akapigwa tano ukaambiwa mchukue kaseja ukakataa umeweka pazia lako limepigwa tano tena kauze matikiti cruzerio, CV yako ilikuwa picha uliyopigwa na Ronaldo.Anway we scored one.
ReplyDeletejamani taifa stars siyo kaseja wala ngasa na ndio sababu kocha wa timu ya taifa ya brazil enzi hizo alikataa katakata kumchukua Romario na pamoja na rais wa brazil kushinikiza na bado Brazil ikachukua kombe la dunia;
ReplyDeleteHivi huyu kaseja alifungwa goli ngapi hivi karibuni na Alhoodod ya Misri? Alifungwa ngapi na Enyimba?
Ivi TFF wanalipi la kujitetea kwa kuwavalisha wachezaji wtu jezi ambazo haziwakilishi taswira ya nchi au ndo kamati ya ufundi?
ReplyDelete