Mavuvuzela baada ya kutamba sana kwenye msimu wa michuano ya Kombe la Dunia kule kwa Mzee Madiba Afrika kusini,sasa hivi yamehamia Tanzania jijini Dar,tena ndani ya maduka ya Zizzou Fashions Store yaliyopo Afrika Sana-Sinza na Victoria-Kijitonyama jijini Dar.
Kwa mawasiliano zaidi piga no
0774 770077 , 074 770077
mdau akitesti zali la vuvuzela...

kila aina ya vuvuzela zipo...



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 29, 2010

    Namba ya pili nahisi sijaisoma vizuri mdau..

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 29, 2010

    Hapa ndio utaona maajabu yetu wabongo tunapenda kucopy na kupaste tamaduni za watu. vuvuzela wameanzisha wazulu ila wabongo wanashoboka kinoma hata nyimbo za wazulu wabongo nikucopy na kupaste eti waonekane wajanja au watoto wa mjini. Kwanini msiboreshe utamaduni zenu kwa nyimbo na bidhaa zenu mpaka na wageni wakakubali. utaona ligi ya uingereza watu watakavyotusumbua na mavuvuleze full makelele hakuna raha kushoboka tu

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 29, 2010

    world cup imeshaisha lakini bongo ndiyo inaanza. ha ha ha ha

    ReplyDelete
  4. Hivi wana Mshauri mzuri kweli hao jamani!?!

    Yaani Weld Kap imeshaisha wao ndo wanaleta kuuza hivyo vitu?

    Biznes es yuzo! Khaah!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 29, 2010

    scaf na joto la bongo kazi ipo mwanangu mwenyewe kuna kijana kapasuka ulimi kwa vuvuzela inaufundi wake wa kupuliza taratibuni wabongo

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 29, 2010

    hizo ni huuuu jiiiii ntanggggggg.....!!!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 29, 2010

    asa hayo madude ya nini sie saa hizi washayapuliza huko yametupwa ndio tunaletewa sie hahahahaha ama kweli

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 29, 2010

    Ni kweli wabongo tunapenda sana au tunathamini utamaduni pamoja na vity vy anje. Hatuthamini kabisa vitu ya kwetu au utamaduni wetu.

    Hii ni tofauti kabisa na nchi zilizoendelea. Nchi nyingi zilizoendelea zinathamini sana vitu vyao na pia wanajivunia utamaduni wao.

    Wachina wakienda madukani na wakikuta kitu kimetengenezwa na mchina au mmarekani wanachagua kilichotengenezwa na kampuni ya china. Lakini sie mwee made in Bongo tunaona hazifai.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 29, 2010

    Mimi hata sijaelewa kwani hiyo inayojiita fashion store inauza kila takataka? Kweli bongo kazi ipo. Na jamani world cup si imeisha.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 30, 2010

    overstock yanakuja kudumpiwa tanzania. sasa hivi yanini haya? kelele tu na kuengezeana uchafu..Kama ni souvenir ungeenda kulichukua huko SA sio usubiri kuletewa hapo. Kwanza yanaonekana sio hata BPA free hayo...msije mkawapa watoto wakachezea hayo

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 30, 2010

    MSINUNUE EEEEEEEEEEEEEEEEEE !!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...