Home
Unlabelled
ohooooo... nini tena????
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Bi Kidude kumbe msela namna iyo hehehehhe
ReplyDeletePicha hii imenifurahisha sana kwani Bibi Kidude amezikunja vizuri kama Professional kama mtu anayejua kupigana.
ReplyDeleteWatu wengi ikiwa ni pamoja na wanaume huwa hawajui namna ya kuzikunja ngumi na kwa mkao wa kupigana. lakini Bibiye kapatia.
hapo alikuwa anazikunja amchape gea habibu mtangazaji wa radio ya watu clouds fm baada ya gea kumuuliza kuwa inasemekana enzi zake bi kidude alikuwa bingwa wa kutoka na waume za watu! lol bibi si ndo akamkunjia ngumi nahisi gea alikuwa anamtania bi kidude
ReplyDeleteBibi mswahili,hadi noma.....wajukuu mnakazi kweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeli.
ReplyDeleteMdau Mbije,A.
Bi Kidude msamehe ndio watoto wa siku hizi haooo!
ReplyDeleteningemtandika mbili tu wanafikiri mimi ni mzee nimezaliwa 1899 sio zamani hawa watoto wa siku hizi wana balaa(Bi kidude original)
ReplyDeleteComments zake ndo zilifurahisha zaidi. Awauliza kina dada wavaa suruali kama midume, je wanaume nao wakivaa gauni au sketi patakalika mjini? Aliwataka kuacha ushamba.
ReplyDelete