Baba ukiwa kwenye mahafali yangu Kindoroko
Baba (kulia) na rafiki yake
Baba na dada yetu Kilakala
KUMBUKUMBU YA MIAKA 10 YA MPENDWA
BABA YETU MOHAMED H.I.MSEMO.

Mpendwa Baba unakumbukwa daima na Mama yetu (Mke wako), Watoto 5 na wajukuu zako 9 ambao hukuwaona kwani pengo lako ni kubwa sana. Watumishi wenzako mpaka leo wanakukumbuka kwani uliacha pengo kubwa mno kwao.

Mpendwa baba yetu,
tunamkumbuka huko aliko na '
Mwenyezi mungu akupunguzie adhabu za Kaburi- Amen
Baba tutaendelea kukumbuka daima milele

Ndimi Bintiyo Amina Msemo




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 14, 2010

    Hiyo picha ya pili ya baba imenikumbusha mbaali kwelikweli. Hivo viatu brand yake ilikua yaitwa "YOUTHFUL". HA HA HA!!

    Baba anapumzika salama. Atuombee ba sisi tuishi maisha bora ili nasi twende pumzika naye salama, AMEN!!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 15, 2010

    Amina Msemo wa Same? wasalimie dada zako, mimi ni rafiki wa safina

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 15, 2010

    amina habariz as ikun yingi mimin i rafikiw af amilia hii tulisoma wote mbuyunit anga yupo wapi hawan ah atibu?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 15, 2010

    Kweli miaka imepita haraka. Nawapa pole tena kina Amina na wanafamilia wote wa Msemo. Tunamwomba Mola amlaze pema Marehemu Mohamed Msemo Amin.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 15, 2010

    Hiyo picha ya chini, huyo dada anafanana na classmate wangu wa UDSM alikuwa anaitwa Aisha. Je ndio yeye huyo?

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 21, 2010

    NAshukuru jamani kwa Comment zenu kama mnataka kuwasiliana na familia hii wasiliana na 0714143123 huyu anaitwa Rama, na Huyo hapo Chini ndio Marehemu Aisha Msemo ni kweli ulikuwa nae UDSM sasa kama unahitaji kuwasalimia familia hii wasiliana na namba iyo hapo juu. asanteni mimi Amina Msemo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...