TUNAWATANGAZIA WANA CCM NA WAPENZI WA CCM WANAOISHI FINLAND KUWA KUTAKUWA NA MKUTANO MKUU WA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA TAWI LA CCM HELSINKI FINLAND.

TAREHE: ijumaa 25.06.2010
MUDA: JIONI SAA 18:00-20:00
UKUMBI: ADDRESS; SNELLMANINKATU
10 HELSINKI CITY CENTRE;
NEAR THE WHITE BIG CHURCH.
AJENDA:
1. UCHAGUZI WA VIONGOZI:
- MWENYEKITI WA TAWI
- MAKAMU MWENYEKITI WA TAWI
- KATIBU WA TAWI
- MWEKAHAZINA WA TAWI
- WAJUMBE WA HALMASHAURI YA TAWI
- WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI
2. UZINDUZI WA MDA WA TAWI:
WASILIANA NA WANAKAMATI WAAMASISHAJI WA MUDA WAFUATAO;
1) Ndugu Erick Makundi…..(+358) 44-9940298
2) Ndugu Henry Shoma …..(+358) 46-6658261
3) Ndugu Edwin Gwagilo …..(+358) 46-6429330
4) Ndugu Hassan Omary…..(+358) 46-6468689
5) Ndugu Aliko Mwakanjuki ….(+358) 46-6807474
6) Ndugu John Mwazembe….. (+358) 44-3392461
7) Ndugu Paul Gwagilo …..(+358) 44-2791214
8) Ndugu Devon Donald…..(+358) 44-3217996
9) Ndugu William Silver Kirita. (+358) 0404197574
10) Ndugu Enock Nkonoki (+358) 0468494585

Kwa maelezo zaidi wasiliana moja kwa moja na mratibu wa maandalizi
Ndugu Aliko Mwakanjuki…email; mwakanjuki@yahoo.com

MOTTO: MAENDELEO YA NCHI YANALETWA NA WANANCHI WENYEWE.
TIME TO PLAY BLAME GAME IS OVER, LET US GET INVOLVED

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 36 mpaka sasa

  1. ZeroBrainJune 18, 2010

    We Michuzi we si ndio unajifanyaga mashuhuri sana kwa Breking Nyuzzzzzz?

    Mbona hutupi sisi wabeba box huku ugaibuni mambo ya Kinyang'anyiro cha mbio za URAHISI huko ZANZIBAR?

    Eti nasikia watu wapatao kama 10 hivi wametangaza nia ya kugombea urahisi wa huko?

    Hebu tumegee kidogo basi?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 18, 2010

    Hivi ninyi watu mnafikiri nini lakini vichwani mwenu? Mmekwenda nchi za watu kuendesha siasa au kusoma/kuboresha maisha yenu? CCM ndani ya foreign nation ita operate vipi? Acheni mawazo potofu ninyi. Ngoja wenye nchi wasikie mnaendesha chama cha siasa nchini mwao. Kitu mnachokifanya ni sawa kabisa na Republican party au Democratic party vya hapa U.S. vifungue tawi Dar. Kitu ambacho hakina maana. Badala ya kutumia muda vizuri kujiendeleza kielimu na master's au Phd. mnajihusisha na siasa. Acheni hayo mambo. Kama mnaipenda sana CCM, rudini Tanzania mkagombee ubunge, au ukatibu tarafa au ujumbe wa nyumba 10. This is the most stupid concept I have seen Tanzanians, not only in Finland, also in some other foreign countries. Hivi mkifeli masomo na kupata "F", utamwambia sponsor wako au mwalimu wako eti, "Nilikuwa kwenye ofisi ya chama". Think twice guys.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 18, 2010

    Mi naomba kuuliza,ni faida gani ya haya matawi ya ccm ughaibuni?ni kutuunganisha watanzania au kututenganisha hasa tusiokua ccm?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 18, 2010

    Kwanza kabisa uyo mratibu ndo hastaili, yeye mwenyewe tu teali kwanza ni kichefuchefu. Alikochatungi au nani uyo mlietuletea. Na ii ndo CCM IPI II. Ata hamu ya kuja uko hatuna. Bora mngetuficha kabisaaa kuusu uyu mratibu labda ndo tungefikiria kuja. Kwa misingi ipi na kwa mfano upi aliouonyesha kuweza kuyamudu maisha yake yeye mwenyewe kama mtoto wa kiume ili awe kiongozi, kwanza geto hana, tunasikia anapewa ajust tu. Kwanza nyinyi mnae dilinae na hivyo vikao mnajua ata anakaa wapi huyo. Ndo mna mwita mratibu.?? Aisee misijakuli nasitoweza kukubali mpakanione amebadilika.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 18, 2010

    Sasa kama mzee tu hakupewa wizara yoyote, kijana wake eti, ameanza na uratibu. nyi mnategemea nini jamani mtakao kusanyika uko. Mi naona ni upotezaji wa muda tu.Anajua kufua soxy uyo!!!Mi naona ii abari bora tuiachieni apa bongo uku uku, twelve pac zimewazidi nguvu nini. Ivi vyama vyetu mviache uku jamani maana dU!! ii ABUNUASI KWELI. KAKA MICHUZI WASAIDIE AWA, NAONA WAMELEWA MA KOSKENKORVA YAO NA AKILI ZIMEGANDA NA BARIDI. SI TULIKIMBIA UKO. POLENI JAMANI.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 18, 2010

    Matawi ya ughaibuni hayo kuna siku mtaitwa magaidi, oo hooo!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 18, 2010

    Naona vijana wameona makaratasi hayana mpango, sasa hivi dili lipo huko kwenye CCM, bomba tu maisha kokote.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 18, 2010

    Duh! babake list yote ya wababaishaji, yaani hapo hakuna hata mmoja mwenye maisha,anyway, jaribuni tu mnaweza kufanikiwa kimaisha huko, kwani maisha si kokote!

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 18, 2010

    List hii ya wajumbe haina tofauti na shina la wakereketwa hapo uswahilini Manzese.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 18, 2010

    Na nyinyi Finland mmeanza mambo hayo itakuwa wabongo waliokuwa na shule ndogo na hawana shughuli ya maana ya kufanya wanaishi kwa social benefits (Kela).Na wanalelewa na majimama ya Kifinish.au kama wameenda shule, elimu haijawasaidia kuchanganuo mambo.Lazima makundi hayo mawili yanafungua matawi ya CCM Finland.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 18, 2010

    hongera sana bwana Aliko mwakanjuki pamoja na wenzetu kwa kutambua kuwa maendeleo ya nchi yanaletwa na wananchi wenyewe. achana na hao waosha vinywa maana hawajui watendaro.

    mdau USA CCM

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 18, 2010

    Mimi mdau kutoka SWEDEN

    Kwanza nawapongeza sana vijana wa KiTanzania kwa kutumia democrasia yetu kuchagua chama cha mapinduzi,

    Ni kweli sisi tulio ughaibuni tumezoea sana kulaumu yaani to play blame game, lakini huu ni wakati wa kujishughulisha na mambo ya maendeleo ya nchi yetu

    Tuko pamoja na sisi Sweden tutafungua tawi

    KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI

    Mdau sweden

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 18, 2010

    Wewe mdau hapo juu ni muongo, mnafiki na mdhandiki mwenye roho mbaya na majungu. Kwa taarifa yako, Mratibu wetu ni msomi amemaliza masters yake mwezi huu wa sita na wote walio kwenye list wanaelimu zao, wote wana degree na wengine wana masters, kwahiyo wewe muongo mzushi na mnafiki.

    Haturudi nyuma
    KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI

    Mdau Finland

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 18, 2010

    KWA NINI MSIRUDI BONGO KUFANYA HIZO SIASA.KAMA MMEAMMUA KUKAA INCHI ZA WATU KWA NINI MSIPENDE VYA NCHI ZAO BADO MNATAKA KULETA MAMBO YA SIASA ZA TZ NCHI ZA WATU>THIS IS CRAP.PERIOD!

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 19, 2010

    Chuo cha Helsinki University kina habari kwamba ukumbi wao utatumiwa kwa shughuli hii? Nadhani wangedokezwa.

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 19, 2010

    CCM oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
    kidumu chama cha mapinduziiiiiiiiiii
    kidumuuuuuuuuuuu
    kidumu zaidi

    kikwete safiiiiiiiiiii???+
    safiiiiiiiiiiiii

    CCM Helsinki je????????????
    safiiiiiiiiiiiiiiii
    hongereni makada wenzangu wa Finland

    Mdau China

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 19, 2010

    wewe annoy 06.00pm wa pili kutoka juu, na wewe uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana. Pole sana wazungu wanaseneno zuri-wewe ni naive person, you are clueless about 21st century, by the way, which planet do you live in?? Do you live in fantacy world?? In real world there are very few idiots like you. Let me give you some tips, We are in 21st century, the century of IT, where CCM helsinki gonna have a cyber office in Helsinki by can be monitored even by my village chairman in kigoma rural as longer as he or she has a laptop with USB-Modem. CCM of Kikwete knows this fact, to survive in future generation, it needs to expand its party branches to the whole world, infact, the current constitution of CCM recognizes such branches established outside Tanzania.

    I hope now this is not nuclear physics to be difficult to understand, it is now digestible even by a person whose IQ is as low as yours. If you don't get it, to hell.

    Mdau South Korea

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 19, 2010

    wewe annyo namba tatu, mnafiki, muongo, mfitini na mwenye wivu. Kwa taarifa yako maisha ya ulaya ni ya mkanda mkanda kwa watu wengi tu. Wewe ni mdada mwenye wivu, jana ulikuwa anasema maneno haya haya pale ufini sasa umeyapeleka kwa michuzi. Kuna mtu asiyejua wanawake na wasichana wa TZ ambao mnaishi Finland jinsi msivyopendana, wengine ni malesbians mmejiunga na wanawake wa kenya, wengine picha zenu zimezagaa mtandaoni mnatangaza kutafuta mabwana wa kizungu yaani wafini, wengi mnaishia kuchezewa na wanaumme wa West Africa hasa hasa Nigeria, mbona sisi tuko kimya?? Kwa taarifa yako Mratibu amemaliza masters yake katika university of Arts Cyberius Finland. Hakuna binadamu asiye na mapungufu hata Obama kuna wakati alitumia drugs lakini sasa ni raisi wa taifa kubwa duniani. Mbona usemi wanaumme wengine wa TZ ambao wamekaa hapa ufini miaka kibao lakini hata shule imewashinda, wakati elimu ni bure?????????kazi ni kuchukua majimama ya kifini tu na kufanya kazi za utumwa miaka tenda miaka rudi. sasa wewe mumbeya acha kilimi kilimi chako hicho. shut up,

    mdau Helsinki-muhogo mchungu.

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 19, 2010

    du,kali ya mwaka 2010.

    ReplyDelete
  20. AnonymousJune 19, 2010

    naona kirusi hiki huko majuu kinaenea kwa kasi sana

    ReplyDelete
  21. AnonymousJune 19, 2010

    hongereni wadau, vox populi vox dei, sauti ya wengi sauti ya mungu, nimekubali CCM inapendwa sana mpaka ughaibuni, kweli kura za maoni za REDET, SYNOPTE na nyingine zote zimesema kweli. Mimi nilifikiri ni wakulima tu ndiyo wanaikubali CCM hata wasomi tena wanaoishi nchi zilizoendelea, basi wapinzani wa CCM mnayo kazi kweli kweli, mimi sina chama, nilikuwa CUF zamani. Lakini watanzania nyinyi CCM mnaipendea nini??

    Mdau Mwanza-Tanzania

    ReplyDelete
  22. AnonymousJune 19, 2010

    gheghgeh kwkwikwiw Hongereni wadau wa Finland kwakuonesha mfano hai sasa miluza mbalimbali na mijitu ilioshindwa roho zinawaumaa.
    mdau Arusha

    ReplyDelete
  23. AnonymousJune 19, 2010

    huyu naye ulaya bado hapaja mtoa ushamba wake acha majungu ya kibongo, eti ukumbi wa university of Helsinki, mimi nilifikiri watu wa ulaya hawana mambo ya kiswahili kumbe na wewe ni mswahilina na mfini mkubwa sana. Wewe tatizo lako ni roho mbaya, fitina, majungu, wivu na akili kichwani hakuna kabisaaaaaaaa. wewe unafikiri tatizo ni ukumbi, hilo siyo tatizo nafikiri hao jamaa mimi siwajui ni akina nani , mimi naishi mbali na Helsinki, niko OULU lakini nitakuja kuhudhuria mkutano, lazima nije kushuhudia history in the making, wadau najua tutakuwa wengi nawashauri tafutenin ukumbi mkubwa pale CAISA CULTURAL CENTER nitawapigia simu niwape mtu wa kuwasaidia, we need a big and a free place, siku hiyo tutajadili maswala ya siasa za nchi yetu, kweli nawapongeza Aliko mwakanjuki pamoja na wanawakamati hongera sana.

    Mdau OULU

    ReplyDelete
  24. AnonymousJune 19, 2010

    Just when I thought haya mambo hatuna Finland.....

    ReplyDelete
  25. AnonymousJune 19, 2010

    Hivi hakuna wanawake Finland ama u guys are so intimidated by their strength?? Ni swali tu

    ReplyDelete
  26. AnonymousJune 19, 2010

    Naona MAFISADI WENGI WANAZALIWA HAPA ughaibuni.. ACHENI MAMABO YA siasa Ulaya bwana au hiyo Mijimama imewashinda..
    Nahisi HAYA majina ya KUCHONGA TU WAHUSIKA WENYEWE wamekaa pembeni.Sasa hizi siasa mnazoendesha nchi za ughaibuni zinafaida gani kweni kama sio na nyie kuanza tabia za wazee wenu mafisadi wa CCM, KAMA NI POLITICS RUDINI BONGO.. Kwa nini tusiwe na chama cha kusaidiana watanzania hapa HELSINKI,mbona kuna vijana tu wengi wanakuja hapa mjini mwisho wanakataa tamaa wanaondoka, kingekuwepo chama si kingewasaidia kuliko kutuanzishia huu upuuziiiii..
    Au nyie waanzilishi mliojificha hamjui kilichowaleta hapa mjini?

    ReplyDelete
  27. AnonymousJune 19, 2010

    Guys you better get real jobs or at least do your schools there or else put your green shirts on, take one way ticket back home and do complete politics. Politics won’t take you anywhere especially when you are far from the spot and it gives the impression that there’s already big gap on the whole initiative. The whole picture of how things will set off is starting to reveal when y'all arguing with some critics and confusing us who is the real loser in this prospect. Can you really handle what you are starting if only some few critics can shake your pants off? Remember its politics you guys are jumping into and there are opposition parties as well as free opinions from individuals so get ready for challenge.
    By the way hamna mpya kapigeni box tu siasa za long distance wizi mtupu.

    ReplyDelete
  28. AnonymousJune 19, 2010

    Duh kweli kazi tunayo...watu wengine nilidhani wajanja kumbe wale wale tu kama wanavijiji wasiojua hata kusoma.Kumbe kukaa ughaibuni bila shule hakumsaidii mtanzania.Mmeshindwa kuwa wamoja bila itikadi ya vyama?
    Mdau Helsinki

    ReplyDelete
  29. AnonymousJune 19, 2010

    Duh kweli kazi tunayo...watu wengine nilidhani wajanja kumbe wale wale tu kama wanavijiji wasiojua hata kusoma.Kumbe kukaa ughaibuni bila shule hakumsaidii mtanzania.Mmeshindwa kuwa wamoja bila itikadi ya vyama?
    Mdau Helsinki

    ReplyDelete
  30. AnonymousJune 19, 2010

    What is seen as a big problem with my fellow countrymen is getting involved on everything that comes around us.Why do one care if you are not a member or do not have interest in becoming one?Why not keep on your own stuff and start mind about who did what and when?
    Please be or try to be like grown ups and let them do their own and stop writing unwanted things in a public arena.

    ReplyDelete
  31. AnonymousJune 19, 2010

    Wewe wa South Korea ni sawa tu na hao wa Finland. Pamoja na internet, hiyo concept haina maana kabisa. Ni nini mnachojaribu ku accomplish kwa kuwa na branches za CCM overseas? You are just as stupid as them. You left your country to go overseas to study and better your life. Why involve yourself in politics? Stupid people oppening CCM branches overseas. Kama unaipenda CCM, rudi Tanzania. Dumb ass negros!

    ReplyDelete
  32. AnonymousJune 19, 2010

    Haya ninyi mnayoipenda CCM. Hamjui jinsi ya kufanya mambo accross party lines. Mambo ya kishenzi hayo.

    By Felister Peter
    19th June 2010EmailPrintComments
    Lands, Housing and Human Settlement Development shadow minister John Cheyo.
    Speaker of the National Assembly Samwel Sitta yesterday said that Leader of the Opposition camp in Parliament Hamad Rashid Mohamed was right to kick out Lands, Housing and Human Settlement Development shadow minister John Cheyo citing disciplinary action as the cause.

    He told the House that, Cheyo, who is the Bariadi East legislator on UDP ticket, violated the basic parliamentary practice by concurring with ruling party MPs in passing the 2010/2011 budget while the opposition camp had earlier agreed not to do so.

    The Speaker said that according to Parliamentary Standing Orders Section 15 (1), Hamad had all the authoritative powers to strip off powers any member of the opposition camp in the House who acts contrary to the regulations governing the conduct of the camp.

    He said the Parliamentary Standing Orders Section 15 (2) also gives the opposition leader the mandate to set up rules and regulations other than those provided by the Parliamentary Standing Orders, all to govern the opposition camp’s conduct.

    “Cheyo deserved to be punished for his non disciplinary act. Likewise, if it had happened that an MP from Chama Cha Mapinduzi had rejected the budget, the same measures would have been taken,” said Sitta.

    Sitta said that after receiving complaints from Cheyo, he decided to seek advice from different people, including Dr Wilbroad Slaa, (Chadema, Karatu).

    He said that to satisfy themselves on the issue, they also went through three parliamentary books by UK authors and proved that Cheyo violated the rules and regulations governing the opposition camp’s conduct.

    He said that after consultations with the opposition leader, it was proved that Cheyo took part in the opposition parties’ meeting to discuss strategies to reject the budget.

    “I had a clear proof that Cheyo took part in that meeting. According to Hamad, Cheyo was also involved in mobilising fellows to attend the meeting in which together they agreed not to endorse the 2010/2011 budget,” said Sitta.

    Cheyo was sacked on June 14, a few days after he decided to identified himself with MPs of the ruling CCM, contrary to the agreement reached earlier by opposition MPs.

    Addressing a press conference later, Hamad said the opposition camp arrived at the decision to relieve the MP of his duties after the legislator had errored twice when it comes to deciding on camp matters in the House.

    Last year, Cheyo also came on the backing of the ruling party MPs when he supported the budget though he later apologised for the stand.

    “We resolved that John Cheyo should be held responsible for his action, by removing him from office. We have therefore decided to relieve him of his duties as shadow minister after he failed to give an appropriate response,” said Hamad Rashid.

    He said the Ziwani MP, Ali Said Salim (CUF) who was Cheyo’s deputy shadow minister would take up the portfolio.

    Hamad explained that according to the Commonwealth parliamentary rules, party caucuses always come up with one voice.

    He added that even the ruling party has always spoken with one voice on issues pertaining to the government budget.

    Taking to defence, Cheyo said he had in the ongoing Parliament requested the government to build bridges in his constituency, and hence that was the cause for the support.

    ReplyDelete
  33. AnonymousJune 19, 2010

    wewe annoy 05:07 kwa kukusaidia ebu soma katiba ya chama cha mapinduzi kwenye web site ya CCM http://www.cms.ccmtz.org/index.php?setLang=3
    CCM waliweka kwenye katiba ya chama kipengele kinacho toa haki kwa wanachama na wapenzi nje ya nchi kuwa na matawi.

    Kuhusu chama cha kusidiana anzisha wewe acha kelele, unataka nani akuanzishie, be part of the change you want to see.

    Kuhusu majina kuchongwa, wewe roho mbaya yako inakusumbua, fitina na majungu.

    watanzania kurudi home hiyo ni lazima maisha ya ulaya ni kama JKT au jihanamu, wamechoka kubeba box wala hicho chama hakiwezi saidia cho chote,

    CCM ina matawi-China, London, USA karibia wanafungua, Russia, Moscow na sehemu kibao, hivyo Helsinki Finland sio news. Ni jambo la kidemocrasia

    mdau

    ReplyDelete
  34. AnonymousJune 19, 2010

    wadada jitokezeni jamani, wakina mama jitokezeni jamani, mambo ya usawa wa kijinsia, mimi mdada nitajitokeza nataka kuwa mwenyekiti najua wanaumme mtamind lakini pouwa

    mdau

    ReplyDelete
  35. AnonymousJune 19, 2010

    TANZANIANS THEY DO INVEST IN POLITICS THATS THE REASON WHY THESE DUDES ARE UP TO THIS CRAP,THEIR DADS ARE IN CCM PARTY THATS WHERE THEY EARN THEIR DAILY BREADS PREACHING POLITICS AND THESE DUDES ARE CLUELESS OF ANY OTHER MEANS OF MAKING A LIVING OTHER THAN DOING POLITICS AND THESE GUYS ARE PAVING A WAY TOWARDS POLITICAL CAREERS IN CCM,SMART MOVE GUYS,BUT IF YOU GUYS WERE TO REGROUP TO CREATE AND INVERT WAYS THAT WILL ELIVIATE POVERTY IN OUR SOCIETY WOULD HAVE BEEN A VERY GOOD THING BUT TRYING TO FORGE A PATH INTO POLITICS IS ANOTHER SAD AND NAIVE OUTCOME OF YOUR ACADEMIC TRAINING YOU HAVE RECEIVED FROM TAX PAYERS MONEY AS YOU ARE PREPARING TO GO BACK TO TZ TO PRACTICE CORRUPTION THE SAME IS DONE BY THE REST OF POLITICIANS.SHAME ON YOU

    ReplyDelete
  36. AnonymousJune 19, 2010

    Kusoma sio kuelimika....na huyo anayesema amepata master juzi tu basi anajambo huyo ....ilikujae siku zote awe kimya leo kaona anamaster basi anataka kujifanya kiongozi ili akirudi bongoa kapewe uongozi na wajomba zake. Nyie huko bongo aamkeni chagueni viongozi mliosota nao sio hao watoto wamafisadi wanenda nje kusimeshwa na hela zenu halafu warudi huko na kula za kwenu kiulani...


    AAAA MMMM KKKK EEE NNN IIII !!!!!!!


    CCM HUKU CCM KULE kama wanapenda nchi wangerudi Tanzania....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...