




Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hi kweli kabisa, maana hata mkaa unakua bei rahisi sasa kuliko gesi.
ReplyDeleteNazani watanzania tuchangie hii mada, sio kuchangia ishu za John Mashaka, ambazo zote ni theory tupu.
Hii ni muhimu
Dk. Salim Ahmed Salim akisalimiana na afisa ubalozi Bwana Suleiman Saleh, nyuma yao wabongo mwaona gari la USA poster services wanavyofikisha barua kila kona hataa nyumba iwe uchochoroni gari hiyo hufikisha barua hadi mlangoni pako. Mitaa ya manzese, shimo la udogo, vingunguti, keko nk tukisema tubomoe nyumba kupisha mitaa iliyoeleweka wakazi watakunyanyulia jambia, tutafika?
ReplyDeleteMaendeleo yana mtiritiko...huwezi kurukia maendeleo kama Watanzania ambao wanataka wawe na line 4 za mobile phones na kuendesha Mashangingi wakati hawana barabara...Mji haujapangwa, nyumba hazina mitaa wala namba halafu unategemea posta watafanya vipi delivery. Tatizo la pili ni kuwa hao posta wenyewe kule kule posta wanafungua parcels za watu, nani utakayempa hizo parcel mikononi akazunguke nazo halafu utegemee vijisenti tunaweka huko na picha zetu hawatazifungua? Na vujiatu vwa ndugu zetu na vujichupi vyote wanaiba....Maendeleo ni hatua...hapo baaaaadoooooo tuko mbali ndugu yangu....!! Although you made a fair analysis...oh well,...comment
ReplyDelete