Home
Unlabelled
ON THE LIGHTER SIDE: If Tanzania Hosted the FIFA World Cup 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hata kama INAHITAJI tochi! Poa tu! I knew that from the beginning, that to you, I needed a torch. Hujaaa! Sio! Ha ha!
ReplyDeleteThanks anyway! Sincerely! From the bottom of my heart! Really appreciate your efforts. Hugs, Hugs, Hugs.
Wishing you all the best with your 'deemed' Miss Right ama Miss Proper! Whoever that LUCKY girl is!
You are way too hot dude! You surely deserve better! Thanks a lot, a million, once more.
Hugs, Hugs, Hugs!
Talk to you in due course! Even if you don't care! Ha ha!
I know it iss too much information! But it is one of my very last comments herein.
Much Love! Hugs! Peace Yoooh! Hugs! Mwaaaah! Hugs!
Hahaha....Mdau MFK Creations umeniacha hoi..!Huu ni ukweli wa NGUVU!Ungetuonyesha na goalkeeper basi.Watu kama wewe wanatakiwa ili kutuonyesha upande wa pili wa sarufi.Good job!!
ReplyDeletehehehe..very interesting!!!
ReplyDeletemdau hyderabad.
Ha ha ha ha ha ha ha hii kali.
ReplyDeleteu made my day! nimecheka sana.
ReplyDeleteCreative! Hahahha. HILI TANGAZO IN FORM OF A BIG POSTER LINATAKIWA LIBANDIKWE NJE YA HQ ZA TANESCO ILI LIWAPE CHANGAMOTO YA KUFANYA KAZI KILA ASUBUHI WAINGIPO OFISINI.
ReplyDeleteumeniacha hoi na style ya tochi ubunifu mzuri it's something they should bear in mind.
ReplyDeleteAhsanteni sana All for the Comments. ingawa hiyo comment ya kwanza hapo juu sikumelewa.
ReplyDeleteHii kali nimeipenda nafikiri kitachofuata ushindi ni kwa wenye torch zenye busta
ReplyDeleteMFK ACHA UTUNDU!
ReplyDeleteThis isn'n funny dudes,4 Gods sake this is our country,no matter what we hv 2 b proud of it n figure out what shud b done 4 the development of our poor nation n not makin funny of it instead..
ReplyDeleteVERY NICE, BUT IS SIGNAL VERY BIG PROBLEM IN TANZANIA.
ReplyDeletenyie wadau mnacheza kweli,
ReplyDeleteMnafikiri TANESCO wana haibu?
TANESCO haina noma wala nongwe?
Tatizo la umeme halijaanza leo,
Kama haibu sasa wana vitukuu na vilembwe.
Miaka hiyoooo,umemeukikatika utaskia``HAAHAAA serikali inapitisha
nyaraka za siri`´,ukiwaka,utaskia ´´HUUOH`´
LAKINI SASA ;kama mchezo,Kitu kina Buma muda wowote ule,mwaaa mwweee,
mwaaa -mwweee,vyombo vimeungua mpaka vimezoea.
MohammedulBaqir - huyo alitoa maoni ya kwanza ni SHOGA, na amempenda sana huyo jamaa wa MFK Creations....kwa hiyo kama wewe ni jamaa wa MFK, basi be careful.
ReplyDeleteLMAO! ur funny. goal keeper itabidi awekewe kibatari kichwani kibanwe na glu coz hataweza kushika tochi, hahahahaha,
ReplyDeletethe 1st comment comes from an "African spoiled child". So, this is how America spoils our children oooooo!
ReplyDeletehuyo jamaa aliyeposti coment ya kwanza vp?
ReplyDeleteHiyo comment ya kwanza hapo juu ni from me Hassan "rembua", I still love you dude!
ReplyDelete