Ankal,
Hili lishakuwa tatizo la kitaifa sasa… Tusipo kuwa makini hawa jamaa watatuharibia kizazi chetu na lugha yetu…
-MDAU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 32 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 28, 2010

    Kwani kazi ya serikali ni nini? Iko wapi TBS na TRA,hata BASATA nao hawalioni hilo ? Au mpaka Mh. Rais aingilie kati ? Kama ndiyo hivyo wacha watoto wetu waharibike tu. Maana watu wazima waliowekwa kusimamia maadili wanaonekana kuharibika tayari.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 28, 2010

    KWELI MDAU TRA KAMA AWAKULIONA HILO WAKATI WA UKAGUZI TBS INAYO THIBITI VIWANGO ILIKUWA WAPI?BASATA EBE KURUPUKENI KUZIBAN KAMA MLVYO BAN NYIMBO ZA LINGALA RTD,RAISI ANA KAZI NYIGI JAMANI INGEKUWA BALOZI ANGEWEZA KUMKATAA KAMA BALOZI WA JAPANI KANYAMAVI KAYASHIKA ALIVYOKATALIWA AALETWA MBADALA PIKIPIKI WANAWEZA KUZIBADILI JINA MWEEE!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 29, 2010

    Hao ndio wachina...tatizo hilo neno kwa kichina lina maana tofauti na tujuavyo sisi.TRA hawana uwezo wa kubadili hapo... cheki hiyo http://jinyeemotor.en.ecplaza.net/

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 29, 2010

    Wakajin*ee wenyewe bwana. Hembu waende zao huko.

    Jamaa wa huyo Balozi wa Japan kaniacha hoi.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 29, 2010

    Nakubaliana na maelezo yaliyo mengi hapo juu ingawa,ila tua kitu kimoja sijui watanzania wenzangu kama tuna ueleo sawa katika vichwa vyetu,hivi TRA inahusika vipi na maswala ya lugha? mimi ninavyo fahamu wanahusika na kodi ya bidhaa yoyote,kwanini nyie wachangiaji mnaonesha kama vile hamjui hili swala la nani ana husika na nini,msikurupuke tu kuandika ili mradi uonekane unajua wakati ujui.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 29, 2010

    Nyie wadau wa juu wawili acheni ushamba. Jinyee Motor ni kampuni ya China inayotengeneza piki piki.

    Tembeleeni tovuti yao:

    www.jinyeemotor.com

    Sasa mbona kuna kampuni kubwa tu inaitwa Jamba Juice? Mnataka nayo ibadili jina kwa vile Jamba ni kitu kibaya in swahili? Wha about Kumamoto Japan?

    Dolaman usiibanie hii comment.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 29, 2010

    Akili zetu Watanzania ndivyo zilivyo ndiyo maana kitu kama hiki kinaingia sokoni. Sasa nyie mnaoisema BASATA inaingiaje hapa wakati ni Baraza la Sanaa la Taifa? TBS pia inashughulika na viwango vya kiufundi, siyo vipimo vya lugha. Sana sana mseme labda Baraza la Kiswwahili la Taifa, yaani BAKITA, liko wapi? Mtu anayepaswa kushughulikia kero kama hii ni wizara husika. Kwenye miaka ya 1990 liliwahi kutokea gazeti lililowaadhiri akina mama liliitwa MWANAMAMA. Wizara husika ya akina mama ilipiga kelele na ikaenda Wizara ya Habari na gazeti likafungiwa moja kwa moja hadi kesho. Hapa tuna Wizara ya Utamaduni ambayo inasimamia BAKITA na hata hiyo BASATA ya hao jamaa hapo juu pamoja na maadili yetu. Hii ndiyo ipige kelele. Hatuwezi kuweka mambo kama haya hadharani. Tukatae hii pikipiki ya Wachina.

    Iko siku Wajapani watatuletea balozi anayeitwa Kumamoto halafu Wahindi watulee Govindra Kumar. Mbona yule mzee wa kichaga aliyekuwa na jina Monyoko Mboro amebadilisha jina lake siku hizi na sasa anaitwa Saidi Petro?

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 29, 2010

    Upuuzi mtupu, Je mnajua majina gongano ya vilugha. Kama Jinyee imekuumiza ondoa kibanzi kwenye jicho lako.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 29, 2010

    Kwani hapo tatizo nini na TRA inaingiaje? Hata makabila yetu kuna majina ambayo ni matusi makubwa kwa makabila mengine mbona hilo hatulisemi?

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 29, 2010

    Kama vipi JINYEE tu.

    ReplyDelete
  11. MliakuvanaJuly 29, 2010

    Labda tusubiri kama hizo pikipiki zitauzika hapa Tanzania na hilo jina. Chevrolet, ile kampuni ya magari Marekani, iliwahi kutengeneza gari moja "...specifically for the south American market..." Chevrolet wakalita gari lao "Nova" na wakalaunch advertisement campaign. Gari halikuuzika! Katika kutafuta sababu kwa nini haliuziki wakaja gundua kuwa neno "Nova" ka kiLatini au/na kiHispania lina tafsiri ya "no go" au "not good"!!

    Sasa sijui kama hapa Tanzania mtu mwenye akili zake binafsi atanunua pikipiki yenye jina hilo!!!?? Sijui, manake you never know!!!

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 29, 2010

    Brand name husajiliwa kisheria na haiwezi kubadilishwa kirahisi rahisi. Lazima mfahamu sasa kwamba tuko kwenye global village, kuna mchanganyiko sana wa lugha na tamaduni unaotokana na maingiliano ya kibiashara, kiuchumi, kisiasa na mambo ya kijamii kati ya nchi na nchi. Hatuwezi kuishi kama kisiwa na kuwazuia akina K**moto, Ka**ma, Alberto T*mba na bidhaa zao zenye majina tatanishi katika lugha zetu. Hata lugha zetu wenyewe hapa unaweza ukakuta jina moja maarufu katika lugha ya kabila moja ni TUSI KUBWA katika lugha ya kabila lingine, what do we do about that, tuwanyang'anye watu majina yao?! Tunachoweza kufanya kwa pikipikikama hizo ni kutozinunua. Zikikosa soko automatically wauzaji watafanya utafiti, kwanini brand zingine zinatoka lakini Jinyee hazikubaliki, watacha kuzileta au watabadilisha jina at their own accord.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 29, 2010

    Waulizeni Wahehe maana ya maneno Redondo, mdako, kusaka, mnyoo, Banyana Banyana na hata kiduku kwa mbali linakaribia, halafu uone kama utaendelea kuyataja hadharani!!!!

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 29, 2010

    JAMANI TUACHE KUDILI NA VITU VIDOGO KAMA HIVI, UKIANGALIA HATA BAKITA HAWANA MAMLAKA YEYOTE KATIKA HILI, HII NI KAMPUNI YA WATU NA WAO HAWAJAMAANISHA MTAKAVYO NYIE. SUALA HAPA NI KAMA UKIONA HII PIKIPIKI HAIKUFAI SI UACHE TUU JAMANI. DUNIANI KUNA MANENO MENGI SANA AMBAYO YANA MAANA TOFAUTI KULINGANA NA ENEO AU KUNDI LA WATU. KWA MFANO KUNA MANENO YA KISWAHILI YANAKUWA NA MAANA TOFAUTI KULINGANA NA ENEO AU KUNDI LA WATU. CHUKULIA MFANO MANENO HAYA. GONGA, TIA, KAMUA, PIGA, KULA,NK. JE MIMI SIKU MOJA NIKIFUNGUA KAMPUNI IKIITWA KWA JINA MOJA KATI YA HAYO ITABIDI KUWASAKAMA BAKITA?

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 29, 2010

    Mtoa maoni anon wa Thu Jul 29, 02:12:00 AM nanukuu "Nyie wadau wa juu wawili acheni ushamba. Jinyee Motor ni kampuni ya China inayotengeneza piki piki.

    Tembeleeni tovuti yao:

    www.jinyeemotor.com" Ni sawa lakini kwa kule Uchina na si vinginevyo.Inatakiwa kama mamlaka husika zipo na zinafanya kazi kutoruhusu kila kitu kwa sababu tu ni kampuni halali iko China, big NO!!Kinachotakiwa kufanyika ni kuwaambia watengenezaji wabadili jina hilo kwa products wanazotaka kutuletea.

    ReplyDelete
  16. AnonymousJuly 29, 2010

    Anonymous wa Tarehe Thu Jul 29, 11:57:00 AM,

    Umesema "Kinachotakiwa kufanyika ni kuwaambia watengenezaji wabadili jina hilo kwa products wanazotaka kutuletea."

    Wow! Are you kidding me?

    ReplyDelete
  17. AnonymousJuly 29, 2010

    mi nawashangaa mnawabana TRA kwa mambo ambayo yako nje ya uwezo wao ngoja tusubiri namba na magari zifike T 214 UKE au T 123 TIA tuone kama wataziruka

    ReplyDelete
  18. jamani kukataliwa kitu kutokana na jina kwa maadili ni kitu kipo angalieni hii ilitokea huko Saudia,,,n Saudi Arabia, .

    A high level Pakistani diplomat has been rejected as Ambassador of Saudi Arabia because his name, Akbar Zib, equates to "Biggest Dick" in Arabic. Saudi officials, apparently overwhelmed by the idea of the name, put their foot down and gave the idea of his being posted there, the kibosh.

    ReplyDelete
  19. AnonymousJuly 29, 2010

    Jamani, simJINYEE tu ;-)

    ReplyDelete
  20. ZeroBrainJuly 29, 2010

    Tehe teh tee te!

    Hii inanikumbusha enzi zangu za shule nilisoma na rafiki yangu mmoja akiitwa MBOYA KAISI.

    Sasa mwalimu akimuuliza we ni MboYA nani? Anajibu 'KAISI'

    ReplyDelete
  21. AnonymousJuly 29, 2010

    Am still emphasizing that it is possible and it is done everywhere where there is authorities.Check here http://arstechnica.com/civis/viewtopic.php?f=23&t=202422
    You could fill a book with car brand differences. A few:

    Subaru Legacy (US) = Liberty (AUS)
    Subaru Alcyone (JPN) = XT (US) = Vortex (AUS)
    Subaru Brat (US) = Brumby (AUS) = MV (Europe)
    Lexus SC430 (US) = Toyota Soarer (JPN)
    Toyota Echo sedan/coupe (US) = Platz (JPN)
    Toyota Echo hatchback (US/AUS) = Vitz (JPN) = Yaris (Europe, US 2nd gen)

    There are tons of alternate names for cars depending on country. Have a glance of an ideas and ask yourself why!

    ReplyDelete
  22. AnonymousJuly 29, 2010

    Wadau Acheni tu kukurupuka na kuanza kukomenti. Nani aliwaambia kuwa hiyo pikipiki imeshaingizwa bongo? Mi niliiona kwa mtandao, nikai kopi na kupesti, na kuwaachacheni mkiongeza 'hits' kwa michuzi!

    Kalaghabaho

    ReplyDelete
  23. AnonymousJuly 29, 2010

    Kuna tofauti ya Brand na model. Kwa mfano: Toyota Surf(Japan), hapa U.S. inaitwa Toyota 4runner. Lakini brand ni ile ile Toyota. Sasa hiyo piki piki Jinyee, Jinyee ni brand na iko registered kwenye mamlaka husika. Huwezi kubadili brand over night. However, unaweza kubadili model name kama mfano nilioutoa. Mfano mwingine. Nissan Bluebird(Japan), hapa U.S. zinaitwa Nissan Maxima. Unaona trend hapa? Brand ni ile ile, model name ndiyo linabadilika. Nyie wa Tanzania msingeziagiza hizo piki piki toka mwanzo kama mlijua mnachokinunua. Napenda sana majina ya kiJapan. Mr.Fukauchi Kumamoto.

    ReplyDelete
  24. AnonymousJuly 29, 2010

    wote hamuelewi kimandarini.
    Hio inatamkwa JIN-YEE. Hivyo hakuna shida kabisa

    ReplyDelete
  25. AnonymousJuly 29, 2010

    watanzania sisi aaaah basi tena,nimeishia kukauka hapa...mbavu zangu hazina kazi daaaa haya watanzania mjinyee tuu hahahaha

    ReplyDelete
  26. AnonymousJuly 29, 2010

    Nani atengeneze pikipiki-Brand/Model kwa akjili ya soko la Tanzania?

    ReplyDelete
  27. AnonymousJuly 29, 2010

    Kama ni tusi kwetu kwa wengine ni neno la kawaida hivyo msifikiri kiswahili ndiyo hakina "matusi" katika kufananisha na lugha zingine.

    ReplyDelete
  28. AnonymousJuly 30, 2010

    Mtachonga sana kwa mifano na lugha. Lakini bado pikipiki ni "JINYEE". Nimecheka, sijawahi namna hii. Yaani nikanunue au nipande pikipiki inaitwa Jinyee?!Duh!

    ReplyDelete
  29. AnonymousJuly 30, 2010

    Mazee acheni hizo mbona wengi tuu mmevaa T shrt na trainers zimeandikwa Fil* lakini hamsemi?, mimi ntanunua hiyo pikipiki then ukiisoma utapata ujumbe JINYEE

    ReplyDelete
  30. AnonymousJuly 30, 2010

    Anony wa July 28, 11:31 umeniacha hoi na hilo jina la balozi wa kijapani. Imenikumbusha mjapani mmoja alikuwa katika kikao na watanzania akawa anacheka sana majina yetu ya kibantu kwamba ni ya ajabu alipoulizwa lakwake akasema anaitwa KAHARA HAJANAWA wacha waswahili nao wavunjike mbavu nae akawa anawashangaa. Hii ni true story.

    ReplyDelete
  31. AnonymousJuly 30, 2010

    Nini bla bla bla ?
    FUNGUENI VIWANDA VYENU WENYEWE MTENGENEZE PIKIPIKI ZAKWENU WENYEWE HALAFU MZIITE MAJINA YENU WENYEWE
    Kama hamuwezi shut the bugger up

    ReplyDelete
  32. Baba UbayaJuly 30, 2010

    hilo suala la "JINYEE" waachiwe wanunuzi.kama hizo pikiX2 hazitauzika bac wahusika hawatazileta tena Tanzania.mbona viwalo vya "DADA" vinavaliwa na jinsia zote?ina maana hata mavazi ya "WANAUME TMK" kina dada nao wasinunue?suala hilo jamani waachiwe wanunuzi wenyewe.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...