Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. Mississippi&MU#@%$F'''&#K'RJuly 10, 2010

    nilipokuwa mdogo mama alikuwaakiniambia kua mwanangu ujionee...SII MCHEZO DUNIA FULL USANII.....
    mdau USA

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 10, 2010

    hizo bange kwanza kaiba beats pili anachoimba anajua mwenyewe! it is good to dream but not that big! fujo tupu! mwisho hajui kuimba kabisaaa!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 10, 2010

    Ankal huyu jamaa umemtoa wapi hana kipaji kabisa ni anajikoroga tu hakuna lolote la maana analoliimba na wala hiyo lugha sio kiswahili na wala sio kabila mojawapo la Tz. Nimeangalia hii ni video yake ya pili naona ni utumbo mtupu kazi kuharibu nyimbo za watu! Kila kitu yeye ni Yes! Next time usimweke kwenye blog ya jamii kwani hii ni aibu tupu!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 10, 2010

    Where should i start....mhhhh...
    1. Stolen lyrics/piracy
    2. Can't sing in tune
    3. Very LIMITED vocal skills
    4. e.t.c
    He should stick to the athletic equipment business....

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 10, 2010

    tafadhali michuzi hebu naoimba unirudishie dakika 8 za maisha yangu ulizonipotezea kutuzima huo usanii!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 10, 2010

    Mmh! kweli duniani kuna vituko, sasa huyu Kajumulo hii fani mbona kama vile kadandia treni kwa mbele, sitashangaa kusikia kuwa wahudhuriaji wa hiyo shoo walidai viingilio vyao. Lakini huyu jamaa mjasiriamali kweli, nimejifunza kitu, ukiwa na ujasiri unaweza hata ukafanya pumba lakini watu wakakuamini kama mwenyewe unajiaini na unachofanya.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 10, 2010

    Must be the weed! Duuh nimecheka hadi nimetaka kufa.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 10, 2010

    PEOPLE!!!! WAKINA BOB MARLEY, PETER TOSH, SIZZLA, SISTER CAROL, IAFRICA, ANTHONY B, RICHIE SPICE, MORGAN FAMILY, BURNING SPEAR,DON CAROLS MARLEY FAMILY (ZIGGY, STEVEN, KIMANI, JUNIOR GONG, JULIAN, MAMA LAO RITA MARLEY.... JAMANI NAFASI HAITOSHI, NINGEWATAJIA WENGI MNOOO WANAOLIPULIZA NA KUENEZA MESSAGE KWA WANYWA POMBE, NA WABISHI WA FIKRA MBOVU! TAFUTENI CLIPS ZAO YOU TUBE MUONE KAZI,WOTE BANGE NA MOTO! ACHENI PUMBA HIZO, AMKENI.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 10, 2010

    duhh leo nimecheka sana...
    Dakika mzima ya kwanza

    afu "Kroooooooooo"

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 10, 2010

    Niliona hii kitu pale kwa Michuzi Jr, nikataka kukomenti ila nikasita kwa kudhani nitakuwa nauangusha utaifa na pengine I am to limited in knowledge of Tanzania languages. Ila tumsaidie kuona aibu as now tumeona uwongo wake, ila alieiyuutyubu hii video ni nani? PEngine kati ya audiance wake wajua kiswaking

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 10, 2010

    Ukisikia mtu anaitwa Kamanda, ndio kama hivi. Yaani hata kama hawataki watataka tu.

    Big Up Kamanda Kaujua-mlo. Tunakumiss sana mitaa ya TCC Chang'ombe.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 10, 2010

    Hongera Babu Kaju, maana usiku huo ulifanya makubwa kuhamasisha michango kusaodi waliokumbwa na tetemeko la ardhi Haiti.

    Uliwavunja mbavu waliotoa cash na cheque zao kusaidia jamaa zetu Haiti.

    Mdau
    Port au Prince, Haiti.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 10, 2010

    NYIE MTACHONGA NA NJAA ZETU LAKINI MJOMBA HAPO NDO KUNAMPA KURA WATUWAZUNGU WANAPENDA WEIRD STUFFS VITU TOFAUTI NA KAWAIDA !! PESA ANAZO PATA NDO HIZO HIZO ANAKUJA KUWASUMBULIA TANZANIA! MJOMBA MJANJA ANAJUA KUTAFUTA ! MBONA KUNA ROCK GROUPS WANAIMBA NONSENSE NA WANAUZA AU KWA SABABU MJOMBA NI MBONGO!!

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 10, 2010

    nyie mnao mponda huyu jama kwa sababu hamja toka nje ya tanzania na hamjafunguka macho!! mmnacho una kwenu akipo correct kwa wenzenu they dont care as long is different kwa hao wauthiria unazania wanajua kiswahili au nini wao wanaona ngoma ya africa hiyo!! sorry kusema hila kwa wazungu walivyo kuwa na zarau unaweza anaenda kumtazama nyani akiimba !! no offence

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 10, 2010

    kama mtu yuko karibu nae ampe ushauri wa kuwachukua vijana wawili wa tatu kutoka bongo waje kumuimbia kwenye bendi yake.

    ReplyDelete
  16. AnonymousJuly 11, 2010

    Wabongo ni kawaida yenu kuponda. Lakini Kajumulo is making more and more from what you think is nonesense. Na Jamani lazima wakati mwingine tuwe na mabadiliko ya akili, kama mtu hakufanya vizuri unapaswa kwanza kuappreciate na kisha shauri. Hamuoni kwenye soka mtu anakosa goli na wenzake wanamtia moyo kwa kumpigia makofi na kumwambia try more. Nyie vipi ndugu zangu, dunia haiko hivyo kwa sasa. Na mimi ni wa HAPAHAPA Tanzania, Maana hamkawii kusema naandika hivi kwa sababu nipo Ulaya. Kajumulo kanyaga twende kamanda.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...