Habari kaka Michu,pole na hongera kwa kazi ya kuhabarisha jamii.
Kaka naomba unitolee taarifa ya kupotelewa ndugu yetu pichani anaitwa Samira.
Amepotea toka saa 7 Mchana wa leo .
Kwa yeyote atakae muona tafadhali
awasiliane nasi kwa namba hizi.
0713123643, 0784284510, 0714908291.
Ahsante.
Mdau Asia
Sent from my BlackBerry® smartphone

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 28 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 25, 2010

    Naomba comments zangu kwa sasa niziweke moyoni nisubiri akishapatikana!

    mdau istanbul

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 25, 2010

    Kapotea toka saa 7 mchana mbona muda mchache meanza kumtafuta. Labda atakuwa kapata bwana huyo!! Kama yupo bongo wala hajapotea huyo.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 25, 2010

    Mdau Asia, naona hapa ombi mbona halijakamilika? Saa 7 mchana, je mchana wa leo, kapotea au mmepoteana katika pilka-pilka za siku? Au Samira ni mgeni wa hapo ulipo, je uko wapi? Samira ana matatizo yeyote?
    Kumbuka jamii hapa inaombwa kuwa macho ikimuona ndugu yako itoe taarifa, hence unahitaji kutupa details zaidi kidogo...

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 25, 2010

    lakini mbona anaonekana mkubwa huyo binti, atakuwa kapotea kweli au useme tu anahitajika nyumbani, kama hana matatizo ya akili, kutokurudi nyumbani ni maamuzi pia. sijui kwenu.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 26, 2010

    I DON'T KNOW HOW U GUYS SEE THIS TO ME IS PUBLICITY, AM SORRY TO SAY WEE ANONY WA KWANZA ULICHOOGOPA KUKISEMA NSHAKURAHISISHIA KAZI MALIZIA.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 26, 2010

    I think it required 24hrs b4 you report someone is missing......but hopefully u'll get her.
    Mdau Canada

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 26, 2010

    Subiri atarudi saa moja usiku

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 26, 2010

    Michuzi mbona Samira ni mtu mzima. Wakatoe taarifa polisi, mi nilidhani ana miaka 10 hajulikani alipo kama Da'Cherry. Hawa watu wanaleta mchezo sasa, je Asia umejaribu kuuliza Guest zote za Dar hayupo?.

    ReplyDelete
  9. Niko naye getto Kinondoni, msimhangaike kesho atarudi.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 26, 2010

    inawezekana dada anasumbuliwa na ugonjwa wa akili ndo maana katangazwa mapema.Wenzetu wenye disabilities hizi lazima wawe wanajulikana wapi walipo all of the time.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 26, 2010

    du! toto la nguvu macho yanaita. naomba awe salama huko alipo.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 26, 2010

    Nimekumbuka kitendo alichofanyiwa mdogo wangu, kuna watu wanakuwa na dawa wanawachanganya akili na kuwaagiza wachukue vitu ndani, nahis ndiyo yaliyomkuta.. msiwe na wasi atakuwa salama ila mumuombee asikutwe na mabaya

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 26, 2010

    Kama alivyosema mdau wa nne, tunaomba details zaidi. Je ni hapa Daressalaam au mji mwingine? Saa 7 ya siku gani? etc. Nyinyi wachangiaji wa 1, 2, na 3 kama hamna mchano au msaada katika suala hili just shut up. Hiki ni kitu serious siyo kufanya kejeli zenu za chuki. Kumbukeni kuwa hata nyinyi siku moja makubwa zaidi ya hili yatawapata...I hope mtakumbuka hizi comments zenu hapa wakati mtakapokuwa mnajuta kuwakejeli watu waliofikwa na majaribu. Asia, I hope samira atapatikana. J. Laswai.

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 26, 2010

    du! toto la nguvu naomba awe salama huko alipo.

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 26, 2010

    halafu wewe ulieweka hili advert unaonekana na wewe akili zako kidogo hazijatulia kama huyo ndugu yako aliepotea sasa kwani ni lazima useme umetumia nini kutuma hilo tangazo et sent by my blackberry acha ushamba wako bwana na kuhusu huyo ndugu yako umeharakisha kuleta tangazo ungesubiri kwanza at least hata siku ipite ndio utoe tangazo au unatake pisi cos kwa michu mnaweka matangazo yenu bule

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 26, 2010

    mtu huwa anaripotiwa kapotea AFTER 24 HRS....hivyo mlipaswa kuanza kumtafuta/kuripoti saa 7 mchana leo[sasa hivi ni saa nane usiku].

    ReplyDelete
  17. yaliyomo yamoJune 26, 2010

    naomba akipatikana nijulishwe.

    ReplyDelete
  18. Heshima Kitu cha bure,,kama hamjui yaliyomsibu msimseme vibaya..kwani mnajua yaliyomkuta mpaka kapotea?????
    Tafakari kama angekuwa ndugu yako...
    Mnajiita wadau wa blogu ya jamii,hivi mnaishi katika jamii gani ya watu..???
    Kueni na ubinadamu,kuna mtu kapenda apotee...
    Badilikeni jamani watanzania.mtakuwa hivi mpaka lini,,nahuyo aneyesema yuko naye guest heshima gani hiyo unayoesha katika jamii...Wallah kama hujui Kitu usiseme chochote...Hatuchekeshi umati tunamtafuta ndugu yetu...Ni hayo tu..
    Ni mimi kaka Yake..
    HESHIMA KITU CHA BURE...

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 26, 2010

    Nimependa wametuonesha kuwa ujumbe ulitumwa na Blackberry phone. Mambo yapo juu. Labda na huyu dada kaenda kutafuta njia zake ya kuipata hiyo simu aweze kuwasiliana na nduguyo kuwa yupo salama wa afya.

    ReplyDelete
  20. AnonymousJune 26, 2010

    Ankal, vipi tena?!

    ReplyDelete
  21. AnonymousJune 26, 2010

    Huyu Samira kipindi fulani alikuwa anaigiza Channel 10?

    Ila kutangaza kama mtu kapotea ni mpaka saa 24 zipite.

    ReplyDelete
  22. AnonymousJune 26, 2010

    Huyu jamaa aliye eweka hipost kweli upo smart ndomana anatumia smartphone. salamu kwa aliyekuwa naye huyo dada!!

    ReplyDelete
  23. AnonymousJune 26, 2010

    MBONA HUYU SI MTU WA KUPOTEA!! ALIVYO KODOA MACHO YAKE TU ANAONEKANA MJANJA SI WAKUPOTEA JIJINI. HITAKUWA NI MCHEZO WAKE WA KWENDA KULALA KWA BUZI ANATOROKA USIKU SASA LEO KACHELEWA KURUDI ADI KUME PAMBAZUKA AONEKANI KWAO !!

    ReplyDelete
  24. AnonymousJune 26, 2010

    Da Asia kweli tangazo halijakamilika hivyo ungetoa maelezo zaidi. Naamini labda kwakuwa umeshikwa na fadhaa hivyo hukuandika vyema basi tunaomba utupe maelezo kamili.

    Kwa nyie wachangiaji, hivi upendo unaenda wapi? Je ni ngumu kukaa kimya au kuomba maelezo zaidi? Eti katumia blackberry wewe ndio umenishangaza zaidi kwani kama mtu akitumia blackberry inaandika mojakwamoja (automatically) na si kwamba asia ameandika hivyo. Kweli mtu ambaye kachanganyikiwa na kupotea kwa ndugu yake atakumbuka kujisifu kutumia blackberry? Kwani blackberry ni nini? Itamsaidia? Hapana, tuweni na huruma na mapendo. Ukiona ni jazba sana basi kaa kimya yeye akiona hakuna koment basi atarekebisha lakini kila akifungua kupata chochote anakutana na tusi, akifungua tusi, ataendelea? Michuzi chujeni jamani vitu vinavyoandikwa humu vinachochea tabia mbaya.
    Mdau

    ReplyDelete
  25. AnonymousJune 26, 2010

    mdau uliye tuma tangazo umekosea kwani tangazo halijakamilika kwa vitu vingi tuu!La pili huyu aliyejiita kakaake ndo mwenda wazimu kabisaa maana baada ya kutoa information kamili za kupotea kwa mdogo mmtu yeye anabishana.Na mwisho mbona huyo msichana anaonekana mkubwa?au anamatatizoo?

    ReplyDelete
  26. AnonymousJune 26, 2010

    Jamani msisumbuke kumtafuta nimemkuta kinondoni kwenye nyumba ya jamaa akikuna nazi naona alikuwa anaandaa maakuli

    ReplyDelete
  27. AnonymousJune 27, 2010

    Mi naona ASIA ndiyo aliyepotea.comment sent by iphone

    ReplyDelete
  28. AnonymousJune 27, 2010

    Kwa wanao comment nonsense inaonyesha kabisa level yako ya elimu uliyofikia.. Mnamsema dada wa watu kama vile mnamjua, dunia imekua mbaya pple should not take things for granted.kama ndugu yao kapotea lazima wapate wasiwasi na kumtafuta. Ingiwa mtu mzima ki sheria anahesabika kutafutwa kama hajaonekana for 24hours. na si kawaida yake....
    Anyways mi naomba apatikane salama. Na kwa walio-comment upuuzi..mjifunze na kujirekebisha! huo si uanadamu hata kidogo. and about Asia kutuma na smartphone yake inategemea, maybe ameandika au ni settings za hiyo simu. you never know..kuweni wabinadamu kidogo angalau mtu akiwa na shida.
    Ahsante.
    Mdau kutoka,
    USA-Wichita Kansas..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...