Dar es salaam na ina vifuatavyo:
-Master bedroom yenye makabati ya nguo,feni na AC.
-Vyumba 2 vyenye makabati ya nguo na feni
- Liabrary kubwa feni
-Sitting room kubwa ,feni kubwa ya kisasa na AC
- Dinning room kubwa yenye feni
- Public toilet 2
-Laundry
- Stoo room yenye shelf
- Jiko lenye makabati ya jikoni na feni
-Water heater kwa ajili ya maji moto
- Floor tiles nyumba nzima
- Vioo vya aluminium
-Bati la kisasa kutoka South Africa
-Pevin blocks
-Garden ya maua mbele ya nyumba
-Garden ya matunda nyuma ya nyumba
-Tank 2 za maji
-Kisima cha kuhifadhi maji safi lita 45,000
-Taa za garden,na security lights
-Stoo ya nje
-System ya gata kuvuna maji ya mvua
-Vyumba 2 vyenye makabati ya nguo na feni
- Liabrary kubwa feni
-Sitting room kubwa ,feni kubwa ya kisasa na AC
- Dinning room kubwa yenye feni
- Public toilet 2
-Laundry
- Stoo room yenye shelf
- Jiko lenye makabati ya jikoni na feni
-Water heater kwa ajili ya maji moto
- Floor tiles nyumba nzima
- Vioo vya aluminium
-Bati la kisasa kutoka South Africa
-Pevin blocks
-Garden ya maua mbele ya nyumba
-Garden ya matunda nyuma ya nyumba
-Tank 2 za maji
-Kisima cha kuhifadhi maji safi lita 45,000
-Taa za garden,na security lights
-Stoo ya nje
-System ya gata kuvuna maji ya mvua
Nyumba ipo Mita 400 kutoka barabara ya lami. Barabara ni nzuri mpaka mlangoni. Maji ni ya Dawasco na umeme ni wa Tanesco. Nyumba ni mpya haijakaliwa na mtu ndio tumemalizia hatua za mwisho za ujenzi.
Kama una maswali yoyote ukihitaji mawasiliano email yangu ni mwijo70jojo@yahoo.co.uk
au simu ni
+255655303997
Angalizo: Dalali hatakiwi hapa.
Angalizo: Dalali hatakiwi hapa.
sasa hapo utaambia miliion 300 kama sikosei, nyumba ni nzuri lakini bei mhhhhhhh ingawa haujaiweka hapa mtandaoni
ReplyDeleteNyumba nzuri lakini jiko hilo liko mis-matched kweli...Hiyo counter, makabati na hizo back slash tiles? Kuna interior designer niliona ameanzisha biashara mngemconsult awashauri jinsi ya kumatch hapo pavutie..Mnunuzi lazima arip oof hilo jiko na kuanza upya kudesign....
ReplyDeleteIKO UMBALI GANI KUTOKA BAHARINI? NA ASKING PRICE NI $?
ReplyDeleteupenuni ni ngumu bwana si useme tu kwa nyuma!
ReplyDeleteDuh hiki ni kitu cha nguvu wabeba mabox kazi kwenu sasa..!!! No excuse....hii ni kitu na box..!!!!
ReplyDeleteKwa nini nchi hii dalali hudharauliwa sana mpaka anapigwa vijembe.
ReplyDeleteMarekani na ulaya udalali ni serious business whether unataka kununua nyumba, hisa katika kampuni hata uwakilishi wa kibiashara tena huwa na role kubwa sana,
Bongo dalali huonekana kama mchawi, kwa nini?
(US Blogger)
MUUZAJI ANGEWEKA BEI INGEKUWA NI VYEMA ILI KUJUA IKO KWENYE UWEZO WA MNUNUAJI AMA!?
ReplyDeleteweka bei
ReplyDeleteTunaomba bei....au ndio ile ya milioni mia mbili? Nice house.
ReplyDeleteAnkal nyumba hiyo ni nzuri sana na inapendeza kwa vile ni rangi nyeupe lakini ikitokea niinunue nitabadilisha rangi. Inabidi hawa wanaoifanyia matangazo waweke bei yake, kwanini waogope kuweka bei kama imeshakuwa appraised. Tatizo la Tanzania uuzaji wa nyumba ni wa kubambikiza hakuna viwango kamili kulingana na eneo nyumba ilipo.
ReplyDeleteUghaibuni kila eneo lililojengwa nyumba lina thamani yake kulingana na sehemu yenyewe. Hususan kama nyumba ipo karibu na ziwa thamani yake ni kubwa, kama ipo pembezoni mwa mto thamani yake ni juu vilevile. Na bei zimewekwa wazi na hilo ndo litawavutia na kuwachuja wateja. Kwani mtu akiona bei anajiona kwamba ana uwezo au hana uwezo wa kuinunua anakuwa hana haja ya kuulizia. Nimeona nyumba nyingi hazina bei. Waambie hao jamaa wanaoinadi waweke bei ili tulinganishe.
Thanks.
Mdau wa Damu USA
Nyumba ilijengwa lini? na msingi wake ulichimbwa hadi kina cha mita ngapi?
ReplyDeleteHilo paa ni bati au ni la vigae?
Je nyumba hii ina wet bar?
Kuna garage? na garage kama ipo inachukua magari mangapi?
Iko umbali gani kutoka baharini?
Barabara ya kufika kwenye nyumba ina hali gani?
Maji machafu yake yanaingia kwenye central sewage au yanaingia kwenye septic tank? Kama ni Septic tank, je tanki hilo lina ukubwa gani?
Bei yako ya kuanzia ni dola au euro ngapi?
What a Spacious Beautiful House!
ReplyDeleteJust that the Kitchen is a bit small, and a bit of too much detail at the front pavement (broken tiles & tiles).
Very spacious, and possibility of developing it further into a storey building is there.
JAMANI WANA JAMII TUJARIBU KUBADILIKA HII TABIA YA KUOSHA VINYA TUANGALIE MANENO YA KUOSHA VINYWA SIO KILA JAMBO TUNAJIFANYA WELEVU
ReplyDeleteHUYU JAMAA AMETANGAZA KUUZA NYUMBA YAKE NA AMEJARIBU KUONYESHA JINSI YA NYUMBA YAKE ILIVYO
SASA HAPO KINACHOTAKIWA NI MNUNUZI WA NYUMBA NA SIO MSHAURI WA PLAN YA UJENZI
MWENYE NYUMBA KAMALIZA UJENZI WAKE KWA JINSI ALIVYOWEZA YEYE NA UWEZO WAKE SASA MKIJIFANYA MNAJUA PLAN ZAIDI HILO HALIHUSIKI NA HAPO
JAMAA ANAUZA NYUMBA NA WALA HAKUTOA PICHA ZA NYUMBA ILI ASAIDIWE PLAN YA UJENZI
WEWE KAMA MNUNUZI WASILIANANAE MTAPATANA BEI NA KAMA KUNA VITU HUJAVIPENDA KWENYE HIYO NYUMBA UNAWEZA KUFANYA MAREKEBISHO WEWE MWENYEWE KWA JINSI UNAVYOPENDA
KWANI HAKUNA MTU ANAWEZA KUTENGENEZA KITU MFANO KUJENGA NYUMBA IKAWA NA PLAN SAWA KABISA NA ILE PLAN UNAYOITAKA WEWE MUOSHA KINYWA
HIYO NYUMBA HAKUJENGA KAMA SPECIAL ODER FROM U MUOSHA KINYWA HIYO NYUMBA ALIJENGA KWA UPEO NA UWEZO WAKE MWENYEWE
NA KWA YULE ALIETANGULIA NA KUSEMA ETI NYUMBA KAMA HIYO UTAAMBIWA NI KUANZIA MILIONI 300, HIVI KWELI JAMANI MNAJUWA GHALAMA ZA UJENZI SIKU HIZI?
WEWE MUOSHA KINYWA UMEJENGA NYUMBA NGAPI MPAKA SASA? NA GHALAMA ZA UJENZI UNAZISIKIA AU UNAZIJUWA?
ACHENI MANENO YA UPUUZI MTU KATANGAZA KUUZA NYUMBA YAKE MNACHOTAKIWA KUFANYA KAMA KUNA MNUNUZI AFANYE MAWASILIANI NA MUUZAJI
mdau wa mahakama kuu ya dunia.
jamaa tapeli huyu naona kataka tu tuone nyumba aliyojenga ikoje. Nimempigia simu sana hapokei na mie ni mteja wa kweli hata kama ni mil 200 ningechukua. nataka kurudi nyumbani kuretire ila naona niendelee kutafuta kwingine. kwenye picha inaonyesha kajitahidi ila hatujui bwana siku hizi picha za camera ni high definition inaoneysha nzuri kumbe ukiisogelea ni mambo mengine kabisa.
ReplyDeletemichuzi back to you
Adumu Jakaya Kikwete adumu
Uncle eneo la kunduchi TBC au tegeta salasala TBC si ndio lile ambalo lilikuwa na mgogoro wa makaazi ya watu jirani na eneo la kurushia matangazo ambayo yanaathari kwa afya?
ReplyDeletekumbukumbu zangu zinasema eneo hili lilitengwa na kuzungushiwa eneo ambalo halikutakiwa kukaliwa na watu, watu wakaanza kuingia taratibu nbaadae jiji nao kwa deal wakapima viwanja ikawa deal sasa hv kuna nyumba hadi karibu kabisa na mitambo na kuna mjadala wa kuhamisha watu.
mdau mwenye nyumba naomba utupe umbali wa nyumba kutoka kwenye mitambo ya TBC isijekuwa umemaliza ukaogopa watoto hawatakua ukaamua kuiuza.
mdau wa Sun Jun 13, 11:30:00 PM, nani kakuuliza advice yako hapa? watu hamchoki kukaa na kuchambua yasiyo yenu?
ReplyDeleteanon wa Mon Jun 14, 09:53:00 AM just shut it! kwani nani alokuuliza opinin yako hapa? nyumba imejengwa kwa upendo na idea za mwenye nyumba na sas aniuza kama unaitaka nunua hutaki wacha wenzio wanunue. kuanza kukosoa kisicho chako inahusu nini?
ReplyDeleteswali moja tu je nyumba ilifanyiwa soil sterilisation?... kwa ajili ya kuweka barrier kuzuia subterranean termites. % kubwa dar hawafanyi. ulitumia dawa ipi?(Termiticide) Hapo salasala kuna mchwa wa kufa mtu.kwanini hutaki madalali? utapataje wateja. Michuzi hapa umemtumia tayari kama dalali.You have to pay him.Mimi nikiassume hukufanya soil sterilisation niko tayari ku offer 120 m. transfer costs, TRA(capital gain tax), lawayers juu yako. Plse contact sunasset@hotmail.com
ReplyDeletesha tapeliwa maeneo hayo lol
ReplyDeletewewe unayesifia madalali yenu moja,ushasema marekani udalali dili ,kumbuka hapa ni bongo,mwenye mali ndio anaamua atumie dalali au asitumie,udalali ni kazi ndiyo ila wenyewe wanaharibu wathifa wa kazi zao kwa utapeli na kuongeza dau.
ReplyDeleteKama TSh225 million utauza tafadhali nijulishe, nahitaji nyumba kwa ajili ya mmoja wa Secreatary wangu.
ReplyDeleteTransfer na other formalities juu yako, mimi nataa unipe documents kamili.
(US Blogger)
You know what tunataka bei, nyumba inaonekana ni nzuri nje ila ndani kwenye vyumba hatuna idea kunaonekana vipi! Unajua hata makaburi yanapendeza sana kwa nje yakipakwa chokaa na marumaru lakini ukifukua ndani unakutana na mifupa na mafuu nk. Je mwenye nyumba hii ana title deed. Ipo kwenye maeneo yaliyopimwa na serikali. Tunahitaji information kamili na kwanini uiuze ghafla na hutaki broker! kuna maswali mengi hapo yanahitaji majibu.
ReplyDeleteKama kweli unao ujasiri weka bei ili tufananishe na hali ya uchumi wa sasa.
acheni longolongo, namba ya simu mmepewa kama kweli ni wanunuzi, pigeni muulize maswali yenu.
ReplyDeletehuyu mtu kasema anauza nyumba na sio maneno! jamani siasa hadi kwenye kitu cha mtu?