GWIJI LA MUZIKI ZAHIR ALI ZORRO AKIWAJIBIKA NA MWANAE, BANANA, KWENYE SHINDANO LA MISS TEMEKE 2010 UKUMBI WA TTC CLUB WIKIENDI ILOPITA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 12, 2010

    om my God.......... wat a bad perfomance wat were they thinking jamani na watu wametoa viingilio vyao????????????????

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 12, 2010

    Mhhhhhh kazi kweli kweli!!mie sisemi sana ngoja niwaachie waosha vinywa!!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 12, 2010

    MIMI NA CHANGANYIKIWA NA MACHO YA HUYU MZEE,KWENYE ILE SIKINDE YA WAKUBWA INAKUAJE?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 12, 2010

    Kazi kweli kweli, huyu Mzee Zahiri Ally alishindwa walau kufanya rehearsal na mtoto wake Banana! Inakua kama ndo kwanza wamekutana jukwaani ? Huu ni wizi kulipa kuja ona kituko

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 12, 2010

    MIC ZA KICHINA HIZO !! WA BONGO KAMA SEREKALI YETU TU NO PROFESSIONALISM

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 12, 2010

    mbona huweki breaking newz za mabomu yaliyotokea kwa wakwe zako bwana au kwa vile wanaodai kuhusika na mabomu hayo ni binamu zako?

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 13, 2010

    I said it before and will say it again... diet muhimu... si kwa wanawake tu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...