Davies Mosha akiongea na Globu ya Jamii baada ya kuibuka mgombea pekee ambaye hajawekewa pingamizi kushiriki uchaguzi mkuu wa Yanga. Wagombea wote wengine wamewekea pingamizi na Davies Mosha ametangaza kufanya makubwa sana akichagukiwa kuwa makamu mwenyekiti wa klabu hiyo ya mtaa wa Twiga na Jangwani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 27, 2010

    davie mosha ni nani huyu?

    ReplyDelete
  2. Shy-Rose BhanjiJune 27, 2010

    hongera sana kaka..nakuaminia..

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 28, 2010

    Kweli tuna safari ndefu kwenye Soccer....tangu lini Wachagga wakajua soccer kiasi cha kupewa uenyeviti?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...