GWIJI LA MUZIKI ZAHIR ALI ZORRO AKIWAJIBIKA NA MWANAE, BANANA, KWENYE SHINDANO LA MISS TEMEKE 2010 UKUMBI WA TTC CLUB WIKIENDI ILOPITA
Home
Unlabelled
BABA NA MWANA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
GWIJI LA MUZIKI ZAHIR ALI ZORRO AKIWAJIBIKA NA MWANAE, BANANA, KWENYE SHINDANO LA MISS TEMEKE 2010 UKUMBI WA TTC CLUB WIKIENDI ILOPITA
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
om my God.......... wat a bad perfomance wat were they thinking jamani na watu wametoa viingilio vyao????????????????
ReplyDeleteMhhhhhh kazi kweli kweli!!mie sisemi sana ngoja niwaachie waosha vinywa!!!
ReplyDeleteMIMI NA CHANGANYIKIWA NA MACHO YA HUYU MZEE,KWENYE ILE SIKINDE YA WAKUBWA INAKUAJE?
ReplyDeleteKazi kweli kweli, huyu Mzee Zahiri Ally alishindwa walau kufanya rehearsal na mtoto wake Banana! Inakua kama ndo kwanza wamekutana jukwaani ? Huu ni wizi kulipa kuja ona kituko
ReplyDeleteMIC ZA KICHINA HIZO !! WA BONGO KAMA SEREKALI YETU TU NO PROFESSIONALISM
ReplyDeletembona huweki breaking newz za mabomu yaliyotokea kwa wakwe zako bwana au kwa vile wanaodai kuhusika na mabomu hayo ni binamu zako?
ReplyDeleteI said it before and will say it again... diet muhimu... si kwa wanawake tu.
ReplyDelete