Home
Unlabelled
kibajaji....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ndugu yangu, kwani hujaona hiyo number plate? CD ni excempt from traffic offences. Polisi yupi ata dhubutu kuisimamisha, jaribu wewe na ka-TZ plate, utakoma!.....
ReplyDeleteKK
nusu mbavu zangu zichomoke kwa kucheka du! kazi ipo
ReplyDeletegari la ubalozi hilo kaka hata hivyo kama kingekuwa kibajaji chako ukibeba vp wakati gari unalo au ndio waosha vinywa hamkosi la kusema
ReplyDeletesure anonymas wa saa 11.53 huyo jamaa inaonesha hajui aina za plate namba!!!kila mmoja atajiachia kulingana na ubig potatoes wake ndugu!!!hii nchi in watu wake ohooo!!!
ReplyDeleteOle wao wakutane na Chenge ataipandia hukohuko juu na pickup lake.
ReplyDeleteKwani amekosea nini, si amekipakia tu na wala hakiendeshi huko juu?
ReplyDeleteMimi sioni tatizo lo lote kama amekifunga sawasawa.