Home
Unlabelled
JK aapisha manaibu katibu wakuu leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mpumbavu maana mjinga huwa anaelimika. Nani kamwambia ukubwa wa serikali ni maendeleo. Halafu misupi usiweke comment km kawaida yako
ReplyDeleteHongera sana Bosi Mwihava. Nakutakia mafanikio na kazi njema. You desserve it Sir.
ReplyDeleteWanawakeee Wanawakeee!
ReplyDeletekwa Mtazamo wa picha hiyo, ni kama asilimia ishirini (20%) ya idadi ya akina mama katika jumla ya makatibu wa wizara, yaani 2 out of 9.
-Nahisi Idadi ya akina mama TZ ni kubwa kuliko wanaume.
-Na inaaminika ukimwendeleza mwanamke unaendeleza jamii yote.
Juhudi zifanyike akina mama wapewe kipaumbele, angalau kutoa motisha kwa vitendo pia.
Michuzi kama kawa najua utabania hii comment, Pls freedom of speech kwa faida ya taifa
Hongera sana Hussein Katanga you deserve it my boss. You always pursue your vision of excellence in whatever you do, keep it up. we are going to miss you.
ReplyDeleteTunakutakia kila la kheri katika majukumu yako mapya. TT
Hongera sana kaka yangu mpendwa Amb. Herbert Mrango. Mungu azidi kukubariki na kukuongoza nakutakia kazi njema na mafanikio mema. We are always proud of you and love you forever.
ReplyDeleteSusan Mrango
Blaza Blaza!
ReplyDeleteBlaza alie nyuma ya Sista mwenye sketi ndefu hadi chini!
Blaza blaza kafanya nini? Handsome?
ReplyDeleteThu Jul 29, 03:25:00 PM tunaangalia utendaji wa kazi na si jinsia acha mawazo ya kibinafsi, JK alishajipendekeza kuwapa wanawake wizara nyeti ktk baraza lake la kwanza na akashukuru baraza lilipo vunjwa na kufanya maamuzi yakinifu. kazi mbele..
ReplyDeleteHongereni sana Balozi H. Mrango. bwana amekuweka juu na utaendelea kuwa juu.
ReplyDeleteKaribu sana Balozi wetu mpendwa R. Gamaha.
Jamani, hatutaki mambo ya sijui wanawake, itakwenda hivyo hiyvo halafu kabila fulani, dini fulani, n.k. mtu anapewa kazi kutokana na sifa zake. Sisi siyo Rwanda. Akina mama wanatunza familia, mbona wanaume hawalilii kukaa nyumbani?
ReplyDeleteIla jamani tuacheni utani, kama mwonekano una ujumbe, basi hii timu ina shughuli. Sioni tumaini.
Hongera sana kaka wa TAFIRI KWA KUWA KATIKA NAFASI YA KUIKOA TAFIRI Lakini hawa wanafunzi waosoma PHD na akati huo ni WAJAZAZITOKAMA KITUO CHA FAFIEI MWANZA UHAKIKISHE WANA FUATA MIKATABA YAO Kufanya field na kuwa na ujauzito je watoto wa weakulima wanaotaka nafasi hizo watafika CHUNGUZA MJOMBA UTABAINI
ReplyDeleteKwani naibu katibu kazi yake nini hasa? Naona Tanzania tuna matumizi yanazidi mapato. Cut down spending Mr President huko wizarani hamna kazi kiivyo.
ReplyDeletemtoa mada wa thurdsday july 29, 10:29:00 pm kuhusu tafiri, mbona unaingilia mambo ya watu binafsi, mtu kuwa mjamzito na kuendelea na masomo tatizo kwako ni nini? Phd siyo kama masomo ya sekondari, waweza endelea na masomo na wakati huo huo unaendelea na mambo yako ya kifamilia/binafsi. jaribu kuchambua mambo yanayokuhusu na yasiyokuhusu mwachie mwenyewe unayemsema ni mjamzito. ni maoni yangu tu hayo
ReplyDeleteHuyo anayeongelea wajawazito, sasa alitaka mtu akiwa masomoni na akapata ujauzito basi aitoe hiyo mimba au? Mbona ingekuwa kazi? Ujauzito wa mtu na nafasi kutopatikana kunahusiana vipi? Si atafutwe 'temporary replacement' na wewe kama unataka kwenda shule uende?
ReplyDeleteMbona wakima mama maofisini wakipata ujauzito huwa wanaendelea na kujifungua tu? Mfano mzuri pale Mwananyamala Hospital (kwa wasiokujua, wakifika BITEBO Hair Dressing Salon - Mwanayamala KOMAKOMA, waulizie), yes, pale Mwananyamala Hospital, aiseee kuna dada mmoja mjamzito ana-expect triplets nadhani, lakini mwenyewe ah, anapiga tu mzigo kama kawa. Ila kitu kimoja, aache kupanda vibajaji, kwani ni hatarishi kwa maisha yake na ya watoto wake anaowatarajia.
Utoaji wa mimba ni sawa na uuaji tu.