wana CCM na wakazi wengine wa mjini Dodoma wakishuhudia ndege ya JK ikitua uwanja wa ndege wa mjini Dodoma. JK yuko mjini Dodoma tayari kwa kurudisha fomu za udhamini wa kugombea urais kupitia chama tawala cha CCM. Zoezi hili linategemewa kufanyika kesho tarehe 1 Julai 2010.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. ZeroBrainJune 30, 2010

    Mweeh!

    Kwani ile PREZIDENSHIO JET mpya iliyonunuliwaga kwa gharama kubwa iko wapi?

    Au imeshaharibika?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 30, 2010

    kwani ndege hii ndiyo ile ile aliyonunuliwa Mr. Clean mpaka watanzania tukaambiwa tutakula nyasi ili ndege inunuliwe????

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 30, 2010

    jino moja mswaki wanini?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 30, 2010

    bro michuzi mambo vipi poleni sana na majanga ya ajali maana kila tunapogusa bog yetu ya jamii basi ni lazima tukutane na habari ya ajali kwa kweli hii inasikitisha sana:naomba unifungue macho na akili yangu kidogo hivi kuna uhalali gani raisi kutumia mali za serikali kwa manufaa ya chama? maaana nona hii ndege ni ya serikali na raisi ameenda dodoma kwa maswala ya kichama je ni haki kutumia ndege yaserikali? na lingine naomba nifahamishwe iweje kila raisi amapotembelea baadhi ya maaeneo wanokwenda kumlaki wanavaa sare za chama tawala? je hii imekaa sawa? maana kwa upeo wangu mie nilifikiri raisi ni wa wote swala la itikadi si sehemu yake kuvaa sare kila mahali naomba majibu wadau mie dany _finland

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 30, 2010

    Hii ni aina mojawapo ya uvivu, na ndiyo yatusababisha tuwe maskini. Kimantiki ni kuwa hao wote hawna la kufanya, na bado tunalia umaskini, mhh tutatoka kweli? Tujaribu kuwa na mawazo yakinifu na sio kila mara kujikusanya tu hata kama ni ushabiki, hiki ni kiashiria kibaya, na kama ni hivyo mie ningeshauri kila mwaka wa uchaguzi itangazwe rasmi hakuna kazi, na hii ndio maana tunaona wakuu wa mikoa wanakimbizana kusema wagombee kitu kinachoashiria utekelezajiw a majukumu kuwa chini as sasa wanalenga kwenda kumwaga sera na takrima!!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 30, 2010

    Why JK hatumii lile dege jipya lililonunuliwa na Mkapa?

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 30, 2010

    kwanini katumia ndege ya serikali kwenye shughuli ya chama? na hawajui kwamba kama wange drive kwenda dodoma wangepunguza gharama?

    kama unajisikia kubania powa tu michuzi lakini si uungwana kutumia mali ya serikali kwenye kazi za chama.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 30, 2010

    ah!..mi hii habari inantia kinyaa kusema kweli, manake sioni hope kwa nchi yetu!..mdau hyderabad!Hivi viongozi wetu wanajisikiaje mtu anaposema anajisikia raha kuwa raia wa nchi nyingine kwa sababu tu nchini kwetu hamna uongozi wa kueleweka.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 30, 2010

    Politics ndani ya serikali....

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 01, 2010

    MUNGU WANGU! Hii ndio ndege inayonilisha nyasi? Alienda huko kiserikali au kichama? Si angetumia nukushi aka fax au DHL kupeleka fomu huko jamani?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...