

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
i hope jk amemueleza kuhusu kuuza nyumba za n.h.c za wakaazi,maana jk alituahidi atatuuzia hizo nyumba alipofanya mkutano iringa,lakini hawa n.h.c wanafanya kila ajenda kuwatoa watanzania masikini kwenye nyumba hizi waliokaa zaidi ya miaka 20 kuwapa wahindi,tunaomba viuzwe zote haraka before hazijawa nyumba za wahindi kama ilivyo upanga.
ReplyDeleteKiti alichokalia Rais mbona kipana mnooo
ReplyDeleteTunaomba mkubwa wa NHC atende haki ili kila mwenye kuweza kupatiwa nyumba kihalali apatiwe siyo sasa hivi ndugu zetu waheshimiwa sana wabunge wanachukua nyumba hizo na kupangisha ma-miss (nyumba ndogo).
ReplyDeleteni kweli wauzie waliokaa miaka mingi then wajenge nyingine sababu wana asset nyingi nchi nzima wazitumie kukopa benki na kujenga maghorofa mapya ya kupangisha na nyumba za kawaida ndogo ndogo za kuuza kwa bei nafuu na kwa mkopo kama mil 15 - 20 hapo kweli maisha bora kwa kila mtanzania yatafikiwa na hili kuhusu wahindi liangaliwe tafadhali.
ReplyDeleteNdugu Waheshimiwa,
ReplyDeleteNategemea katika mazungumzo yenu, mumezungumzia maswala ya kuwarudishia nyumba wale waliopokonywa na kuitaifishwa nyumba zao wakati wa serikali ya Ujamaa na Kujitegema ya Nyerere kama wanavyofanya nchi jirani kama Uganda.
Kama hamwarudishii watu nyumba zao basi hakuna demokrasia Tanzania ila ya maneno tu na Mwenyezi Mungu analaani wale wote wanaodhulumu wenzao.
Mdau ulichosema ni kweli kabisaaa, mi nakuunga mkono asilimia 100.9%, hawa wahindi hawana lolote zaidi ya kunyanyasa kaka zetu na dada zetu wakiwemo wazee wetu. Ni watu wasio na shukrani kabisa na njaa zetu ndio zinazidi kutuumiza, Mchechu na JK, fanyeni mambo wazawa na sisi tukae upnga sio kujibana sinza, kinondoni na Kijitonyama.
ReplyDeletenawasilisha hoja na kukuunga mkono.
Mdau
Ndudu Mdau wa Kwanza: Nyumba za wahindi zilijengwa na Wahindi ndio maana zimejaa Wahindi. Wapangazi walikuwa wahindi wenzao ndio maaana baada ya wenyewe kuthulumiwa na serikali kwa kuitaisha mali zao, wanaolipa kodi z anyumba ni wale wale wahindi waliopanga mwanzo.
ReplyDeletePili, serikali iamua inataka siasa ya Ujamaa au ya Kibepari. Katika kila nchi za demokrasia, mpangaji anaruhusiwa kupanga nyumba yake kwa bei anayotaka ili mradi analipa kodi yake kila mwezi. Kwa hivyo Michuzi umekosea unaposema kuwa hii ni kosa kwa kuwa wapangaji hawakai hapo tena, haya ni maswala ya biashara sio siasa kuingilia kati. Na kama kweli unapenda haki za binadamu, ungezungumzia maswala ya kuwarudishia watu nyumba zao zilizotaifishwa. Tunajua wafanyakazi wengi wa serikali wanakaa katika majumba hayo na wanafaidika kukaa bure baada ya kuwatimua wenye nyumba kwa jina la Ujamaa na Kujitegemea. Haki iko wapi?
lakini wewe unaishije kwenye nyumba ya kupanga kwa miaka ishirini? By the way hizo nyumba inabidi tufaidi wote na hivyo wengine mnapaswa muanze ku-graduate!!!
ReplyDeleteNajua hii michuzi utaibana lakini hapo hakuna kitu wanapanga namna yakupata EPA nyingine kwa ajili ya uchaguzi
ReplyDeleteHuyu Nehemia ameingia kwenye mambo ya siasa tu hapa. Hakuna jipya
ReplyDeletenaamini mliongelea la haki ya msingi ya wanainchi wa tanzania wazawa!!!na ubabaishaji wa izo NHC maana ni kujuana tu hapa mjini
ReplyDeleteila huu uonevu una mwisho wake.
kijana mkurugenzi ebu rekebisha ilo shirika kwa haki kabisa na ujue una changamoto nzito nyuma yako maana hapo wamejaa "wakongwe"wa kula vya wanainchi
we are watching God help you!!
Kama kuna wapangaji wanapangisha nyumba za NHC kwa wapangaji wa pili kuna tatizo gani? Kwani NHC wao wanataka nini zaidi ya kodi na kutunzwa kwa nyumba zao?
ReplyDeleteProblem hapa ni kwamba NHC wanatoza kodi kidogo sana ambao ni chini ya bei ya soko la nyumba. Ndio maana watu wengine wanakuwa wateja wa wateja wa NHC.
MCHECHU UNATAKIWA KUELEWA KUWA MAAMUZI YA SERIKALI YANAKUWA NA EFFECTS MBILI AMBAZO NI POLITICAL NA ECONOMICAL.
ReplyDeleteSASA KWA KUWA SERIKALI INAENDESHWA NA WANASIASA, WAO WANAJALI KWA POLITICAL EFFECTS ZINAZOTOKANA NA MAAMUZI YAO.
HIVYO HII KAZI YAKO IKIIFANYA KAMA UKO KWENYE SEKTA BINAFSI, AMBAKO MARA NYINGI WANAJALI ECONOMICS EFFECTS,UTAPATA VIPINGAMIZI VINGI SANA NA MWISHOWE NA WEWE UTAKUWA TU MWANASIASA.
Bwana Mchechu, hongera sana kwa kuteuliwa katika nafasi hiyo. Usijisahau fanya kazi na jitahidi uje na mipango ya ubunifu zaidi kuliboresha shirika la nyumba, pia wasiliana na Mh. Dr. Magufuli (MB), Waziri, atakupa mipango mizuri sana. Mungu akubariki.
ReplyDeleteMdau wa Tue jun 08 3:22AM
ReplyDeleteKiti alichokalia JK ni kipana mno kwa sababu kilitengenezwa spesheli kwa mkuu wa awamu ya 3 BWM,cunajua alivyoshiba!!! Nadhani bajeti haikutosha kununua kingine spesheli kwa JK...cjui lakini!
Najua JK anamueleza bosi wa NHC afanye juu chini na wao wahindi wakapange masaki,sinza magomeni nk waonje utamu wa foleni na bei za juu za nyumba si kung`ang`ania nyumba za bei za chini wakati wana hela afu mzawa mwenye kulipwa hela ndogo akapange kwa bei kubwa, si sahihi kabisa.
ReplyDeletezoezi hili lingeanzia upanga kwanza manake wadosi wote wa bongo ndio wameshindiliana kule hizi nyumba wanazipataje kiulani kama si kuachiana?? MKUU ANZIA UPANGA!!
ReplyDeletenauliza swali serious, nikitaka kupanga NHC utaratibu ukoje?
ReplyDelete