

Baba na dada yetu Kilakala
KUMBUKUMBU YA MIAKA 10 YA MPENDWA
BABA YETU MOHAMED H.I.MSEMO. Mpendwa Baba unakumbukwa daima na Mama yetu (Mke wako), Watoto 5 na wajukuu zako 9 ambao hukuwaona kwani pengo lako ni kubwa sana. Watumishi wenzako mpaka leo wanakukumbuka kwani uliacha pengo kubwa mno kwao.
Mpendwa baba yetu,
tunamkumbuka huko aliko na '
Mwenyezi mungu akupunguzie adhabu za Kaburi- Amen
Baba tutaendelea kukumbuka daima milele
Ndimi Bintiyo Amina Msemo
Hiyo picha ya pili ya baba imenikumbusha mbaali kwelikweli. Hivo viatu brand yake ilikua yaitwa "YOUTHFUL". HA HA HA!!
ReplyDeleteBaba anapumzika salama. Atuombee ba sisi tuishi maisha bora ili nasi twende pumzika naye salama, AMEN!!!
Amina Msemo wa Same? wasalimie dada zako, mimi ni rafiki wa safina
ReplyDeleteamina habariz as ikun yingi mimin i rafikiw af amilia hii tulisoma wote mbuyunit anga yupo wapi hawan ah atibu?
ReplyDeleteKweli miaka imepita haraka. Nawapa pole tena kina Amina na wanafamilia wote wa Msemo. Tunamwomba Mola amlaze pema Marehemu Mohamed Msemo Amin.
ReplyDeleteHiyo picha ya chini, huyo dada anafanana na classmate wangu wa UDSM alikuwa anaitwa Aisha. Je ndio yeye huyo?
ReplyDeleteNAshukuru jamani kwa Comment zenu kama mnataka kuwasiliana na familia hii wasiliana na 0714143123 huyu anaitwa Rama, na Huyo hapo Chini ndio Marehemu Aisha Msemo ni kweli ulikuwa nae UDSM sasa kama unahitaji kuwasalimia familia hii wasiliana na namba iyo hapo juu. asanteni mimi Amina Msemo
ReplyDelete