Davies Mosha akiongea na Globu ya Jamii baada ya kuibuka mgombea pekee ambaye hajawekewa pingamizi kushiriki uchaguzi mkuu wa Yanga. Wagombea wote wengine wamewekea pingamizi na Davies Mosha ametangaza kufanya makubwa sana akichagukiwa kuwa makamu mwenyekiti wa klabu hiyo ya mtaa wa Twiga na Jangwani
Home
Unlabelled
umakamu mwenyekiti yanga wamnukia davies mosha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


davie mosha ni nani huyu?
ReplyDeletehongera sana kaka..nakuaminia..
ReplyDeleteKweli tuna safari ndefu kwenye Soccer....tangu lini Wachagga wakajua soccer kiasi cha kupewa uenyeviti?
ReplyDelete