hapa ni nje ya hoteli ya holiday inn penye makutano ya
mitaa ya azikiwe, maktaba na ali hassan mwinyi road



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 13, 2010

    mshamba wa Dar,eti dar panaenda panabadilika,pako hivyo hivyo tena ndio kuna zidi kuwa kubaya vumbi,msongamano,ajali,maji machafu,nk tena inaonekana akili yako inawaza city center tu vp kuhusu manzaese,tandale,vingunguti,mbagala na kwingine kwingi ambako watu hawana maji bado wanatumia vyoo vya shimo,shule hazina madawati,mashimo barabarani,tena aibu mwandishi kama wewe unatoa kijipicha eti dar banabadilika ovyoooooooo

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 13, 2010

    safi sana inapendeza

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 13, 2010

    Damn it , just like NEW YORK, lets keep the Atmosphere plus USTAARABU, yah, that is the thang.
    Good job bro-Michuzi

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 13, 2010

    we uliyetoa maoni wa kwanza una chuki binafsi sasa hapo unaona hapajapendeza kalale mbele huko huna lolote

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 13, 2010

    http://www.youtube.com/watch?v=ZYlZVS2uTak&feature=related

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 13, 2010

    wananchi wa ukonga hatuna maji nyie mnachezea!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 13, 2010

    Nchi inaziba makucha yake wanaweka Mjini tu sababu wafanya biashara wa nchi za nje wanaishia Hotel hapo mjini na maofisini basi Ndomana hata sehemu lami haiharibi ni Oysterbay kwenda Masaki MWisho Msasani Mwisho kule zaidi ya hapo ola. Tengenezeni mji inavyotakiwa. James.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 14, 2010

    Mdau wa Washington sema umefulia unaogopa utarudije anyway kwa taarifa yako tu siku hizi tunajua kama mtu harudi bongo yupo Mbele tunajua kalost, Kama unadeal nyingi mbona umepata muda wa kuchangia. Beba box mazeiya Sugu mbeba mabox karudi kugombea ubunge

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 14, 2010

    We mtoa maoni hapo juu, kweli huna maana kabisa, hapo chuki binafsi tu....tunaongelea hii picha na ni dar....wewe vp wewe ?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...