Derek Hough is said to have surprised Cheryl Cole by whisking her off to Tanzania for a dream romantic holiday. The dancer, who has been linked to the X Factor judge in recent months, only told her they were going to Tanzania in Africa when they arrived at the airport. However the pair did not put on any show of affection at London's Heathrow on Tuesday night and instead walked determinedly apart. For more and Source CLICK HERE.




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 17, 2010

    BWANA Michuzi pole na kazi na pongezi kwa shughuli nzima ya kutuhabarisha BURE!

    Sasa kaka tunakuomba basi Uturushie matukio ya ziara ya Rais wetu JK kule kigoma, manake tunasubili kwa hamu kweli.

    Tutafurahi kuona japo hata picha 5, Unajua mkoa ule unasahaulika siku hadi siku, ni mkoa pekee ambao wilaya zake hazina umeme na mjini umeme unasua sua, unaweza kukaa siku tano za wiki bila kuwaka.

    Wako Mdau wa Blog yako

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 17, 2010

    MUJUBA! Ndio tuseme it's over forever na Ashley Cole ama? I thought they were gonna fight, fight, fight, fight, fight for that love? I gather they have decided to give up? My Oh My do they wanna say Goodbye? Already? Très Mal for the Nation's (UK) Sweetheart! I hope they Sort it out!

    Au mi ndio ngeli inanitia chenga? Naomba mnitafsirie kwa kiswahili chepesi!

    Thanks.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 17, 2010

    I don't need a Parachute, Baby if I've got you! Baby if I've got you, I don't need a Parachuuute!

    You're gonna catch me, you are gonna catch me, when I faaaall, aw aw aw!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 17, 2010

    huyu naye sasa dancer wa nini? hizi love za rebound ni hatari sana

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 17, 2010

    Age Ain't Nothing but a numbeeer!

    Derek 25 & Ashley 26 = Nike (Tick)!

    R 30 (or is it 31 already?) & G 31 (or is it 32 already?) is equal to Nike!

    What matters is Love and Affection! Don't be too primitive yoooh! Hugs. Love you all!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 17, 2010

    La la la la la! Kunradhi! Ni Derek na Cheryl na si Dere na Ashley! Duh! Nisijefunguliwa mashitaka! Age Ain't nothing but a numbeeer!

    Love you all people!

    ReplyDelete
  7. Brother Mithupu, it is the high time sasa Watanzania kupost comments (katika link iliyotoa hiyo habari) kuelezea ni vitu gani hawa wapenzi wanaweza kuvitembelea pindi wakiwa hapa Tanzania kwani kwa namna moja au nyingine inaweza kuongeza muamko wa watu wengine nao kuona umuhimu wa kuja Bongo since jamaa huwa wanatabia ya kugeza sana yale wafanyayo mastaa wao.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 17, 2010

    Haya changieni comments on Mailonline ktk hiyo link kina Nalitolela.

    Mdau
    Kilimanjaro.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 17, 2010

    atakuwa anapitia bongo baadae akamuone mume wake south africa,maana mume wake,joe cole yuko timu ya taifa ya england

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 17, 2010

    romantic safari...idea nzuri hii

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 17, 2010

    By leaving Ashley Cole she has made a huge blunder. Ok Ashley alidokoa nje kidogo, lakini that is not a hanging mistake, she should have punished him and forced him to promise to be a good boy. Lakini kasikiliza mawazo ya washabiki ambao niya yao ni kuwavurugia maisha, she will live to regret it, what will happen when she gets tired on this boyos dances?

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 17, 2010

    Maandiko yanasema,

    Wasameheni wanaowaudhi, tena sio mara moja, wala mara mbili, bali mara saba sabini.

    Nami nimewasamehe wote walioniudhi kwa namna moja au nyingine.

    Love you yoooh. Hope will get a proper forum to put matters clear in due time. This is not the proper forum.

    Peace yoooh.

    I hope there will be no Regrets in Jesus' Name. Amen.

    Love you all.

    Believe you me, I understand and appreciate your efforts in helping me get out (hopefully) of the situation I was in.

    Hopefully we will be the very best of friends. Love You, Love You, Love You. Beste. We will talk, no worry (I wonder if you will still be able to recognize me, Mmmnnnh!) have changed tremendously for worse. Serious. Love You Yoooh. Hugs.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 17, 2010

    mdau wa Thu Jun 17, 02:41:00 PM, kwani ni lazima nawe useme? na watu kama nyinyi mnaniudhi kweli lisiwekwe jambo la uk au us na mnaruka kutka kufafanua kama vile mliulizwa, na mara yote mnatoa uongo mtupu.

    sasa alokwambia kama mume wake anaitwa Joe cole ni nani? Kuna tafauti kubwa baina ya ashley na joe!

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 17, 2010

    Products za Brazil vs Taifa star game...mbishe msibishe hasara tulipata lakini matunda mnayaona...who knew.....

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 17, 2010

    Even if you don't care. Poa tu! Thanks anyway! I knew that from the beginning, that you did not care, that is why! You are too hot for me anyway. You deserve better. Thanks anyway, a million. Hugs

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 18, 2010

    How can leaving a womaniser/womanizer be a blunder? this is not the first time he's cheated it was about time he was given the boot.wewe mdau unaesema angemuadhibu kwa kutoa ahadi you must be from planet mars.once a cheater always a cheater,Ashley was blessed to have a beautiful wife down to earth who does not need him for his money but for his love but men like Ashley don't know what is good for them nor do they deserve second chances

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 18, 2010

    mdau wa Thu Jun 17, 08:15:00 PM kwenda zako hapa! matunda gani ya taifa vs brazil? chery cole alishafika tanzania kabla ya mechi hiyo, alikuja kwa charity kupanda mlima kilimanjaro. Pia celebrity tele wa uk na us wameshafika tanzania kwa matembezi mara tele ikiwa pamoja na clinton.

    Kaa na ubishi wako bichwa maji wewe.

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 18, 2010

    anon wa Thu Jun 17, 06:03:00 PM who are you? and what are you talking about?

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 18, 2010

    Waswahili wasema ukimkuta mtu ala hotelini usimlaumu kwani hujuwi upishi ya mkewe. Sijui kama wewe binafsi ungependa mkeo kuzurura mara marikani mara ujerumani na wakati mwingine wote awe ni jaji wa mashindano katika TV.Hawa warembo hata hawataki watoto kwani kwao ni ghasia tu na mimba na kids spoil their figures

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...