Katibu tawala wilala ya Moshi mjini Hashim Mgonja akikagua timu ya jeshi Stars na Mzinga ya Msrogoro wakati wa ufunguzi wa mashindano ya klabu bingwa yaliyoanza jana mjini Moshi.
Katibu tawala wilala ya Moshi mjini Hashim Mgonja akikagua timu ya Mzinga ya Morogoro wakati wa ufunguzi wa mashindano ya klabu bingwa yaliyoanza mjini Moshi. Kikosi kamili cha Jeshi Stars
Kikosi kabambe cha Mzinga
Maandamano ya ufunguzi wa michezo hiyo
Timu zote zikiwa zimejipanga wakati wa sherehe za ufunguzi
Mgeni rasmi akitoa neno kubariki mashindano hayo
Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom wakiwa ndio wadhamini wakuu wa mashindano walikuwepo kushuhudia ufunguzi. Shoto ni meneja mauzo mkoa wa Kilimanjaro Kizumo Kizango na Emanuel Carl ambaye ni mwakilishi mauzo mkoa wa Kilimanjaro,kulia ni katibu wa chama cha mpira wa kikapu mkoa wa Kilimanjaro Alfred Serengia. Picha zote na habari na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii









Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...