Mambo vp Ankal Michuzi!
Leo natoka zangu Ttanga kuja Dr mida ya
mchana nimekutana na hii mitaa ya Msata.
Je Matrafik mpo au hii inaruhusiwa???
Mdau Jamal
Sent from my BlackBerry® smartphone

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 25, 2010

    Ndugu yangu, kwani hujaona hiyo number plate? CD ni excempt from traffic offences. Polisi yupi ata dhubutu kuisimamisha, jaribu wewe na ka-TZ plate, utakoma!.....
    KK

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 26, 2010

    nusu mbavu zangu zichomoke kwa kucheka du! kazi ipo

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 26, 2010

    gari la ubalozi hilo kaka hata hivyo kama kingekuwa kibajaji chako ukibeba vp wakati gari unalo au ndio waosha vinywa hamkosi la kusema

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 26, 2010

    sure anonymas wa saa 11.53 huyo jamaa inaonesha hajui aina za plate namba!!!kila mmoja atajiachia kulingana na ubig potatoes wake ndugu!!!hii nchi in watu wake ohooo!!!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 27, 2010

    Ole wao wakutane na Chenge ataipandia hukohuko juu na pickup lake.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 27, 2010

    Kwani amekosea nini, si amekipakia tu na wala hakiendeshi huko juu?

    Mimi sioni tatizo lo lote kama amekifunga sawasawa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...