JK akiweka jiwe la msingi katika eneo la viwanda la Kamal Industrial Estate,huko Kerege, Bagamoyo, mkoa wa Pwani, leo jioni. Kampuni hiyo ya Uwekezaji kutoka India itajenga viwanda mbalimbali katika eneo hilo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 26, 2010

    mimi naangalia jina mheshimiwa wetu raisi, hapa limeandikwa H.E.DR.JAKAYA....,Hivi ni kweli tunapatia kuandika hizi herufi DR.??..kama kuna mdau atakayetoa msaada itafaa zaidi.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 26, 2010

    Hujaweka 'space'.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 26, 2010

    VIWANDA VYOTE BONGO VINAVYOFUNGULIWA NA WAHESHIMIWA NI VYA WAHINDI "WA-TANZANIA" AU TUSEME WENYE NCHI...... WAZAWA HATUFUNGULIWI VIWANDA WALA HATUWEZESHWI KUVIFUNGUA!...... TABU KUZALIWA MTU MWEUSI BONGO....... NIMESAHAU... WAO NDIO WATOA MICHANGO YA UCHAGUZI..... SAWA.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 26, 2010

    VIWANDA VYOTE BONGO VINAVYOFUNGULIWA NA WAHESHIMIWA NI VYA WAHINDI "WA-TANZANIA" AU TUSEME WENYE NCHI...... WAZAWA HATUFUNGULIWI VIWANDA WALA HATUWEZESHWI KUVIFUNGUA!...... TABU KUZALIWA MTU MWEUSI BONGO....... NIMESAHAU... WAO NDIO WATOA MICHANGO YA UCHAGUZI..... SAWA.

    VIWANDA VYOTE BONGO VINAVYOFUNGULIWA NA WAHESHIMIWA NI VYA WAHINDI "WA-TANZANIA" AU TUSEME WENYE NCHI...... WAZAWA HATUFUNGULIWI VIWANDA WALA HATUWEZESHWI KUVIFUNGUA!...... TABU KUZALIWA MTU MWEUSI BONGO....... NIMESAHAU... WAO NDIO WATOA MICHANGO YA UCHAGUZI..... SAWA.



    WEWE HUJUI CCM NI YA AKINA SHUBASH PATEL, NA WAHINDI WENGINE WENYE NYADHIFA WALIONAZO, BANA SIKILIZENI HII NCHI TUWAACHE TU HAWA WAHINDI WATUIBIE PESA ZETU WAFUNGUE VIWANDA NDANI YA HII MIAKA 5 INAYOKUJA KUTAHALIBIKA NDUGU ZANGU WATANZANIA SI WATU WAJINGA ILA IPO SIKU SERIKALI ITAJUA KUMBE WENYE NCHI WAMEGUNDUA MAUOZA YETU?

    SASA BASI VIJANA TUAMKE TUSIDANGANYWE NA HIZI SERA ZA KIJINGA JAMANI.

    NI MIMI BI DADA

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 26, 2010

    bagamoyo!!!
    yes, mcheza kwao hutuzwa.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 26, 2010

    mimi ninachokiuliza sio space wala nafasi kati ya majina, hiyo doctrate ya mheshimiwa ni halali kuandikwa hapo?manake nijuavyo mimi hiyo amepewa na sio ya darasani.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 26, 2010

    mi nadhan itakuwa ni DK co DR. kweli kila mtu na kwao hv KIGOMA mbona sioni hata kiongozi mmoja akishawishi wawekezaji waende kuwekeza??!!au kule sio tanzania??au ndo ule mmpango mkakati wa CCM mnadhani hatuujui??!!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 26, 2010

    kule kila mtu na kwao hv mbona cjaona kiongozi hata mmoja anashawishi wawekezaji wakawekeze KIGOMA?au co tanzania?au ndo ule mpango mkakati wa CCM mnadhani hatujui??!!

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 26, 2010

    Hivi wachumi hembu tuambieni External Processing Zone zapaswa kuwa karibu na bahari ama karibu na production areas? Kama ni karibu na production areas, kuna kipi Bagamoyo?
    Mie nadhani we need to put some thinking b4 we copy n paste or try to impress his excellency. Tunategemea kuuza chuma na makaa ya mawe toka kusini, ila tunajenga bandari kubwa Bagamoyo, tunataka rudisha biashara ya Utumwa?

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 26, 2010

    we anony wa juu apo una matatizo sasa we mtz unamsubiri nani akakufungulie kiwanda au unasubiri muhindi afungue halafu ndo useme...tatizo la watu weusi hawafikirii kuwekeza kwenye bidhaa"goods" wa wanafikiria kutoa huduma"servise" zaidi yan we mdau hapo akitokea mtu akupe capital sasa utafikiria kuzalisha huduma wakati muhindi anafikiria kuzalisha bidhaa ndo mana unakuta saluni zimejaa mtaa mzima kwa kuwa tu mmoja alikuwa anapata faida...ktk hili wahindi watatuzidi sana na nachotaka niwaambie sio kwamba wahindi wana akili sana isipokuwa system yao ndo iko ivo wanaishi kwenye mazingira ya uzalishaji bidhaa na sio huduma.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 27, 2010

    NATAKA KUMJIBU HUYO ANAYESEMA Dr YA KUPEWA JE NI HALALI KUANDIKWA HAPO? KWA TAARIFA YAKO KAMA UMEENDA SHULE YA MATAWI YA JUU NI KWAMA PhD YA KUSOMEA NA YA KUPEWEA ZOTE ZINA UZITO SAWA NA MTU ANAWEZA KUITUMIA KAMA VILE ANAVYOITUMIA MTU ALIYEIENDEA DARASANI. UNAWEZA KUFANYA UTAFITI KUJUWA HILO. KWA KIFUPI UZITO WAKE NI SAWA NA YULE ALIYEENDA DARASANI OTHERWISE KUSINGEKUWA NA MAANA YA MTU KUPEWA HIYO. PIA UNATAKIWA KUELEWA PhD NI TOFAUTI NA DEGREE ZA KWANZA NA PILI, HATA WALE WALISOMEA WANAWEZA KUZIPATA HIZO KWA MSAADA WA WATU WENGINE SI 100% NI INPUT ZAO

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...