WAAMUZI NA MAKOCHA WA BASKETBALL
WAANZA MAFUNZO DAR

Mambo Basketball imeandaa mafunzo kwa makocha, waamuzi na wachezaji wa mpira wa kikapu kwa wanaume na wanawake.

Mafunzo hayo yanafanyika katika uwanja wa international school of Tanganyika, Masaki, jijini Dar na yameanza jumapili tarehe 13/06/2010 hadi tarehe 18/06/2010.

Mafunzo hayo yatawahusisha waalimu wote wa mpira wa kikapu na waamuzi toka Dar na mikoa jirani. Wachezaji ni wale waliochaguliwa na kipaumbele kikiwa ni wachezaji wa timu ya mkoa wa DSM.

Kocha Cutris Symonds wa Hoop Magic Sports Academy toka marekani alitarajiwa kuja kushirikiana na makocha wazalendo kutoa mafunzo hayo lakini kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wa wote huenda asifike.

Kwa upande wa Makocha na waamuzi mada kubwa itakuwa majadiliano juu ya ufundishaji /uchezeshaji utakao msaidia mchezaji na kumuendeleza kuutumia ujuzi wake uwanjani pia kumsaidia kimaisha awapo nje ya uwanja (positive coaching/ officiating).

Wachezaji watafundishwa mbinu za uchezaji ki-timu (team tactics).

Mambo basketball imekuwa ikifanya mafunzo kwa wachezaji hapa Tanzania katika kuendeleza na kukuza mchezo wa mpira wa kikapu hapa Tanzania. Mbali na Dar, mafunzo mengine yamefanyika katika mikoa ya mikoa ya Morogoro na Dodoma.
Imetolewa na

Coach BAHATI MGUNDA – 0754383140.
Coordinator MAMBO BASKETBALL.
Mtandao wa Mambo BOFYA HAPA

WACHEZAJI WALIOCHAGULIWA KUHUDHURIA MAFUNZO HAYO.
WANAUME/ WANAWAKE


1: ANTHONY JEIKANGA- VIJANA

2: DOTTO ZEPHANIA- VIJANA

3: SLYVIAN YUNZU- SAVIO

4: GEORGE TARIMO- SAVIO

5: GILBERT BATUNGI- ABC

6: GERALD BARU-OILERS

7: LUSAJO SAMWELI- OILERS

8: JAMES BROWN- JKT

9: MOHAMED YUSUPH- SAVIO

10: FRANK KUSIGA- JKT

11: WAZIRI GUMBO – SAVIO

12: MOHAMED MSHALE- PAZI

13: EMMANUEL MWIKALO- VIJANA

14: SUNDAY MATONDO – VIJANA

15: SAMWEL SIJE- PRISON

16: ALEX GEORGE- PRISON

17: ALPHAEL KISUSI- VIJANA

18; COLNELL JOSEPH– CHUI

19: HEMED CHOKA- JKT

20: FRANK AUGUSTINO - ABC

21: Stephan ATANASIO- ABC

22: MARTIN KOLIKOLI- MAMBO BB CAMPS

23: SUNDAY – MAMBO BB CAMPS- JOGOO

24: BARAKA MOPELE- MAMBO BB CAMPS- JOGOO

25: ANDREW- MAMBO BB CAMPS- JOGOO

26: BENEDICT MKANGALA- CHUI

27: ANDREW IKUNGURA- PAZI

1.FARAJA MALAKI

2: JABU SHAABAN

3: JACKLIN SHEMIZA

4: AGNESS SIMKONDA

5: JOICE MIDODI

6: ANOMISIATA ANTHONY

7: GRACE MUGYABUS-JESHI STARS

8: JASMINE BABLIA

9: ZAKIA KONDO

10: ESTER NELSON

11: EASTER NELSON

12: AMINA AHMED

13: NINA MLIGA

14: HADIJA KILAMBO-LIONESS

15: NELLY ANYINGISE

16: LULU JOSEPH

17: EVODIA KAZINJE

18: SHEILA KIBWANA

19: WEMA MATHIAS

20: AGERA IGNUS-JKT

21: NEEMA EMANUEL

22: ELIZA CHRISTOPHER

23: ANNA PAUL

24: GRACE -POLISI

25 : DOROTHER LUKINDO-POLISI

26: HAWA JOHN

26: NAIMA BORI

27: LEOKADIA RAPHAEL

28: NURU HEMEDI- PRISON

29: TUKUSUBILA MWALUSAMBA - VIJANA

30: YASMIN NAGIB- VIJANA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...