Mama Salma Kikwete akimpongeza mai hazbendi wake Mwenyekiti wa CCM ,Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa kuchaguliwa kwa zaidi ya asilimia 99 kuwa mgombea pekee wa Urais kwa tiketi ya CCM usiku wa kuamkia leo ukumbi wa Kizota mjini Dodoma
Mwenyekiti wa CCM ,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwatambulisha Mgombea Urais wa Zanzibar Dr.Ali Mohamed Shein(kushoto) na mgombea mwenza bara Dr.Mohamed Gharib Bilal kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pampja na Rais wa Zanzibar Amani Abedi Karume(kulia) pamoja na Makamu wa Rais Dr.Ali Mohamed Shein(wapili kushoto), pampja na mgombea mwenza Dr.Mohamed Gharib Bilal mwishoni mwa mkutano mkuu wa CCM mjini Dodoma usiku wa kuamkia leo. Picha na Freddy Maro

Kuna uwalakini inapokuja kwenye suala la Muungano. Nadhani nafasi ya Raisi wa Zanzibar INGEFUTWA badala yake awepo Makamu wa Raisi tu. Nadhani Katiba inasema Raisi akitoka Bara makamu anatatoka Zanzibar na kama Raisi anatoka Zanzibar Makamu anatoka Bara. Simple na Muungano unakuwa umeshakamilika. Halafu suala la Waziri Kiongozi na Waziri Mkuu wanaweza kuendelea kama system ilivyo sasahivi. Hii ndo ingekuwa ngwe nyingine katika kukamilisha na kuimarisha Muungano wetu
ReplyDeleteBilali kauchinja. Sheni karudi chini. Karume kwaheri.
ReplyDelete99% inaonyesha wanaompigia jungu JK ni wachache mno.
Yani bwana CCM kweli kimekaa kibiashara zaidi yani kweli huyo mzee bilal sasa mnampa cheo hicho ili asaidie nini mtu kachoka namna hio......aaah bwana mi nafkiri kila mtanzania aangalie tu upande wake na jinsi atakavo weza kula kwenye kazi yake lakini kama mtu anafikiria wanasiasa watamsaidia kwisha habari yake!!!!1
ReplyDeletehaaaa wanaogopa kuwapa wanawake na hata hivyo bado kasumba iko bungeni wanatuwekea yale yale ya zamani wazee wamechoka hey wapeni watoto wenye afya zao na ubongo mchanga sio kutuwekea vibabu vilivyo choka hao ccm ndio wanao tuchelewesha tanzania kimaisha ndio maana watanzania kila tunapo kwenda twaonekana washamba amkeni jamani tujenge nchi yetu bila ya vizee vinavyosinzia bugeni.
ReplyDeleteJamani uuuuuuuuwiiiiieeeeeeeeeeee nimechoka na Tanzania nahamia baharini kama Octopus Paul.
ReplyDeletePamoja na yote, Kikwete na mkewe ni match made in heaven, lovely couple! Beautiful first lady! love her smile.
ReplyDelete