WANTANZIA WA SEATTLE WANA HARAMBEE TAREHE 31 JULY 2010 KWA AJILI YA KUPELEKA ZANA ZA ELIMU ZANZIBAR. KARIBUNI MTUUNGE MKONO
KARIBUNI WOTE NA AHSANTENI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 17, 2010

    Wanzania ni nini? Hawa jamaa hawako makini? Tutawastukia!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 17, 2010

    Jamaa wapi? Na "Tumewastukia" maana yake nini? Na akina nani nyinyi muliowashtukia? Na nani walioshtukiwa?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...