Home
Unlabelled
alex kajumulo na bush sound band
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
nilipokuwa mdogo mama alikuwaakiniambia kua mwanangu ujionee...SII MCHEZO DUNIA FULL USANII.....
ReplyDeletemdau USA
hizo bange kwanza kaiba beats pili anachoimba anajua mwenyewe! it is good to dream but not that big! fujo tupu! mwisho hajui kuimba kabisaaa!
ReplyDeleteAnkal huyu jamaa umemtoa wapi hana kipaji kabisa ni anajikoroga tu hakuna lolote la maana analoliimba na wala hiyo lugha sio kiswahili na wala sio kabila mojawapo la Tz. Nimeangalia hii ni video yake ya pili naona ni utumbo mtupu kazi kuharibu nyimbo za watu! Kila kitu yeye ni Yes! Next time usimweke kwenye blog ya jamii kwani hii ni aibu tupu!
ReplyDeleteWhere should i start....mhhhh...
ReplyDelete1. Stolen lyrics/piracy
2. Can't sing in tune
3. Very LIMITED vocal skills
4. e.t.c
He should stick to the athletic equipment business....
tafadhali michuzi hebu naoimba unirudishie dakika 8 za maisha yangu ulizonipotezea kutuzima huo usanii!
ReplyDeleteMmh! kweli duniani kuna vituko, sasa huyu Kajumulo hii fani mbona kama vile kadandia treni kwa mbele, sitashangaa kusikia kuwa wahudhuriaji wa hiyo shoo walidai viingilio vyao. Lakini huyu jamaa mjasiriamali kweli, nimejifunza kitu, ukiwa na ujasiri unaweza hata ukafanya pumba lakini watu wakakuamini kama mwenyewe unajiaini na unachofanya.
ReplyDeleteMust be the weed! Duuh nimecheka hadi nimetaka kufa.
ReplyDeletePEOPLE!!!! WAKINA BOB MARLEY, PETER TOSH, SIZZLA, SISTER CAROL, IAFRICA, ANTHONY B, RICHIE SPICE, MORGAN FAMILY, BURNING SPEAR,DON CAROLS MARLEY FAMILY (ZIGGY, STEVEN, KIMANI, JUNIOR GONG, JULIAN, MAMA LAO RITA MARLEY.... JAMANI NAFASI HAITOSHI, NINGEWATAJIA WENGI MNOOO WANAOLIPULIZA NA KUENEZA MESSAGE KWA WANYWA POMBE, NA WABISHI WA FIKRA MBOVU! TAFUTENI CLIPS ZAO YOU TUBE MUONE KAZI,WOTE BANGE NA MOTO! ACHENI PUMBA HIZO, AMKENI.
ReplyDeleteduhh leo nimecheka sana...
ReplyDeleteDakika mzima ya kwanza
afu "Kroooooooooo"
Niliona hii kitu pale kwa Michuzi Jr, nikataka kukomenti ila nikasita kwa kudhani nitakuwa nauangusha utaifa na pengine I am to limited in knowledge of Tanzania languages. Ila tumsaidie kuona aibu as now tumeona uwongo wake, ila alieiyuutyubu hii video ni nani? PEngine kati ya audiance wake wajua kiswaking
ReplyDeleteUkisikia mtu anaitwa Kamanda, ndio kama hivi. Yaani hata kama hawataki watataka tu.
ReplyDeleteBig Up Kamanda Kaujua-mlo. Tunakumiss sana mitaa ya TCC Chang'ombe.
Hongera Babu Kaju, maana usiku huo ulifanya makubwa kuhamasisha michango kusaodi waliokumbwa na tetemeko la ardhi Haiti.
ReplyDeleteUliwavunja mbavu waliotoa cash na cheque zao kusaidia jamaa zetu Haiti.
Mdau
Port au Prince, Haiti.
NYIE MTACHONGA NA NJAA ZETU LAKINI MJOMBA HAPO NDO KUNAMPA KURA WATUWAZUNGU WANAPENDA WEIRD STUFFS VITU TOFAUTI NA KAWAIDA !! PESA ANAZO PATA NDO HIZO HIZO ANAKUJA KUWASUMBULIA TANZANIA! MJOMBA MJANJA ANAJUA KUTAFUTA ! MBONA KUNA ROCK GROUPS WANAIMBA NONSENSE NA WANAUZA AU KWA SABABU MJOMBA NI MBONGO!!
ReplyDeletenyie mnao mponda huyu jama kwa sababu hamja toka nje ya tanzania na hamjafunguka macho!! mmnacho una kwenu akipo correct kwa wenzenu they dont care as long is different kwa hao wauthiria unazania wanajua kiswahili au nini wao wanaona ngoma ya africa hiyo!! sorry kusema hila kwa wazungu walivyo kuwa na zarau unaweza anaenda kumtazama nyani akiimba !! no offence
ReplyDeletekama mtu yuko karibu nae ampe ushauri wa kuwachukua vijana wawili wa tatu kutoka bongo waje kumuimbia kwenye bendi yake.
ReplyDeleteWabongo ni kawaida yenu kuponda. Lakini Kajumulo is making more and more from what you think is nonesense. Na Jamani lazima wakati mwingine tuwe na mabadiliko ya akili, kama mtu hakufanya vizuri unapaswa kwanza kuappreciate na kisha shauri. Hamuoni kwenye soka mtu anakosa goli na wenzake wanamtia moyo kwa kumpigia makofi na kumwambia try more. Nyie vipi ndugu zangu, dunia haiko hivyo kwa sasa. Na mimi ni wa HAPAHAPA Tanzania, Maana hamkawii kusema naandika hivi kwa sababu nipo Ulaya. Kajumulo kanyaga twende kamanda.
ReplyDelete