
Kwa mawasiliano zaidi piga no
0774 770077 , 074 770077
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Namba ya pili nahisi sijaisoma vizuri mdau..
ReplyDeleteHapa ndio utaona maajabu yetu wabongo tunapenda kucopy na kupaste tamaduni za watu. vuvuzela wameanzisha wazulu ila wabongo wanashoboka kinoma hata nyimbo za wazulu wabongo nikucopy na kupaste eti waonekane wajanja au watoto wa mjini. Kwanini msiboreshe utamaduni zenu kwa nyimbo na bidhaa zenu mpaka na wageni wakakubali. utaona ligi ya uingereza watu watakavyotusumbua na mavuvuleze full makelele hakuna raha kushoboka tu
ReplyDeleteworld cup imeshaisha lakini bongo ndiyo inaanza. ha ha ha ha
ReplyDeleteHivi wana Mshauri mzuri kweli hao jamani!?!
ReplyDeleteYaani Weld Kap imeshaisha wao ndo wanaleta kuuza hivyo vitu?
Biznes es yuzo! Khaah!
scaf na joto la bongo kazi ipo mwanangu mwenyewe kuna kijana kapasuka ulimi kwa vuvuzela inaufundi wake wa kupuliza taratibuni wabongo
ReplyDeletehizo ni huuuu jiiiii ntanggggggg.....!!!
ReplyDeleteasa hayo madude ya nini sie saa hizi washayapuliza huko yametupwa ndio tunaletewa sie hahahahaha ama kweli
ReplyDeleteNi kweli wabongo tunapenda sana au tunathamini utamaduni pamoja na vity vy anje. Hatuthamini kabisa vitu ya kwetu au utamaduni wetu.
ReplyDeleteHii ni tofauti kabisa na nchi zilizoendelea. Nchi nyingi zilizoendelea zinathamini sana vitu vyao na pia wanajivunia utamaduni wao.
Wachina wakienda madukani na wakikuta kitu kimetengenezwa na mchina au mmarekani wanachagua kilichotengenezwa na kampuni ya china. Lakini sie mwee made in Bongo tunaona hazifai.
Mimi hata sijaelewa kwani hiyo inayojiita fashion store inauza kila takataka? Kweli bongo kazi ipo. Na jamani world cup si imeisha.
ReplyDeleteoverstock yanakuja kudumpiwa tanzania. sasa hivi yanini haya? kelele tu na kuengezeana uchafu..Kama ni souvenir ungeenda kulichukua huko SA sio usubiri kuletewa hapo. Kwanza yanaonekana sio hata BPA free hayo...msije mkawapa watoto wakachezea hayo
ReplyDeleteMSINUNUE EEEEEEEEEEEEEEEEEE !!
ReplyDelete