Home
Unlabelled
JK awasili Dodoma leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mweeh!
ReplyDeleteKwani ile PREZIDENSHIO JET mpya iliyonunuliwaga kwa gharama kubwa iko wapi?
Au imeshaharibika?
kwani ndege hii ndiyo ile ile aliyonunuliwa Mr. Clean mpaka watanzania tukaambiwa tutakula nyasi ili ndege inunuliwe????
ReplyDeletejino moja mswaki wanini?
ReplyDeletebro michuzi mambo vipi poleni sana na majanga ya ajali maana kila tunapogusa bog yetu ya jamii basi ni lazima tukutane na habari ya ajali kwa kweli hii inasikitisha sana:naomba unifungue macho na akili yangu kidogo hivi kuna uhalali gani raisi kutumia mali za serikali kwa manufaa ya chama? maaana nona hii ndege ni ya serikali na raisi ameenda dodoma kwa maswala ya kichama je ni haki kutumia ndege yaserikali? na lingine naomba nifahamishwe iweje kila raisi amapotembelea baadhi ya maaeneo wanokwenda kumlaki wanavaa sare za chama tawala? je hii imekaa sawa? maana kwa upeo wangu mie nilifikiri raisi ni wa wote swala la itikadi si sehemu yake kuvaa sare kila mahali naomba majibu wadau mie dany _finland
ReplyDeleteHii ni aina mojawapo ya uvivu, na ndiyo yatusababisha tuwe maskini. Kimantiki ni kuwa hao wote hawna la kufanya, na bado tunalia umaskini, mhh tutatoka kweli? Tujaribu kuwa na mawazo yakinifu na sio kila mara kujikusanya tu hata kama ni ushabiki, hiki ni kiashiria kibaya, na kama ni hivyo mie ningeshauri kila mwaka wa uchaguzi itangazwe rasmi hakuna kazi, na hii ndio maana tunaona wakuu wa mikoa wanakimbizana kusema wagombee kitu kinachoashiria utekelezajiw a majukumu kuwa chini as sasa wanalenga kwenda kumwaga sera na takrima!!
ReplyDeleteWhy JK hatumii lile dege jipya lililonunuliwa na Mkapa?
ReplyDeletekwanini katumia ndege ya serikali kwenye shughuli ya chama? na hawajui kwamba kama wange drive kwenda dodoma wangepunguza gharama?
ReplyDeletekama unajisikia kubania powa tu michuzi lakini si uungwana kutumia mali ya serikali kwenye kazi za chama.
ah!..mi hii habari inantia kinyaa kusema kweli, manake sioni hope kwa nchi yetu!..mdau hyderabad!Hivi viongozi wetu wanajisikiaje mtu anaposema anajisikia raha kuwa raia wa nchi nyingine kwa sababu tu nchini kwetu hamna uongozi wa kueleweka.
ReplyDeletePolitics ndani ya serikali....
ReplyDeleteMUNGU WANGU! Hii ndio ndege inayonilisha nyasi? Alienda huko kiserikali au kichama? Si angetumia nukushi aka fax au DHL kupeleka fomu huko jamani?
ReplyDelete