Ankal,
Kuna habari hii imechapishwa kwenye gazeti la Sunday Times la Uingereza siku ya jana Jumapili ambayo unaweza ukawapeperushia wadau wa blogu ya jamii.

Kwenye hiyo habari inadaiwa Kamishna wa IWC wa Tanzania alisema kuwa mawaziri na maafisa waandamizi wa uvuvi wa serikali walipatiwa "warembo" wakati wa ziara nchini Japani zilizokuwa zimegharamiwa kila kitu.

Kwa kweli hizi ni tuhuma nzito sana kama ni kweli.

Habari yenyewe inapatikana kwenye kiunganishi hiki:

http://www.timesonline.co.uk/tol/news/environment/article7149091.ece

Nimeibandika hapo chini kwa ukamilifu.

Mdau Tokyo.

~~~~~~~~~~~~~~~~~~~

From The Sunday Times June 13, 2010

Revealed: Japan’s bribes on whaling

A SUNDAY TIMES investigation has exposed Japan for bribing small nations with cash and prostitutes to gain their support for the mass slaughter of whales.

The undercover investigation found officials from six countries were willing to consider selling their votes on the International Whaling Commission (IWC).

The revelations come as Japan seeks to break the 24-year moratorium on commercial whaling. An IWC meeting that will decide the fate of thousands of whales, including endangered species, begins this month in Morocco.

Japan denies buying the votes of IWC members. However, The Sunday Times filmed officials from pro-whaling governments admitting:

- They voted with the whalers because of the large amounts of aid from Japan. One said he was not sure if his country had any whales in its territorial waters. Others are landlocked.

— They receive cash payments in envelopes at IWC meetings from Japanese officials who pay their travel and hotel bills.

- One disclosed that call girls were offered when fisheries ministers and civil servants visited Japan for meetings.

Barry Gardiner, an MP and former Labour biodiversity minister, said the investigation revealed “disgraceful, shady practice”, which is “effectively buying votes”.

The reporters, posing as representatives of a billionaire conservationist, approached officials from pro-whaling countries and offered them an aid package to change their vote.

The governments of St Kitts and Nevis, the Marshall Islands, Kiribati, Grenada, Republic of Guinea and Ivory Coast all entered negotiations to sell their votes in return for aid.

The top fisheries official for Guinea said Japan usually gave his minister a “minimum” of $1,000 a day spending money in cash during IWC and other fisheries meetings.

He said three Japanese organisations were used to channel the payments to his country: the fisheries agency, the aid agency and the Overseas Fisheries Co-operation Foundation.

Japan has recruited some of the world’s smallest countries on to the IWC to bolster its support. A senior fisheries official for the Marshall Islands said: “We support Japan because of what they give us.”

A Kiribati fisheries official said his country’s vote was determined by the “benefit” it received in aid. He, too, said Japan gave delegates expenses and spending money.

The IWC commissioner for Tanzania said “good girls” were made available at the hotels for ministers and senior fisheries civil servants during all-expenses paid trips to Japan.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 14, 2010

    Sijui kama tuhuma zina foundation yeyote, lakini ni siri inayojulikana wazi kuwa Japan wanasifika kwa kutumia mabinti warembo kama chambo kwa delegates za mbali mbali hasa ikiwa wanataka jambo lao lifanikiwe. Pia baadhi ya wakati hutumia mtego huo kuwa kama bribe. Kwa hivyo sitoshangaa hilo kutokea.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 14, 2010

    ni wapi kwenye habari panaposema Kwenye hiyo habari inadaiwa Kamishna wa IWC wa Tanzania alisema kuwa mawaziri na maafisa waandamizi wa uvuvi wa serikali walipatiwa "warembo" wakati wa ziara nchini Japani zilizokuwa zimegharamiwa kila kitu kama ulivyosema?

    habari inasema The IWC commissioner for Tanzania said “good girls” were made available at the hotels for ministers and senior fisheries civil servants during all-expenses paid trips to Japan.

    clue ni were made available

    Hakusema kama wamechukuwa hiyo offer kwa hivyo sioni kosa hapo, labda kosa ambalo sio lao ni la serikali kukubali japan kuwalipia gharama za usafiri na malazi.

    ReplyDelete
  3. Mume Wangu, Mikanjuni TangaJune 14, 2010

    Piga, Ua, Garagaza lakini Waziri wetu Dk.Magufuli hawezi kuingia kwenye vijimichezo hivyo vya kitoto. Ingekua tumewakilishwa na Mzee wa VIJISENTI hapo nisingesema lolote, lakini huyu ( Rais mtarajiwa huko siku za mbele) namuaminia.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 14, 2010

    Ndio viongozi wetu hao...

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 14, 2010

    Hapa ndio unaona tofauti ya viongozi wa Tanzania na wale wa nchi nyingine.
    Hao viongozi wa nchi nyingine wanakiri kwamba wamejitahidi kupata misaada kwa ajili ya mataifa yao ili waipatie kura Japani, waheshimiwa wetu wa Tanzania bila aibu wanakiri kwamba wamerubuniwa kwa ngono. Kwa ufupi Tanzania kama taifa halikufaidika kabisa isipokuwa hawa ndugu zetu waheshimiwa waliofanikiwa kujistarehesha! Hii ni aibu kubwa!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 14, 2010

    umetumwa kama kuna mtu kwenye huo msafara alifany amdudu mtaje sio kujumlisha msafara wote ukizingatia kuna waziri wetu mcdhapakazi magufuli au ndio mmeanza kumchafulia jina baada ya kumtafuta kwa muda mrefu????

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 14, 2010

    Mimi sioni taabu, kwani huu ni utamaduni wa Kijapani kuwakarimu wageni kwa 'geisha' maana wanaamini pia nchi za kiafrika jambo hilo ni kawaida kiutamaduni wazee wakiwa nje ya vituo vya kazi lazima 'waende majengo kwenye dogo-dogo nyingi'

    Mdau
    Nagoya, Japan.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 14, 2010

    Kwanza hata hicho cheo cha IWC Commissioner hakipo! Hawa jamaa wanataka kupaka nchi za dunia yetu matope tu. Nasi twalamba hadithi zao bila hata kuwahoji eti tu kwa sababu imeandikwa na Times of London. What a shame?

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 14, 2010

    Hii Habari pia ilionyeshwa kwenye sky news jana usiku, na wana video ya huyo jamaa wa Tanzania akitoboa siri ya viongozi.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 14, 2010

    google Geofrey Nanuaro, upate habari zaidi. Hii sio siri habari ipo mtandaoni. hata sky news

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 14, 2010

    So what?

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 14, 2010

    So what??? poor minded people...watu wanapewa wanawake kuuza nchi nyi mnasema so waht...I feel for my country.... Hizi nchi zetu

    kwanza niaaibu kubwa kwa hayo mataifa yaliyouza kura zao kabla hata hatujaingilia mambo ya prostitution

    Watu wanafamiliza zao bado wanaenda na call girls uwwwwwwiiiiiiiiii

    Tuwajue walioitiwa call girls wakachukua...mleta habari hebu tafuta tujue waliopewa call girls ingekua hii habari nchi zilixoendelea watu wangekua ni kujiuzulu tuu hapo

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 15, 2010

    Hivi kweli mtu unaweza kuunga mkono kitendo cha mtu kuweka maslahi ta taifa pembeni kwa ajili ya ngono?

    Unaweza kusoma kwa kina hii habari hapa:

    http://www.brisbanetimes.com.au/environment/whale-watch/chairmans-illness-threatens-whaling-deal-20100613-y654.html

    Walichoandika kuhudu Geoffrey Nanyaro kwenye hiyo habari ni:-

    Tanzania's commissioner in London, Geoffrey Nanyaro, told the reporters he feared his country might lose development aid if it voted against the Japanese.

    "He said that Japan 'secretively' paid tickets and hotels for the IWC delegates from different countries," The Sunday Times said. "They were also, he claimed, taken on all-expenses-paid visits to Japan where 'good girls' would be available."

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 15, 2010

    Tuache kubishana na semantics hapa! Nanyoro anakiri kwamba vijana wake wamerubuniwa kwa kupewa rushwa ya ngono.

    Someni hapa:

    http://www.theaustralian.com.au/news/features/slay-the-whales-and-pass-the-loot/story-e6frg6z6-1225879186724

    There is little question that Tanzania would change its loyalty to Japan. Over dinner in Barcelona, its IWC commissioner Geoffrey Nanyaro explains that five of the seven key people in his department speak Japanese because they were educated there. He says Japan paid officials pound stg. 22,000 a year in tuition fees and living costs. Japan has given pound stg. 80m in aid in the past two years, he says.

    Nanyaro says aid to Tanzania is not linked to the whaling vote, but he fears the country might lose the funding if it voted against the Japanese. Reporter: What do the Japanese do for them [the other African countries] that keeps them in their pockets?

    Nanyaro: It is aid.

    He says Japan "secretly" pays for tickets and hotels for the IWC delegates from different countries. They are all-expenses-paid visits to Japan where "good girls" are available.

    Reporter: So you think the other countries' representatives are set up with prostitutes from Japan?

    Nanyaro: Yes, you know, yeah ... It starts by saying: do you want massaging? ... It's going to be free massaging. Are you not lonely? You don't want any comfort?

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 15, 2010

    but i cant see where the IWT tz has been bribed,but well beauties are everywhere you go whether japan, uk, brazil etc they themselves targets visitors as their business so the msg has no clue!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...