Dereva wa mkokoteni huu kapaki kwenye kona ya mtaa wa jamhuri na inayoenda bilicanas na kwenda kunywa chai. hiyo foleni iliyozuka kutokana na uzembe huu wa hali ya juu anajua Mungu. Kwa hiyo adha ya foleni jijini Dar inasababishwa na mengi tu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 16, 2010

    let the poor man have his cup of tea.
    others can wait and watch.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 16, 2010

    LOL,

    Tanzania zaidi uijuavyo.

    Yaani huo mkokoteni una central locking au?!! Maana ungesogezwa pembeni na watu wakapita kirahisi. Au tunasubiri serikali?

    Kweli foleni zinachangiwa na mengi ikiwemo uzembe wetu wenyewe.

    K.O.R.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...